Wachimbaji wadogo wa madini ya shaba wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wametakiwa kujiunga katika vikundi ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na Mradi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), unaolenga kuwaendeleza wachimbaji wadogo wa madini ya kimkakati, ikiwemo...
Mji mtamu huuuu
Nasema kama sio pacomw of
Basi mhusika congs nimependa sana kuina hilii
Ukifika afrikana shuka ukienda juliana club
Unakuta kushoto duka la vinywaji la Pacome
Na mambo ya design....
B blsd mmiliki
Yawezekana kweli hawataki kuikailia ila pia yawezekana yenyewe ndio haitaki kukaliwa hivyo ukiona siti iko wazi usikurupukie .
Mganga anakwambia atakupa utajiri wa mabilioni jiulize kwanza kwanini yeye hayataki hayo mabilioni na kwanini ndugu zake hajawapa hayo mabilioni ikiwa yeye hayataki je...
Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Kilimo Tanzania Mei 22, 2025, zinaonyesha mwelekeo muhimu wa mauzo ya nje ya mazao ya kilimo kwa mwaka wa fedha 2023/24. Kwa ujumla, mazao ya kilimo yamechangia zaidi ya trilioni 2 katika mapato ya kigeni, yakionyesha ukuaji thabiti wa sekta hii na kutoa mwanga...
Wanabodi,
Leo niko hapa Four Points by Sheraton, Dar es Salaam, kuwaletea live mjadala wa hili Bomba la mafuta la Uganda, ambao ukiondoa mradi wa LNG ambao bado haujaanza, huu ndio mradi mkubwa Tanzania wa uwekezaji kuliko miradi yote wenye fursa kibao kwa Watanzania...
Mwenzenu nawaza fursa tu, si unajua pesa ya kutegemea mbaya..
haya tuachane na hiyo😊
Bunge hiloo linaenda zake, je huwa wanautaratibu wa kutoa zile Samani zake? Maana ni almost 5 years nadhani wanatumia, kama wanauza tupeni network jamani tukapambanie, hata pcs 100 tu.
Kwanza tunapunguza nuksi...
📦🌸 Fursa ya Biashara kwa Wauzaji wa Sanitary Pads – “Fly Free” kutoka China! 🌸📦
Tunawaletea bidhaa mpya ya sanitary pads za ubora wa hali ya juu zinazofahamika kwa jina la Fly Free, zikiwa na teknolojia ya kisasa na viwango vya kimataifa. Kwa bei ya jumla ya Tsh 500 tu kwa pakiti, hii ni bidhaa...
WAZIRI KOMBO AWASISITIZA DIASPORA KUCHANGAMKIA FURSA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasisitiza Watanzania waishio nchini China (Dispora) kuchangamkia fursa ikiwa ni pamoja na kuongeza mauzo ya bidhaa na huduma za Tanzania...
Wapiganaji wa Hamas ambao kwa sasa wanapigana kwa mbinu mbadala baada ya viongozi wao wakuu kuuliwa wameonekana kuja juu katika wiki kadhaa zilizopita na kufanikiwa kuwauwa askari kadhaa wa Israel hasa maeneo ya kusini mwa jimbo la Gaza.
Katika matukio ya hivi karibuni ni kuwakimbiza askari wa...
Watu wa kijijini au wilayani zaidi ya 4 nimekosana nao kwasababu ya issue za pesa. Mtu wa kijijini unaweza kumuahidi may be Jumatatu takutumia. Utatumia kauli zile ambazo possibility yake si 100% lakini yeye Jumatatu mapema anakutext akitarajia pesa.
Hivi mtu unashindwa kufikiri kama...
🗻✨ Unasikia wito wa Uhuru Peak? ✨🗻
Safari ya maisha yako inakusubiri… Mlima Kilimanjaro kwa siku 6 tu!
Kwa gharama ya Tsh 900,000 tu, Mtanzania unapata nafasi ya:
✅ Kupanda mlima mrefu zaidi Afrika 🌍
✅ Kuweka historia yako mwenyewe 📸
✅ Kukutana na marafiki wapya wa roho ya adventure 🤝
✅ Kuonja...
FURSA HAZIDUMU; WEWE NI ASSET. JITUMIE!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Wahenga walisema, liwezekanalo Leo lisingoje Kesho. Wahenga hao! Wakaendelea kusema bahati haiji mara mbili! Unaona mambo hayo!
Neno bahati huweza kutafsiriwa kama nafasi au fursa ya kipekee.
Katika mapigano yoyote...
Fursa kwa Wenye Mchele
Una mchele lakini huna soko la kuuza? Au labda una mchele uliopata hitilafu kidogo na hujui wapi pa kuupeleka?
Usihangaike tena!
Tunakaribisha wakulima, wauzaji, na wasambazaji wa mchele — hata ule usio na soko kwa sasa. Tunatoa fursa salama na ya uhakika kuuza mchele...
Maduskodusko Entertainment( Dar Es Salaam, Tanzania) ni kampuni inayo jihusisha na uzalishaji wa maudhui ya mtandaoni. Kampuni ina tayarisha documentary kuhusu kitabu kinacho itwa " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP" ambayo itaanza kurushwa kupitia You Tube kuanzia tarehe 16 June 2025...
Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha maendeleo ya Sekta ya Madini barani Afrika, kwa kuelezea mikakati madhubuti ya kuendeleza madini muhimu na mkakati yanayopatikana nchini.
Hayo yalielezwa Mei 20, 2025 na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo wakati akihutubia...
"AI (Artificial Intelligence) inachukua nafasi kubwa duniani – kutoka kwenye kazi za uandishi hadi huduma kwa wateja. Lakini je, kwa Afrika na hasa kwa vijana wetu, hii ni FURSA au TISHIO kwa AJIRA?"
Kuna wanaosema AI inasaidia kurahisisha kazi, kuongeza tija na kuleta fursa mpya…
Lakini wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.