fursa

  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kumbe ukiishi kijijini unafikiri waliopo mjini wametoboa. Vijana njoeni mjini tugombanie fursa

    Watu wa kijijini au wilayani zaidi ya 4 nimekosana nao kwasababu ya issue za pesa. Mtu wa kijijini unaweza kumuahidi may be Jumatatu takutumia. Utatumia kauli zile ambazo possibility yake si 100% lakini yeye Jumatatu mapema anakutext akitarajia pesa. Hivi mtu unashindwa kufikiri kama...
  2. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Msaada: Kuunganishwa na Fursa za Kazi za Kusafiri na Mabasi ya Mikoani

    .
  3. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwaajili ya Watanzania wote waliopo, hii ni fursa ya kipekee, maelezo yote yapo kwenye Tangazo

    🗻✨ Unasikia wito wa Uhuru Peak? ✨🗻 Safari ya maisha yako inakusubiri… Mlima Kilimanjaro kwa siku 6 tu! Kwa gharama ya Tsh 900,000 tu, Mtanzania unapata nafasi ya: ✅ Kupanda mlima mrefu zaidi Afrika 🌍 ✅ Kuweka historia yako mwenyewe 📸 ✅ Kukutana na marafiki wapya wa roho ya adventure 🤝 ✅ Kuonja...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Fursa hazidumu; Wewe ni Asset! Jitumie!

    FURSA HAZIDUMU; WEWE NI ASSET. JITUMIE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wahenga walisema, liwezekanalo Leo lisingoje Kesho. Wahenga hao! Wakaendelea kusema bahati haiji mara mbili! Unaona mambo hayo! Neno bahati huweza kutafsiriwa kama nafasi au fursa ya kipekee. Katika mapigano yoyote...
  5. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wenye mchele

    Fursa kwa Wenye Mchele Una mchele lakini huna soko la kuuza? Au labda una mchele uliopata hitilafu kidogo na hujui wapi pa kuupeleka? Usihangaike tena! Tunakaribisha wakulima, wauzaji, na wasambazaji wa mchele — hata ule usio na soko kwa sasa. Tunatoa fursa salama na ya uhakika kuuza mchele...
  6. Fateema

    JamiiForums Tanzania Kama unafanana kimuonekano na celebrities wafuatao, fursa hiyo hapo chini.

    Maduskodusko Entertainment( Dar Es Salaam, Tanzania) ni kampuni inayo jihusisha na uzalishaji wa maudhui ya mtandaoni. Kampuni ina tayarisha documentary kuhusu kitabu kinacho itwa " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP" ambayo itaanza kurushwa kupitia You Tube kuanzia tarehe 16 June 2025...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania yanadi fursa za uwekezaji mnyororo wa madini muhimu London

    Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha maendeleo ya Sekta ya Madini barani Afrika, kwa kuelezea mikakati madhubuti ya kuendeleza madini muhimu na mkakati yanayopatikana nchini. Hayo yalielezwa Mei 20, 2025 na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo wakati akihutubia...
  8. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania “Je, AI ni tishio au fursa kwa ajira za vijana barani Afrika?”

    "AI (Artificial Intelligence) inachukua nafasi kubwa duniani – kutoka kwenye kazi za uandishi hadi huduma kwa wateja. Lakini je, kwa Afrika na hasa kwa vijana wetu, hii ni FURSA au TISHIO kwa AJIRA?" Kuna wanaosema AI inasaidia kurahisisha kazi, kuongeza tija na kuleta fursa mpya… Lakini wapo...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tunamuombea Ambaye alisema Yupo mpaka Yesu atakaporudi apate fursa ya kwenda kumsalimia kukidhi matarajio yake

    Maombi rasmi ni kwamba aendelee na dharau na kufuru wao wapo hadi siku ya ujio wa Yesu kristo.
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Maisha ni tight sana watu wangu! Kama una fursa inayokupendelea angalau kwa kidogo ishikilie kwa nguvu zote na kwa unyenyekevu

    Sio kwamba ni wavivu, wajinga au sio wajanja, ni basi tu fursa kama yako haijawafikia.
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Fursa: Wanahitajika madereva 800 watanzania nchini Qatar

    Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, kwa kushirikiana na Mawakala mbalimbali wakiwemo kampuni tanzu ya Mkapa Foundation (Imara Horizon), Connect General Supplies Co. Ltd, Sassy Solutions Co. Ltd, pamoja na Larali Global Solutions, inawatangazia Watanzania wenye sifa kutuma...
  12. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Idadi kubwa/Wingi wa vijana Afrika fursa au mzigo?

    Afrika ni bara lenye vijana wengi zaidi duniani, huku zaidi ya 60% ya watu wake wakiwa chini ya miaka 25 (UN, 2023). Naija inaongoza, 56.9% ya watu wake wana umri chini ya miaka 18, ikifuatiwa na Uganda yenye 55% (UNICEF, 2024). Swali ni: Je, idadi hii ya vijana ni fursa au mzigo? Changamoto...
  13. Margaret Winston

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa changamoto na fursa katika ufugaji endelevu na salama kiafya Dodoma

    Habari wanajamii, Mimi ni mdau ninayepanga kuanzisha mradi wa ufugaji endelevu na salama kiafya hapa Dodoma. Lengo kuu la mradi huu ni kuzalisha bidhaa za mifugo kama nyama, maziwa, mayai na kadhalika ambazo ni bora kiafya na salama kwa matumizi ya jamii. Malengo ya mradi huu ni pamoja na...
  14. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Adsense, Admob, Adsterra, Monetag na Medium ads Je Fursa imelala hapa tena?

    Fighters, wanajua kusaka fursa tu je Imani ya digital entrepreneur hasa kwa wale wanaotegemea content creation je still fursa imelala huku maana nahisi kumefifia mno.
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Fursa za ajira Medium Gold Mining Company

    On behalf of a Medium Gold Mining Company in Geita region, we have the following openings: 1. Accountant (1) Must be a graduate in Finance with at least 7 years experience. CPA is an added advantage 2. Fitter Mechanics (2) Must have trades certificate with experiences in a gold plant 3...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna fursa nyingi lakini ukitumia hiyo fursa watu wanakuiga

    Tanzania ndio nchi pekee wanasubiri ufanye jambo wakiona lina lipa nawao wanaiga copy and paste bila kubadilisha. mfano USA aliyebuni viungo vya KFC uwezi kukuta mwengine anafanya kama wewe unachoma kuku kwa tangawizi yeye atachoma kuku kwa binzari. Kama wewe huduma zako saa fulani huyu huduma...
  17. -ArkadHill

    JamiiForums Tanzania Mama anaupiga mwingi 😂😂

    Hospitali hakuna madawa, vitanda wala vifaa tiba Mashuleni hakuna madawati, vitendea kazi, walimu pamoja na vyoo. Vijijini na mijini hakuna maji pamoja na miundo mbinu mibovu ya barabara pamoja na usafiri. Makazini mishahara haitoshi na weledi umepungua kwa kiwango cha lami. LAKINI PAMOJA NA...
  18. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Nimegeuzwa fursa? - nimeuziwa ndege John badala ya kuku?

    Ni kwenye moja ya hizi hotel yanaposimama mabasi ya ruti ndefu za mikoani. Tuliambiwa huyo ni kuku nikaagiza nipewe paja moja chap lakini kwa ukubwa wa mapaja ya huyo 'kuku' mwenyewe na 'uwingi wa nyama' yake na utofauti wa ngozi ya juu unanifanya nijiulize kama kweli huyu ni kuku halisi au ni...
  19. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba kuifahamu zaidi wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi

    Salaam: Nategemea kuelekea wilaya ya Tanganyika mkoa wa katavi base mpya kijiji cha Ikola. Naomba kujua taarifa zifuatazo. 1. Upatikanaji wa ardhi kubwa za kilimo 2. Ni maeneo gani Pana madini ya dhahabu, copper,na ya vito mchanganyiko. Yaani madini ya gram,na ya matani. 3...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yanadi fursa za biashara na Wawekezaji Vietnam, waelezewa fursa za ujenzi, uvuvi wa kisasa, kilimo na kilimo cha korosho

    Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi na Biashara ya Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Afrika Mashariki, Balozi John Ulanga ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na makumpuni ya Viet Nam, ambapo wamenadi fursa mbalimbali za biashara na uwekezaji...
Back
Top Bottom