furaha

  1. JamiiForums Tanzania Dua: Mungu ifanye siku yangu ya leo iwe ya nzuri na furaha

    Ewe Mungu uliye Mkuu, Mungu wa mbingu na ardhi ifanye siku yangu ya leo iwe siku ya furaha, Mungu uliye mwingi wa rehema tunayekuabudu rehema zisizo na kifani na zisizo Kwisha.....Nineemeshe na kunibariki. Amin
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kigoma yazizima kwa furaha baada ya kutoa kiongozi mkubwa nchini

    Toka kuumbwa ulimwengu,. Leo hii Mkoa wa Kigoma umekwenda kutoa Kiongozi Mkubwa, Msomi, makini nchini. Heko wana-Kigoma kwa kuaminiwa. FUNZO: Marufuku kukata tamaa maishani.
  3. JamiiForums Tanzania Chozi la furaha

    SIMULIZI FUPI - CHOZI LA FURAHA Nilishuka garini nikiwa na furaha,hii baada ya kutoka likizo baada ya miezi sita ya kukaa chuoni.Mtu wa kwanza kumuoana alikuwa ni mama yangu ambaye alikuwa amemshika mkono mdogo wangu ambaye alikuwa darasa la kwanza.Nilimkumbatia mamangu huku nikiwa siamini...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dah! Uganda waipita Kenya kwenye mataifa yenye furaha, huku Tanzania ikiendelea kushikilia nafasi ya wanunaji na wenye dhiki

    Uganda has overtaken Kenya to become the happiest country in East Africa in the 2020 World Happiness Report released in March 2021. The survey conducted in 2020 placed Uganda at position 83, followed by Kenya at 86 which is a drop from the previous year, and Tanzania ranking at position 94...
  5. JamiiForums Tanzania "Nimeongea nae leo"Furaha anafurahia njaa kupata raha

    Asaalam alaykum eko tu kama mumeshinda biyee, Mie kwangu ni afuheni bwana yesu na asifiwe.. Nikaona nipitie kwa babu Nikapate kikombe, Mana ligi bado kubwa mpinzani anahitaji kombe.. Kinachofata dua niombe, Huko ushindi ligi ya mbuzi mganga kaagiza ng'ombe Achana na hayoo comrade!! MIMI...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Furaha ni nini? Nitaipataje furaha?

    Habari wanabodi Mimi ndugu yenu naishi maisha ya kawaida tu, ashukuriwe muumba nina kipato cha kuweza kubadili mboga na kadhalika, naamini nimependelewa kuliko wengi wanaonizunguka, sitaki kujikweza lakini si haba (ashukuriwe aliye juu). Naishi maisha ya kawiada (common man life), tatizo...
  7. JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa matukio ya furaha

    Habari Jf, Hapa unaruhusiwa kucomment matukio ya furaha ulio wahi shereke kipindi fulani either na mchumba, mke, wazazi, marafiki na jamii kwa ujumla. Tuambie ni tukio gani lililowahi kukufurahisha sana na hauta sahau. Twende kazi.
  8. JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma atakuwa na furaha pindi tu Serikali itakapoamua kumkopesha bila riba

    Binafsi ni mtumishi wa umma. Nimewahi kukopa mara 1 na kufanya top up mara 2. Kwa lugha nyepesi ni kwamba nimekopa mara 3. Kwakweli hali ni mbaya, topup ni wizi wa wazi kabisa. Hata hii mikopo ni unyonyaji ila tu watumishi hukopa kwa aidha shida ya haraka au kukosa maarifa. Muda mwingine...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Uhakika Tanzania tunaingia katika kumi bora za Nchi zenye wananchi wenye furaha duniani

    Kabisa kabisa hatupo mbali, kwa muelekeo na Gia tuliyoondoka nayo baada ya Uchaguzi uliolalamikiwa na Vyama vya Upinzani. Yaani kama mheshimiwa baba wa Taifa JPM utamfananisha na gari sijui awe gari gani kama ni ndege labda za kivita kama ni treni ni haipa lupu. Ila huyu ni binadamu mwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Sikukuu ndio siku ya kurudisha furaha ya Mtanzania iliyotoweka

    Habari wadau..! Kiukweli waTanzania tunahitaji furaha sababu maisha yamekuwa magumu sana huku mtaani ,japo tunafikiri sana nje ya box mpaka mabichwa yanaongezeka upana lakini bila bila kama mithiani ya maisha wengi tunapata zero. Tuwakumbushe tu viongozi maamuzi wanayoyafanya yasiwe ambayo...
  11. JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo yanayofanya Tanzania hiwe kinara nchi za wasio na furaha

    Habari wadau..! Kiukweli wa Tz tuna mzigo wa mambo mengi yanayotafanya tukose furaha mpk mda mwingine unatamani utoweke hapa duniani. Mfano siku kama ya leo au kipindi kama hiki unakuta kijana kamaliza chuo miaka inaenda hana mchongo ,kijana huyo huyo unakuta ni mshabiki wa mpira wa miguu...
  12. JamiiForums Tanzania Leo nina furaha sana, asante Mungu umenifuta machozi

    Mungu ni mkuu, hakika anastahili heshima, utukufu na adhama. Katikati ya miungu hakuna kama wewe BWANA nitakutukuza wewe, nitalifu jina lako siku zote, nitakuabudu wewe tu. Kamwe sito abudu wala kuyasifu matendo ya mikono ya watu iliyojaa udhalimu na damu zisizo na hatia. Pesa kwangu daima...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tuko kwenye orodha ya nchi zisizo na furaha? Je, ni kweli hatuna furaha?

    Inasikitisha kuona nchi yangu pendwa iko kwenye orodha za juu ya nchi zisizo na furaha kabisa duniani. Nina maswali machache ya kujiuliza na kuulizana:- 1. Je ni kweli hatuna furaha 2. Nini kimepelekea kuondoka kwa furaha yetu 3. Tufanyeje ili tuwe wenye furaha?
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya Nchi Zinazokosa Furaha, CUF tumekuja na sera ya ''Tanzania yenye furaha inawezekana''

    "Taarifa ya furaha duniani inasema Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya nchi zinazokosa furaha na sisi CUF tumekuja na sera ya Tanzania yenye furaha inawezekana" - Prof. Ibrahim Lipumba. - "Unaposema uchumi wa nchi unakua na wakati wananchi mifukoni hawana kitu ni kitu ambacho...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini nilikuwa nikiiangalia Sura ya Trump naona 'Fujo' na 'Ukatili' ila nikiiangalia ya Biden naona 'Amani, Furaha na Upendo' tupu?

    Japo Marekani sijafika na kuna uwezekano hata nisifike kabisa, ila tangia Joe Biden 'atangazwe' Mshindi nami najiona kama vile nipo Washington.
  16. JamiiForums Tanzania Ni kazi kwako Mtanzania, uamue kurudi kwenye majonzi tena au furaha moyoni

    Ni kazi kwako Mtanzania, uamue kurudi kwenye majonzi ya utekaji, uonevu, kupotezwa na kufilisiwa mali au kubomolewa nyumba zako kinyume na sheria ya nchi au uishi katika Tanzania ya furaha chini ya nguli wa sheria Tundu Lissu anayejua haki yako? Ni kazi kwako kuamua watoto wako waendelee kukosa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mgumu sana, nashauri watu wafuate mioyo yao

    Watu wengi wanachanganyikiwa na uchaguzi unaotegemewa kufanyika hivi karibuni,kiukweli Sera huwa ni tamu kila upande has a kwa vyama vya CCM na CHADEMA,unatakiwa ujue kuwa wrote hao wapo kwa ajili ya kupata kitu nasema kupata kitu kikubwa unatakiwa kuangalia moyo wako sio Sera zao pale unapooona...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nje ya dhuluma na upendeleo, daima wana CCM wanakosa furaha ya chaguzi

    Mada inahusika. Fanyeni survey kote nchini uone namna ya baadhi ya wana CCM walivyojengeka kiburi linapokuja suala la haki na chaguzi huru. Ndivyo walivyo mara zote na kote si Bara wala Zanzibar. Kupitia kunufaika na Dola kwa njia mbali mbnali wanajiona wana haki zaidi ya watanzania wengine...
  19. JamiiForums Tanzania Mtunzi wa wimbo uliovuma zaidi miaka ya nyuma wa ‘Tanzania yetu ndio nchi ya furaha’, Mzee Stephen adai kuzurumiwa Vyombo vya Mziki

    Mtunzi wa wimbo uliovuma zaidi miaka ya nyuma wa ‘Tanzania yetu ndio nchi ya furaha’, Mzee Stephen Hizza amwemwambia mtangazaji wa kipindi cha zilipendwa wiki iliyopita TBC Chacha Maginga anasikitika licha huo wimbo kuwa maarufu radio Tanzania lakini Serikali ya Awamu ya Nne pekee ilimpa ahadi...
  20. JamiiForums Tanzania Mpenzi ni yule ambaye mnaweza kufanya tendo la siri kisha mkatawanyika kwa furaha hata kama mmoja hajapewa fedha

    Kuna watu wajinga sana kwenye suala liitwalo mapenzi. Anamwita demu mpenzi huku K anaipata kwa kutoa fedha. Unaweza kutoa fedha lakini isiwe ndio mchezo kwamba usipotoa pesa demu hakuelewi. Mwanamke ambaye mnaweza kukutana kimapenzi kisha mkatawanyika bila mmoja kupewa pesa then akatoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…