furaha

  1. JamiiForums Tanzania Huzuni/furaha tunazitengeneza sisi katika haya maisha, kila unachodhani kitakupa furaha kipo neutral + SULUHISHO LAKE

    Kama kweli furaha inatokana na kitu fulani ambacho unakihitaji jee kwa nini baada ya kupata kitu hiko bado kuna vitu vingine vitakukosesha furaha na kukutia stress ? Yaani utajikuta umepata mtoto tayari,lakini kodi ya nyumba inakunyima raha ,je ni ipi faida ya furaha ya mtoto kama furaha hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna watu vyuoni/shuleni walikuwa serious na masomo tu, Makazini wapo walio serious na kazi, Ukiwa serious sana utafurahiaje maisha?

    Mtu anakuwa serious sana mpaka unashangaa. Vyuoni na shuleni enzi hizo unakutana na mtu yeye anachojua ni kusoma tu, Niliwahi kukaa chumba kimoja mwaka wa kwanza na mtu anabukua sio kitoto, yani ni yeye na chuo lakini nikawa nashangaa hata tukiongea ni mambo ya masomo tu, Nje ya kusoma ni kama...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

    Umuofia kwenu!! Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake; 1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na...
  4. JamiiForums Tanzania Ulimwengu wenye neema na furaha

    Habari wakuu, NIna wazo limenijia na kutafakari binafsi. Nimejiuliza katika maisha ya mwanadamu upi wakati sahihi wa kuipata furaha ile yenye uhalisia wake kwa 100%. Nikaishia kukumbuka miaka nipo mdogo kwa wazazi. Unaaga unaenda shule unasoma na kucheza na marafiki muda wa kuondoka unaondoka...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana Orlando Pirates kwa kunipa furaha siku ya leo

    Orlando Pirates ndio timu ninayo ipenda kuliko timu yoyote ile duniani. Asanteni sana kwa kuwapiga Amakhosi goli moko leo. Credit: Ukurasa wa instagram wa Likudd wa Jamii Forums. Cc LIKUD Kumbe Likud ni shabiki wa Pirates? Sikujua hilo
  6. JamiiForums Tanzania Napata furaha sana simba inavyotapatapa kumtafuta mchawi

    Kipigo cha 5G siyo mchezo jamaa wanatafuta mchawi ila wamesahau kulitufunga 5, walipigwa tano tano kwenye CAF pia wamesahau kuwa yanga imekuwa kawaida yake kushinda hizo goli mwisho niseme mjipange isije tena mechi ijayo mkafukuza mpaka mwekezaji (bwana mpata hasara asiye jivua) maumivu yapo...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha ya miaka mitatu, Mtusi na Mnyaturu mkoani Morogoro

    TRUE STORY Hello members nipo hapa kushare true story inayonihusu mimi na mrembo wangu tuliopendana sana na jinsi tulivoishi kwa miaka mi3 morogoro mjini na mpka tulipoishia. Karibuni. Nitakuwa natumia codes za aina tofauti kulingana na ambacho nitatakiwa kuhide na mm nitatumia jina Camavinga...
  8. JamiiForums Tanzania Ndoa na Familia yenye furaha na amani ina Mungu. Yenye mafarakano huzuni na chuki ina shetani

    NDOA NA FAMILIA YENYE FURAHA NA AMANI INA MUNGU. YENYE MAFARAKANO, HUZUNI NA CHUKI INASHETANI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Ukiona Mkeo/mumeo mnapendana, mnafuraha na amani. Mnataniana. Ni marafiki. Mnashrikiana kwa karibu kila kitu. Mnakula pamoja. Yaani ninyi maisha yenu kwa asilimia 80%...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania yetu ndio nchi ya furaha

    Nae Baba Nyerere ndie wetu muhifadhi nae ndie alieleta Uhuru, Tanzania Yetu Ndio Nchi Ya Furaha. Huu wimbo sijui ni nani waliimba haichuji aise, unaishi na maana yake ileile. Wimbo una historia pana ya nchi yetu kwa ufupi. Leo hii tuna Demokrasia siasa ya vyama, tuna fedha yetu wenyewe na...
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba CCM wengi hawana furaha na Uteuzi wa Makonda ila hawana nguvu ya kusema hapana!

    Kama kwenye hii dunia Kuna genge la wanafiki basi niamini Ndugu yangu, CCM ni baba wa Hilo Genge. Leo baada ya kutangazwa Kwa Uteuzi wa Makonda nimewasiliana na Wana CCM wengi Tena very influential wanasema hawajapendezewa, unawauliza mbona Sasa mko kimya? Wanakosa majibu! CCM wameshindwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ishi maisha yako, usifiche hisia zako

    Katika maisha yangu hakuna kitu ninachomuomba Mungu wakati mwingine kama kunipa roho ya kuweza kusimamia kitu ninachokiamini. Kusimama na kusema kwamba mimi nasimamia hapa. Watanzania wengi hatuna mambo haya. Sisi tumejaza unafiki mkubwa sana mioyoni mwetu, tena mkubwa mno. Tupo radhi kusema...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini tarehe za 21 hadi 4 Wanajeshi wanakuwa na Furaha tele, ila kuanzia tu tarehe 5 hadi 20 Wanatia mno Huruma na kuwa na Usununu / Hasira?

    Na hapa GENTAMYCINE nawaongelea / nawalenga zaidi wale Non Commissioned Officers ( Wanajeshi wa Ngazi za Chini ) na wala sina shida na wale Wakubwa ( Commissioned Officers ) kwakuwa sijawahi kuwaona wakiwa na hali ambayo huwa naiona kwa hawa Wenzao ninaowajadili wa Vyeo cha Chini wakiongozwa na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni jana tu walikuwa wakishangilia kuvamia Israel. Vilio vimeshaanza furaha imetoweka

    Ni jana tu wapalestina walishangilia na kufurahi uvamizi kwenye ardhi teule na kuua wateule na wengine kuwateka. Sasa hivi ni vilio husikii tena nderemo. Licha ya vipondo vimekatiwa umeme na maji vimebaki kulialia. Allah naye kala kona na kuzama chaka. Safi sana Benjamin Netanyau. Settle the...
  14. JamiiForums Tanzania Hongereni kwa Kuitafuta Furaha ya Makundi CAFCL kwa Miaka 25, ila msidanganyane kuwa huku ni Kwepesi kama mlikokubahatisha CAFCC Final

    Huku kunahitaji Uzoefu mkubwa mno na hapa wala msione Aibu kujifunza kutoka kwa Simba SC hata kama huishia Robo CAFCL mara kwa mara. Na kuna Uwezekano hata katika Pot yenu ya Makundi mkapangwa na Mamelodi Sundown FC, Esperance Du Tunis na Pyramids FC hivyo hapa sijui mtatokea wapi japo mnatoa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi atua shule ya wenye uhitaji maalum kushusha furaha

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Dr Florence George Samizi, Jana tarehe 26/9/2023 ametembelea shule ya Msingi Nengo iliyopo Kata ya Biturana Wilaya ya Kibondo yenye watoto wa Mahitaji Maalum akiongozana na diwani viti maalum tarafa ya Kibondo Mwanne Kihemo, diwani Barinabas Shedrack Baranzila na...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania ni moja ya nchi zisizo na furaha duniani

    Leo katika pita pita zangu mitandaoni, nikakutana na post ikionyesha kwamba Tanzania ni moja ya nchi zisizo na furaha duniani. Hivi hawa wachambuzi wanatazama nini hasa mpaka wanatoa hizi takwimu?
  17. JamiiForums Tanzania Watu wenye furaha ni wale ambao hawana muda kuwaza yaliyopita wala yajayo, wanaishi wakati uliopo kwa kuutendea haki

    In this life baada ya kusoma Kitabu cha The Power of Now by Echhart Tolle nimeelewa kuwa sisi kama binadamu huwa tunajidanganya sana kuhusu kuwaza mambo yajayo na yaliyopita. Honestly, hakuna hata siku moja mtu unaweza ukaamka uka-experience kuhusu future na past ila utaamka na ku-experience...
  18. JamiiForums Tanzania Walioondolewa Tanesco waonyesha furaha badala ya masikitiko

    Taarifa zilizopo zinaonyesha kwamba walioondolewa na wanaotarajiwa kuondolewa Tanesco wamepatwa na furaha ya ajabu , kinyume na matarajio ya wengi waliodhani kwamba labda Waenda zao hao huenda wangesononeka . Furaha hii ni Ishara ya wahusika kuondolewa kichwani mwao Gunia la misumali ...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanmke anaekimbilia kuvunja ndoa kisa mali furaha yake hudumu kwa muda mfupi kwenye nyumba isiyo na mume wa kumheshimisha kwenye jamii

    Nimetoka kwenye mitandao ya wanawake huko njkiwa natumia fake id kuna hawa wanawake ambao wanaingia kwa lengo la mali tu, unamuoa mnakaa miaka mitano huyooo, ndukii !! wapo wanaojutia maamuzi waliyofanya baada ya muda kwenda Mbaya zaidi umri umeenda hata soko la kuolewa linakuwa limeshuka...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu wanaonekana kuwa serious muda wote hata kama wana furaha?

    Habari wanajf Kama nawewe ni miongoni basi utakuwa sio mgeni wa maswali kama "mbona inaonekana upo serious mda wote" Au "mbona una mawazo sana" Sasa kuna baadhi ya watu nadhani namimi ni miongoni tunaonekana tuna sura ambazo hazina chembe ya tabasamu. Yaani kuna mtu ukimtazama kwa haraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…