fundi

  1. JamiiForums Tanzania Simu ilikua kwa fundi

    Wakuu hope mpo poa, Hii ni thd ya kujifurahisha tu "Jokes" Tunge sentensi kwa kutumia neno Simu ilikua kwa fundi, Naanza na hii, Hongereni sana mashabiki wa Argentina kwa kutwaa kombe la Dunia,sikuwezi kutoa hongera zangu kwenu mapema coz simu ilikua kwa fundi, Twende kazi......
  2. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mudathir Yahya ni fundi sana

    Mudathir Yahya is a Baller. At the age of 27 years old. He could have been ina better Club than Azam and Young Africans. He is too good. I hope these CAF competitions highlights his career to a better pay day. Azam FC recruitment board ipo vizuri sana. Hongereni.
  4. JamiiForums Tanzania Rasmi ugomvi wa Membe na Musiba umeamuliwa na Mungu, Mungu fundi

    Hakika Mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyatolea uamuzi kwa namna anavyoona yeye ikimfaa. Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamuliwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umeamuliwa na Mungu 😅. Mungu fundi nyie!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nani anamjua fundi wa kufunga Gearbox ya Nissan patrol Dar es Salaam

    Nina gari ambayo inahitaji kufungwa gearbox mpya lakini simjui fundi mwenye ozoefu na muaminifu hapa Dar ; wengi wa mafundi ninaowafahamu sio professional kwani sio waaminifu Ingawa unawalipa hela nzuri tu. Sasa kama kuna mtu anamfahamu fundi muaminifu na mzoefu anaeweza kuja kunifungia...
  6. JamiiForums Tanzania Fundi umeme wa majumbani (pata 30% ukiniletea mteja)

    Fundi umeme wa majumbani kama kusuka, vifaa vya umeme kama pasi, heater, oven, microwave, fridge, n.k Ukifanikiwa kupata kazi au kuniletea mteja utapa 30% ya malipo ya mteja atakayotoa Tuma ujumbe pm. Dar es Salaam > Kibamba
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania hii yote hakuna fundi simu wala compyuta!

    Wadau mimi ni fundi wa simu lakini kunawakati kabisa najiona mimi sio fundi. Hivi umewahi kupeleka simu au computer ikiwa na tatizo la kutokuwaka kwa fundi, halafu akakwambia imekufa kabisa haiwezi faa labda ununulie mashine nyingine? Yaani iko hivi, simu au computer haiwezi unguza components...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Namtafuta fundi Mtaalamu wa kufungua combination lock bila kuvunja

    Habari za muda huu wakuu. Nina sanduku linatumia combination lock system, bahati mbaya nime sahau hizo code namber. Najua humu kuna watu walisoma topic ya Permutation katika advanced maths enzi hizo, sijui sasa kama bado ipo. Tafadhali naomba usaidizi wenu au 'tricks' za kufungua sanduku...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada fundi wa mlango wa Porte Automatic

    Waungwana heri ya pasaka na mfungo mwema kwa kila muhusika. Kwa anaemjua fundi wa mlango wa porte ambao umeacha kujifungua automatically. Awe dar tafadhali. Shukran za dhati za awali. Cc: Extrovert
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wadau natafuta fundi magari anaye hitaji msaidizi

    Mimi ni fundi natafuta fundi anaye hitaji msaidizi faniyangu ni mechanical Niko dar
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kiungo fundi (Mudathir Yahya) asaini miaka 2 Yanga SC

    Klabu ya Yanga imethibitisha kumuongezea Mkataba wa miaka mow ili 2)kiungo Mudathir Yahya wenye kipengele cha kuongeza. Mudathir alitua Yanga katika dirisha dogo la Januari mwaka huu na ameonyesha kiwango kikubwa kwenye mechi za mashindano alizocheza mpaka sasa.
  12. JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi umeme natafuta kazi

    Habari zenu wakuu mimi ni fundi umeme natafuta kazi, kama Kuna fundi ambaye naweza fanya nae kazi naomba niwe nae, au kama Kuna mtu anaweza kuniunganisha kiwandani au kwenye sekta yeyote Tanzania bara au kisiwa popote pale nipo teyari Contact 0712046672
  13. JamiiForums Tanzania Fundi Rangi Mzuri dsm.

    Nahitaji kurudia rangi ya gari, au kubadilisha kabisa naomba kuelekezwa mafundi wazuri bei pamoja na ushauri wowote. ni ki- ist
  14. JamiiForums Tanzania Fundi simu kwa bei nafuu

    Epateletech tunakuja na hii Ukikosa hii offer sijui itakuaje Whatsapp 0757937196 Wateja wetu wa mikoa ya nje na dar fanya utakalo ona linakufaa kati ya yafuatayo. 1.Itume simu moja kwa moja ofisini itengenezwe kisha utatumiwa au unaweza kumtumia mtu kama una mwenyeji dar es salaam...
  15. JamiiForums Tanzania Kazi/ kibarua cha fundi mabomba (plumbing)

    Habari zenu wakuuu, Mimi ni muhitimu wa water supply chuo cha maji Dar es salaam. Pia continuous student wa water resources engineering degree hapa hapa chuo cha maji, tumepata rikizo ya mwezi mzima chuoni Naomba connection au kibalua au kazi kwenye sector ya plumbing kwasababu nipo vizuri sana...
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi mzuri wa kupaua ni shading ya vimbwete.

    Nahitaji fundi mzuri wa kupaua ni shading ya vimbwete. Aweze kunipa mahitaji ya vifaa na gharama za ufundi. Picha ya mfanano nai attach It is Urgent.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Matokeo yakitoka ndio kila mtu anajifanyaja Ni fundi kujadili issues za elimu

    Kwa nini huwa hatuongelei issues zinazohusu elimu mpaka matokeo yatoke,je Ni kweli kila mtu anaweza kuwa mtaalamu kwenye Mambo yanahusu elimu?,ualimu Ni mgumu sana ,watu wa fani nyingine wawe na heshima na fani ya ualimu,garbage input gargabe out put,walimu huwa wanalaumiwa sana kwenye output...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi kupaua/ Fundi paa Mwanza

    Wadau kwa yoyote anayeweza kunipa mawasiliano ya fundi mzuri wa kupaua anayepatikana Mwanza naomba namba tafadhali
  19. JamiiForums Tanzania Fundi wangu ananiangusha wallah!!

    Nilimuamini sana anapiga kazi ambayo ata graduate wa civil anasubiri lakini huu ndio muandiko wake nimechoka.
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ni sawa wife material kuwa fundi kiasi hiki?

    Salaaam... Kwanza kabisa niwe mkweli tu mie nimechakata sana hawa watoto, ila kuna dem mmoja nlikutana nae mtaani nikiwa likizo miaka ya nyuma kdg ), tukazoeana na ndo nikawa nna mpango aje awe mzazi mwenzangu (sio ndoa aisee, kuzaa nae tu tulee hadi tutakapochokana). Nlimchagua yeye kwa sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…