fundi

  1. JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi wa magari, natafuta sehemu ya kufanyia kazi Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu, Mimi ni fundi wa magari nina uzoefu wa takribani miaka nane sasa natafuta sehemu ya kufanyia kazi nipo dar es Salaam. Au kama kuna mtu atakua tayari kufungua ofisi kwaajili ya tire service na baadhi ya spare za magari nipo hapa.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu gharama za fundi

    Habari za asubuhi wazee, Naombeni makadrio ya gharama za fundi kwenye ujenzi wa Msingi, ukuta, mpaka bati kwa wale wazoefu wa hizi kazi.
  3. JamiiForums Tanzania Fundi Kushona auawa baada ya kumsaidia mtuhumiwa chakula

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Kwalakamu wilayani Rombo kwa madai ya kuhusika na mauaji ya fundi nguo, mkazi wa Kijiji cha Ngaseni, Anord Tarimo (30). Agosti 29, mwaka huu fundi huyo, anadaiwa kucharangwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili...
  4. JamiiForums Tanzania Fundi TV anapatikana hapa

  5. JamiiForums Tanzania Fundi kupaua (mrejesho wa kazi)

    Napatikana kwa namba 0743257669 TUMEKABIDHI KAZI PANDE ZA KIGOGO MABIBO NYUMBA INAUKUBWA WA MITA 4.6 KWA 12M Mbao 4×2 pcs 80×5500= 440,000 Mbao 2×2 pcs 60× 2800= 168,000 Mbao 10×1 pcs 12×16000= 192,000/= Misumari nch4 kg 25×3500= 87,500/= Misumari nch3 kg 5×3500= 17,500/= Misumari nch2 kg...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fundi Umeme

    Habari wadau, Tunatoa huduma za ufundi umeme na solar, . wirring aina zote . maintenance ya wirring zote . security system (CCTV) .water pump . Street light N.k Tunapatikana Iringa Mjini Call: 0678019417 Pia tunatoa huduma ya kufunga submiter zinazokata umeme kwa bei poa kbsa
  7. JamiiForums Tanzania Fundi Mzuri wa External hard drive

    Msaada wadau natafuta fundi Mzuri nasisitiza mzuri maana mafundi wa electronics "wengine" wabahatishaji. Hivyo kama unafaham fundi anae jua kutengeneza hizi external hard drive Naomba anisaidie. External nilizonazo zinawaka ukiziconnet ila hazisomi sio kwenye computer au kwenye TV.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kufunga Flat TV ukutani

    Wakuu kwema nyote, naomba nianze tatizo hili kuna jamaa kanunua flat screen na vile vichuma wakampa vya kuvungia ukutani, maana akisema aweke ikae kwenye meza anahofia watoto watasukuma. Sasa anatafuta fundi au jinsi ya kuifunga ukutani afanyeje? Natanguliza shukrani 🙏.
  9. JamiiForums Tanzania Fundi pavements

    Tunahusika na ujenzi wa: 1. Pavement blocks za maua mbalimbali (kufyatua na kupanga) 2. Kujenga kegbstone(bouder blocks) na kudesgn garden🌺🌱 3. Tunafanya renovation (paving zilizotitia) na kuzipaka rangi (painting)🖌️ 4. Tunajenga paving za kisasa kwa kutumia mold za plastic (zinaokoa...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi magari Mwanza

    Nina shida gari funguo nimepoteza naomba kama kuna fundi mwanza anaweza kunibadilishia funguo nyingine
  11. JamiiForums Tanzania Fundi simu anahitajika, nina ofisi nahitaji fundi

    Fundi simu anahitajika kama kichwa ya habari inavyosema hapo juu,fundi ninae muhitaji ni fundi makini,anaejua kazi,anaejua majukumu ya kazi yake Maeneo yote mawili software na hardware. Japo matatizo ya software sio mengi lakini fundi mwenye anajua basic tips za kuondoa FRP,FLASHING TOOLS,nk na...
  12. JamiiForums Tanzania Nauliza tena wapi fundi mwenye uwezo wa kubadili mlango wa sienta huu wa abiria uwe kama hii ya kawaida ya kufungua na sio wa kuburuza?

    Yani haka kagari huwa natamani sana nikachukue kama back up huko sababu ya space ila tatizo lake huu mlango wa kuburuza siupendi kabisaaa mtaalamu wa bodi anibadilishie ufunguke kama milango mingine usiwe wa kuburuza kama ulivyo sasa inawezekana?
  13. JamiiForums Tanzania Jambo gani linakufanya usimsahau kamwe yule Fundi Nguo?

    Kuna mafundi nguo wazuri na wazinguzi. Kila mmoja huenda ana jambo lake linalomfanya kamwe asimsahau fundi nguo fulani labda kwa uzuri au ubaya. Share with us kilichojiri kwenye comments...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Fundi Umeme na solar

    Habari! Kalibun kwa huduma za ufundi umeme na solar, tunafany design za taa mbali mbali za umeme. Tv show case na wirring zote kwa ujumla, tunafunga submitter aina zote. Tuna design taa mbali mbali za solar kam stree light, home lighting system, stand alone system na hudum nyingne za umeme na...
  15. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe usajiri wa kiungo fundi mkata umeme sawadogo..

    Simba tumekosea sana kumuachia kiungo mkata umeme hata akiwa benchi, Nimeumia sana maana hata bin kazumari alisemaga kuwa mnyama hapa hajapigwa kwa sawadogo why aachwe? Sawa sawa na tumemuacha maestro Andrea piro . Nimeumia sanaa natamani ninywe sumu
  16. JamiiForums Tanzania Fundi plaster anahitajika Haraka-Site Bunju Dar es salaam

    Asante
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi mitambo Dar es Salaam

    Habari Wakuu, Nina uhitaji wa Fundi mzuri na mwenye uzoefu anayezijulia Hydraulic vizuri hasa upande wa pump. Nipo Dar es Salaam
  18. JamiiForums Tanzania Fundi simu leo nusu nichezee kipigo kutoka kwa mteja

    Leo nikiwa zangu ofisini kwangu jua la mchana hivi nikiwa napiga tu miayo kwa njaa ya pesa, Akaja mdada mmoja akiwa na simu ya batani imevujia kioo, sasa kwa bahati mbaya nikawa sina kioo cha aina hiyo, kwa haraka haraka nikapiga hesabu kuna simu moja ya mteja nilimtengenezeaga spika akawa...
  19. JamiiForums Tanzania Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gesi nje ya nyumba

    Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gas nje ya nyumba kama inavyoonyesha hapa kwenye video. Mimi nipo Pugu
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta Ajira Dar es Salaam

    Habari wanajamii, Mimi ni kijana mwenye shahada ya uhandisi mitambo (Bsc in Mechanical Engineering) naishi Dsm. Jinsia ME, Kwasasa sina kazi yoyote, hivyo kama kijana mwenzenu nnaetafuta kujikwamua kimaisha naombeni msaada wenu niweze kupata kazi yoyote ya halali kwa maana hali imekuwa ngumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…