forum

An Internet forum, or message board, is an online discussion site where people can hold conversations in the form of posted messages. They differ from chat rooms in that messages are often longer than one line of text, and are at least temporarily archived. Also, depending on the access level of a user or the forum set-up, a posted message might need to be approved by a moderator before it becomes publicly visible.
Forums have a specific set of jargon associated with them; example: a single conversation is called a "thread", or topic.
A discussion forum is hierarchical or tree-like in structure: a forum can contain a number of subforums, each of which may have several topics. Within a forum's topic, each new discussion started is called a thread and can be replied to by as many people as so wish.
Depending on the forum's settings, users can be anonymous or have to register with the forum and then subsequently log in to post messages. On most forums, users do not have to log in to read existing messages.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbulukenge

    JamiiForums Tanzania Msaada wana JF wenzangu, nina msongo wa mawazo

    Napitia changamoto za msongo wa mawazo, nafikiria kujiua tu. Napitia mfululizo wa matukio yakunikatisha tamaa kabisa. Nmejariwa kusoma but sijawahi kupata kazi. Kinacho niumiza zaidi nlikua nmeachiwa gari 2 za home coaster kufanya biashara. Nlikata TLB ya special hire nmefanya kama miezi...
  2. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Serikali haioni hivi vichwa vilivyopo JamiiForums?

    Kwanza, ninaipongeza kwa kumteua Mkurugenzi wa JF, Maxence Mello kuwa mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Naamini hawajakosea kumteua mtajwa. Lakini inafahamu kuwa kuna vichwa vingine kibao, tena wanaotumia verified Id hivyo si kazi kuwapata, ambao wangeweza kuwa na mchango...
  3. AFRICAN BOYI

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, huku mtaani sio poa

    Habari zenu wakuu Wakuu naombemi kazi yoyote ya halali huku mtaani sio poa. Huku kitaa nimepambana sana huku na kule lakn bado kugumu ila hatukati tamaa. Naombeni kwa yeyote mwenye kazi aniunganishe tafadhali, ata za viwandani sawa tu muhimu kupata chochote kitu. Mwenye connection za saidi...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachangiaji wa Jukwaa la JF English ONLY FORUM ni Wakenya, Waganda,. Wanyarwanda na Watanzania ni wa Kuhesabika?

    Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
  5. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Unafurahia mwaka mpya ukiwa wapi ndugu mwana JamiiForums?

    Wengine mwaka mpya umetukuta hapa small New York, ni mwendo wa kujipongeza kwenda mbele. Nawatakia mwaka mpy wenye mafanikio, baraka na maendeleo ya kweli ndugu mwanaJF mwenzangu.
  6. Mfilisiti

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye mvuto JamiiForums 2023

    Wakuu habari za wakati huu, hopefully mko poa. Ifuatayo ni orodha ya wanawake wenye mvuto kwa mwaka huu 2023 Disclaimer: Ni kweli haiombwi hivo ila nikipewa sikatai😂😂 Hapa hamna kuwashobokea wala nini "Mwanamke ni ua lazima wavutie" Unataka na wewe dume uandikwe humu jamii forum kwa kipi? NB...
  7. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2024 natangaza rasmi vita kali na members wa wanafiki kwa Rais Samia

    Mwaka 2024 naingia rasimi na maadui wa serikali ya Tanzania akiwemo Choice variable, Lucas mwashambwa na wengine wanaompamba Samia kinafiki huku wakijua kuwa Hali ya kisiasa kwa Samia ni ngumu mitaani kuwahi kutokea katika siasa za Tanzania Hawa jamaaa wanasifia ujinga ujinga na unafiki mtupu...
  8. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Madaktari nielewesheni hapa natumiaje hii dose ya Azuma vipo vidonge 6

    Nimeandikiwa na daktari 2x1 kama mnavyoona kwenye picha
  9. FORTUNE JR

    JamiiForums Tanzania Najiona maisha Yangu yakikosa nuru kabisa na kuelekea ukingoni

    Wakuu habari, poleni na majukumu ya kila siku. Ni hivi wadau kila nikishika simu yangu nakuiona app ya JF napata hasira natamani kupigiza simu yangu chini, Maana bila platform hii huwenda maisha yangu yangekua na amani na matumaini. Mimi sio mdau saana wakuandika nyuzi humu JF lakini...
  10. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Namna gani pale great thinkers na matajiri wa JamiiForums. Hili sikulitegemea kabisa

    Nimekutana na hizi nyuzi zifuatazo zimenisikitisha sana 1. Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama huu uzi umetoka kwa lijendari great thinker Mpwayungu Village aisee imenisikitisha sana. Mi naona tusifike huko jamani great thinkers, kumbukeni hawa wazazi wetu kwanza wengi wao - wazazi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nashukuru sana JamiiForums imenipa mume

    Hello babies, Si mnakumbuka kuna siku nilikuja hapa like waaaoh, nikaleta story za kutafuta mume? You know babies basi bwana kwenye DM yangu ikamwagika weee meseji kibao zaidi ya mia mbili hivi you know. Basi akijtokeza mbaba mmoja hivi jina nalihifadhi, akanitumia meseji moja moja aisee...
  12. Aga machine97

    JamiiForums Tanzania New to JamiiForums

    Hello guys, Nimekuwa nikiifuatilia JamiiForums kwa kipindi kirefu, lakini ilikuwa ni kupitia kwa Mitandao yake ya kijamii, but now here i am. New member of this Forum.
  13. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Wana-JamiiForums hebu tuheshimiane

    Kwa kujua watu wengi kwa sababu ya biashara, urafiki na kubadilishana mawazo . Humu jf wengi ni watu wazima sio wanawake au wanaume wote ni watu wazima humu hakuna mtu ana 29 kushuka chini humu 31 kupanda juu . Ushauri tuheshimiane na kusaidiana tusipende kutesana ni muda wakutoa mada za...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mshahara wa muuza duka la nguo Kariakoo

    Habari wana Jamiiforums? Naomba kujuzwa range ya mshahara wanaolipwa vijana wanaouza kwenye maduka ya nguo kariakoo. Na baadhi ya Vipengele muhitimu kwenye makubaliano baina ya boss na mfanyakazi.
  15. minzakunza

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu jamii forum

    Nawasalimu wote Tafadhali naombeni msaada au ufafanuzi, leo tangu asubui jamii forum imegoma kufunguka kwangu Nimehangaika sana kuzima simu na kuwasha, ku unstall app na ku install upya jaribu kila kitu ikashindikana. Mida hii nikapata wazo la kutumia vpn naona imefunguka ni nini kinaendelea, ni...
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuweka bidhaa kwa mnada

    Asalaam aleykum jamiiyah, kusudio la uzi huu ni kuweka bidhaa hapa ambayo unataka kuiuza ukizingatia biashara kwa siku za hivi karibuni zimekuwa za kimtandao zaidi, hiyo mtu yoyote atatupia bidhaa yake hapa na wanunuzi watatupia kiasi walichonacho kwa bidhaa husika. N. B: Muuzaji ataweka bei ya...
  17. Joannah

    JamiiForums Tanzania JF ilivyoua huba langu

    Samaleko, Basi bwana, miaka kadhaa nyuma nilikuwa na Id yangu xxxx, haikuwa Maarufu hata kidogo, nilikuwa napenda kumchangia kidogo kwenye Jukwaa la siasa, intelligence na international news na History. Sasa Maulid moja akaja ex shemeji yenu kunitembelea, kwa kawaida nikiwa nyumbani napenda...
  18. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Wapi mnapata emoj ya kucheka kwenye browser ya jamii forum

    Natumia browser katika jamii forum! Kuna mahari naona watu wanaweka emoj ya kucheka! Mimi nikiitafuta siioni zaidi ya emoj ya like👍. Sasa hizo emoj mnazipataje?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa biashara za vitabu used

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo. Bila kupoteza muda, naomba nizame kwenye mada. Kwa yeyote mwenye idea juu ya uuzaji vitabu used (mitumba). Napita mitaani naona watu wanauza vitabu used. Binafsi, naomba kujua huwa wanavilangua wapi?
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye kufahamu mtandao wa Kimataifa kama JamiiForums

    Salaam! Naomba mwenye ufahamu anijuze mtandao ulio kama JamiiForums katika ngazi ya Kimataifa, usihusishe Facebook, Twitter, na Instagram. Ninapendelea forums zenye mijadala fikirishi, yaani, yenye mada zinazojenga ufahamu mzuri. Asante.
Back
Top Bottom