fomu

Fotomuseum Antwerp, also known as FOMU, is a museum of photography in Antwerp, Belgium.

View More On Wikipedia.org
  1. Walimu Wamchangia Rais Samia Hela ya Fomu Kugombea Urais 2025

    UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.
  2. M

    Mwajiri wangu amegoma kunisainia fomu yangu ya uzazi kwa ajili ya mafao ya uzazi NSSF

    Naombeni ushauri mwajiri wangu amegoma kunisainia fomu yangu ya uzazi kwa ajili ya mafao ya uzazi Nssf kwa sababu hajapeleka michango yangu kwa muda, naombeni ushauri hatua za kufanya. Nilienda NSSF wanisaidie wakaniambia nirudi kwa mwajiri, sasa sijapata msaada na muda wa mafao ya uzazi...
  3. Kampeni za Uchaguzi zimeanza DRC, Fomu ya Urais Tsh. Milioni 150

    Wakati wagombea urais wa Tanzania wakitoa Sh5 milioni kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano, kwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wagombea urais wanatakiwa kuonyesha risiti ya malipo ya faranga za Congo milioni 160, sawa na zaidi ya Sh150.3 milioni kama ada zisizorejeshwa kwa Tume Huru ya...
  4. Tetesi: Uchaguzi TCCIA Wa 07.11.2023 wadaiwa kuingia dosari za kujazia fomu kutokea ndani ya kamati ya uchaguzi na menejimenti

    Mimi Tai katika kupaa kwangu nimekutana na penyenye kuwa Uchaguzi wa TCCIA unaofanyika tarehe 07.11.2023 umeanza kupata dosari. Viongozi wa Makao Makuu wameanza kupanga safu, ikiwa ni pamoja na kujazia fomu wagombea ambao hawakuomba nafasi hizo hadi zoezi linafungwa. Penyenye hii inasema...
  5. Spika wa Bunge Dkt. Tulia Acksoni, achukua fomu kugombea Urais IPU

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 147 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Angola. Katika Mkutano huo pamoja na mengineyo utafanyika Uchaguzi wa Rais mpya wa Umoja huo ambapo Dkt. Tulia ni miongoni mwa Wagombea.
  6. Nimekwama kujaza fomu ya passport. Naomba msaada wakuu

    Baada ya kujaza fomu mtandaoni, nikalipia Nika download, Sasa hivi vipengele sijavielewa: 7. Wadhamini wa mwombaji: naomba kufahamu Kama wadhamini Ni lazima wawe Ndugu wa damu au hata marafiki tu. 9. Shuhuda kwa mwombaji: Naomba kufahamu kama huyo shuhuda ni ndugu au Ni mwajiri au Ni hakimu au...
  7. Z

    Fomu za kupimia afya watumishi wa mahotelini.

    Naomba kwa aliye na sample ya fomu ya kupimia afya watumishi wa mahotelini na kwenye migahawa aniwekee hapa. Ukiniwekea pdf yake nitashukuru sana. Ninafungua mgahawa, sasa kupata hizo fomu wahusika wanadengua, wanataka sh 15,000/= kwa kila fomu!! sasa kwa watumishi watano nadaiwa 75,000/=(mbali...
  8. C

    Fomu za talaka zijazwe online

    Nina hoja. Ili kupunguza visa vya Wanandoa kuendelea kuwekeana chuki na kuumizana wakati wa mchakato wa kutengana kimahakama, naona ni vema fomu za TALAKA ziwekwe kwenye mifumo ya mahakama mtandaoni ili watalaki wawe wanajaza huko. Ikiwezekana maamzi yawe yanatolewa kupitia mifumo salama ya...
  9. S

    Hotuba ya Mpina imenitoa machozi akichukua fomu kugombea uspika mwaka mmoja uliopita

    NIMESIKILIZA HII HOTUBA YA MBUNGE MPINA AKOSOA YALIYOFANYWA NA NDUGAI AKIWA SPIKA, WAKATI AKICHUKUA FOMU YA USPIKA NA KUTANGAZA KUREKEBISHA MAPUNGUFU MSIKILIZE NA WEWE UNAWEZA KUJIFUNZA VITU NA HALI ILIVYO SASA NA TULIA ANAVYOONGOZA BUNGE https://youtu.be/HdOl2bhdsWY
  10. K

    Msaada wa maombi ya mkopo demographic info (HESLB)

    Msaada wa maombi ya mkopo wa elimu ya juu(HESLB) nilikuwa namuapplyia mkopo mdogo wangu sasa nimefika katika demograhic info nmejaza fomu vizur inalod tu ainipi murejesho naombeni msaada maana nimekwama siwezi endelea mbele.
  11. Utoaji Fomu za PF3 bado una utata Nchini licha ya agizo la Serikali tangu miaka 7 iliyopita

    Miaka saba tangu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipoagiza fomu ya Polisi namba tatu (PF3) kutolewa hospitalini na miaka miwili baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaka mabadiliko ya utaratibu wa kudai fomu hiyo kabla ya tiba kutolewa, utekelezaji wa maagizo hayo umegubikwa na utata. Agosti 22...
  12. James Mbowe ameonesha ana kipaji kikubwa cha uongozi, achukue fomu kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

    Nimefuatilia kwa karibu shughuli za kisiasa za ndugu James Mbowe. Nimeridhika kabisa anafaa kukamata nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Ni mwanamageuzi kindakindaki, amepikwa kisiasa akaiva, na amekuwa mstari wa mbele katika harakati za chama. Nashauri CHADEMA wafikirie kumpa Uenyekiti...
  13. Ushauri: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa 2025 chukua fomu ili uliokoe taifa letu na hili genge. Tunajua msimamo wako na uchapakazi wako

    Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani. Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya. Watanzania wanachangishwa tozo, ushuru na kodi za kila namna lakini hawaoni yanayofanyika. Tril 1.3 za foreign...
  14. Jinsi unavyoweza kuandaa fomu za Ukaguzi wa viwanja na ukaguzi wa nyumba kabla hujanunua

    Ukaguzi wa nyumba ni sehemu muhimu sana kwenye mchakato wa kununua kiwanja au kununua nyumba. Fomu ya ukaguzi wa kiwanja au nyumba inatakiwa kuwa na vipengele vifuatavyo;- ✓ Taarifa za nakala za umiliki wa ardhi au umiliki wa nyumba. ✓ Taarifa za usalama wa mazingira ya kiwanja au nyumba. ✓...
  15. M

    Godfrey Nyange Kaburu kabla ya Kuchukua Fomu ya Uongozi Simba SC umewaomba Radhi wana Simba SC?

    Bahati nzuri Binafsi nakujua ndani nje tena mpaka Dhambi zako ZISIZOSAMEHEKA ulizowafanyia wana Simba SC mpaka ukakoswakoswa Kupigwa Risasi Uwanja wa Taifa na Marehemu Zakaria Hanspoppe baada ya Ismail Aden Rage Kuingilia kati na Kumsihi. Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
  16. 2025 nitachukua fomu kupitia CCM na nitampinga huyo mnaetaka asipingwe

    Kwanini nguvu kubwa inatumika kutulazimisha tuvunje kanuni na katiba Kwa kututisha? awamu ya tano inamalizika 2025 ndipo tuanze awamu ya SITA. Kanuni za kawaida za chama ni kuchukua fomu ama kutangaza nia, watu washindanishwe apatikane alie bora. Kwa Nini Jakaya na Makamba wanataka tule...
  17. Kwa Ihefu FC hii iliyo 'Ndembe Ndembe' huenda Leo Mayele aliye kwenye 'Fomu' yake akaondoka na Mipira Mitatu

    Huenda leo Mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele akaondoka na Mipira Mitatu kwa Kufunga Goli Tisa (9) peke yake pale Yanga SC itakapomenyana na Ihefu FC iliyo mbovu ( ndembendembe ) kabisa katika NBC Premier League. Tunaochukia Mayele Kufunga na Kutetema huenda leo tukanuna (tukawa na...
  18. TAKUKURU ichungezeni Posta wanapokea hela za fomu za watoto za Bodi ya mikopo wakilipwa hawapeleki kwa wakati

    TAKUKURU ichungezeni Posta wanapokea hela za fomu za watoto za Bodi ya mikopo wakilipwa hawapeleki fomi kwa wakati bodi ya mikopo zingine wakashikilia hadi muda upite. Vamieni ofisi za posta mfanye uchunguzi
  19. Zoezi la ujazaji fomu Kwa ajili ya mafao

    Awali ya yote wote niwapongeze katika ujenzi wa Taifa, Kuna mdau mmoja ameniuliza kuhusu zoezi Zima mafao Kwa watumishi waliogushi vyeti, Kwani zoezi Zima lilianza tarehe1 mwezi huu, Sasa hwajaeleza mwisho ni lini? Humu ndani kama kunauelewa Kwan huyo Muhanga yupo mbali bado anashghulikia nauli...
  20. Tetesi: CCM wanaoutamani urais 2025 Wakinyimwa kugombea kutimkia upinzani na kujaza fomu za kugombea Urais

    Kuna wimbi limeanza kujinadi kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia CCM na kundi hilo linakubalika. Iwapo fomu ya kugombea Urais kupitia CCM itatolewa fomu moja ni wazi kuwa wagombea hao wataamua kuchukua fomu za kugombea urais kupitia upande wa pili. Wananchi walio wengi wamekumbwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…