Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM.
Akizungumza leo Jumapili Februari 6, 2022 mara baada ya kuchukua fomu hiyo Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nyongo amesema ameamua...
Dkt. Akandunduma anasema kimsingi Dr Tulia hakupaswa kujiuzulu nafasi ya Naibu Spika katika mchakato wa mchujo ndani ya chama bali pale atakapochukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika kwa Katibu wa bunge la JMT.
Je, yuko sahihi.
Binafsi nimeunga mkono hoja ya Dr Akandunduma.
Waungwana salamu [emoji1538]
Nisipoteze muda mwingi niende moja kwa moja kwenye mada.
Kujiuzuru uspika kwa Mhe. Ndugai kumezidi kuonesha ni kwa namna gani kama Taifa bado hatufahamu mambo mengi ya kisiasa, kiutawala, uraia na kiutendaji.
Wapo waliombeza Mhe. Ndugai wapo walioshitushwa na wapo...
Trend analysis hazidanganyi kugombea uspika tu watu wanakaribia 200
2025 natabiri wabunge waliopo wajiandae kutakuwa na wachukua fomu zaidi ya 100 kutaka kuteuliwa na CCM kuwa wagombea wa jimbo na viti maalum
Ugombea urais kupitia CCM Mama Samia naye ajiandae kutakuwa na watia nia zaidi ya...
Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza Kuelewa ni kwanini Watanzania na Taifa letu la Tanzania tunadharaulika sana kama siyo mno na Mataifa mengine ( hasa hasa ya Jirani ukiiondoa tu Burundi inayojipendekeza Kutwa kwa Tanzania utadhani imeolewa na Tanzania ) yenye Raia makini, Werevu na wenye kujua...
15 January 2022
Taarifa toka makao makuu ya CCM Dodoma pia kutoka Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba na Afisi ya CCM Kisiwandui Unguja Zanzibar .
Wanachama wa CCM wanaotia nia kugombea nafasi ya uspika baada ya Spika Job Y Ndugai kujiuzulu January 2022 ni hawa wafuatao :
Andrew Chenge : mwanasheria...
Habari za muda huu,
Swali langu ni mahususi kwa nafasi ya uspika lakini pia linaweza kujibiwa kwa nafasi nyingine ambazo mchakato wake wa uteuzi wa wagombea unaanza kwa kuchukua fomu kwa vyama husika. Swali ni:
Je, ikitokea wote waliochukua fomu ya kuwania nafasi fulani hawana sifa kamili...
Kuna Mmoja hata Mfumo wake tu wa Elimu ni mbovu ( japo ni Tajiri kwa Ushirikina na Utapeli ) wake halafu naturally tu ni Fool nimeona kachukua Fomu ya Kugombea Uspika.
Kuna mwingine Kwanza ana miaka 26 tu halafu 'hajasapua' bado 'Sapu' zake za Chuo Kikuu anachosoma na hata kuandika tu Chapter...
Habari ndio kama mnavyoisikia ndugu zangu, mzee wa vijisenti ambaye inasemekana ana akili nyingi kuliko wagombea wengine wote waliokwishachukua fomu, leo tarehe 12/01/2022 amejitosa kwenye kinyang'anyiro hicho.
WASIFU
KUZALIWA
- Mbobezi wa Sheria Barani Afrika na "Alumni" wa Chuo kikuu bora...
Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania
Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
anafaa
azzan zungu
baada
bunge
bunge la jmt
dada
dada yangu
dkt. tulia
fomu
godwin kunambi
kugombea
kura
magufuli
maslahi
maslahi ya wananchi
mbunge
mchungaji
muungano
nabii
nafasi
ndugai
stephen masele
sugu
tamaa
tanzania
uspika wa bunge
wabunge
wananchi
wengi
yangu
Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani?
Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi...
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Nec Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Shaka Hamdu Shaka ametoa ratiba ya kumpata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi atakayepeperusha bendera kwenye Uchaguzi wa kumpata Spika wa Bunge la JMT,
Uchaguzi huu utafanyika kuziba nafasi ya aliyekuwa Spika wa Bunge...
Habari zenu,
Nimesikia kwamba inapotokea mwajiri wako hajamaliza kuweka michango yako yote lakini kutokana na shida zako ukaamua kuchukua kwanza michango iliyopo halafu muajiri wako akimaliza kupeleka michango iliyobaki kuna fomu unatakiwa ujaze inayoutwa "fomu ya mapunjo" ili uweze kulipwa...
Ninavyofahamu kwa utamaduni wa CCM Rais Samia muhula wake utakamilika 2030.
Sasa kufuatia uzushi wa kile " kigazeti" ni kama kuna watu ndani ya CCM wana mipango miovu ya kutaka kugombea nje ya utaratibu wa chama.
Nakazia tu 2025 itoke fomu moja tu kama ilivyokuwa 2020.
Mungu ni mwema wakati wote!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.