Elimu niiombayo ni ya tafsiri (maana), muda na namna ya kutumia na sababu ya kuwepo kwao. Nauliza kwa sababu sielewi tu, nilikuwa katika taasisi fulani hv karibuni na kulikuwa na miradi mikubwa na ya haraka.
Sasa unaenda kwa mkaguzi wa ndani (preauditor) anagoma kupitisha ikiwa moja ya nyaraka...
tabia sio ya kiungwana ni ya kishenzi sana..unakuta makazi ya watu fulani wanamiaka zaidi saba na zaidi hawana huduma ya maji wala umeme.
Ila unakuta huduma hii haiko mbali na makazi yao ni kama mita 2000 tu,unawaomba kwamba jamani wenye shida ni sisi tuisitegemee sana hawa watu wa...
Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) amesema utoaji wa chakula na lishe kwa wanafunzi wakiwa shule ni suala muhimu kwa kuwa upo uhusiano mkubwa kati ya afya ya mwanafunzi na maendeleo yake kitaaluma.
Mhe. Kipanga amesema hayo jijini Dodoma katika hafla ya...
Salama wandugu
Kuna baadhi ya viongozi wa umma na mawaziri na wabunge mpaka dakika hii bado hawajajaza fomu za Mali zao wanazomiliki unafikiri kwa nini, iweje sensa mtake kujua mwananchi anamiliki nyumba ngapi ?hapa mnatwanga maji kwenye kinu hata kama mtapata taarifa zitakuwa za uwongo ,Mimi...
Makada 64 CCM wapigana vikumbo ubunge Afrika Mashariki
Wiki moja baada ya kufunguliwa kwa pazia la ubunge wa Afrika Mashariki (EALA), wanachama 64 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejitokea hadi leo Alhamisi, Agosti 4, 2022 kuomba ridhaa ya kuwania nafasi hiyo.
Idadi hiyo inaashiria mchuano...
Kufuatia serikali kupitia wizara ya afya kuzuia matumizi ya fomu ya dawa namba 2C ya NHIF; Kwa mujibu wa waziri wa afya, mapato ya dawa ktk hospitali ya Taifa Muhimbili yameongezeka kutoka wastani wa billion 2-4 kwa mwaka hadi kufikia wastani wa billioni 10-14.
Fomu 2C ya mfuko wa taifa wa bima...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza kuanzia leo Julai 1, 2022 Serikali imesitisha rasmi matumizi ya fomu ya 2C katika Hospitali zote za umma zinazotumia Bima ya Afya mara baada ya kuonekana kuna udanganyifu mkubwa unafanyika.
Fomu ya 2C ni karatasi inayoandikwa dawa nakupatiwa mgonjwa...
Chama Cha walimu Tanzania, kwasasa wanatumia nguvu kubwa kuwashawishi walimu kujaza form ya TUF 15 ambayo ukiisoma inataka mwanachama aijaze ili kuridhia makato yanayokatwa na mwajiri kwenda CWT.
Swali ninalojiuliza kama makato yao yamekuwepo miaka yote Tena wakati mwingine bila ridhaa ya...
Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi.
Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia.
Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati.
Sijui tu wanachama wenu wako vipi kama viongozi ndio wako namna hiyo.
Katibu mkuu wa CCM Taifa fika Jimbo la Hai huko Kilimanjaro ukakutane na kituko cha mwaka 2022, tena ukizingatia kuwa tangu uteuliwe kuwa Katibu mkuu wa CCM huu ndio uchaguzi wako wa kwanza, nenda Jimbo la Hai ukajifunze somo la uchaguzi wa CCM kutoka kwa Katibu wa CCM wa wilaya ambaye...
Juma Raibu aliyevuliwa Umeya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, amechukua tena fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM ili awe Mgombea wa kiti hicho kwa mara nyingine.
Itakumbukwa kwamba Juma Raibu alivuliwa cheo hicho mwezi April 2022 baada ya kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye, ambapo kura...
Siku chache baada ya kuripotiwa sakata la kukatwa ovyo kwa Majina ya wagombea ndani ya CCM bila kufuata utaratibu huko Ilala mapya yaibuka.
Inaelezwa kwamba Makatibu wote wa Mikoa na Wilaya "wamepewa Maagizo" na Katibu Mkuu Chongolo kuhakikisha kila anayegombea anaambatanisha Kopi za Vyeti...
Kichwa cha habari kinajitosheleza.
Mh mbunge Saashisha Mafue mbunge wa Jimbo la Hai.
Kwa masikitiko makubwa CCM inakushanga na inashindwa kukupima nafsi yako na ubora wa kazi yako pale ambapo ulichukulia fomu ya kugombea ubunge na kushinda uchaguzi huo hapafanana na wewe mbunge kijana wa CCM...
Canossa kwa wanaoifahamu ni mojawapo ya shule zinazofanya vizuri kitaifa, mwaka 2018 walishika nafasi no 5 kwenye mtihani wa fomu IV. Leo hii ni kati ya shule zinazoongoza kwenye matumizi ya teknolojia ya ufundishaji Tanzania. Kama umeangalia hio video utagundua wanatumia mfumo unaitwa...
Nimemuandika mdhamini yupo mbali na mm kidogo,takribani kilometa 1000
Sehemu ya kuweka dole gumba lake naona itakuwa gharama kumfuata.
Nawezaje kubadili mdhamini..?
Kuna Wagombea wanafichiwa Fomu, kuna Wagombea wanatishwa Wasigombee, kuna Wagombea wanachafuana, kuna Wagombea wanawadharau Wenzao na kuna Wagombea pia wanasema CCM ni yao hivyo Washamba Washamba wasipoteze muda Wao kutaka kuchukua Fomu na Kugombea.
CCM kuweni sana Makini na yaliyopo!
Jaji Warioba akichangia kwenye mkutano wa TCD leo Dodoma, amenena haya
Miaka yote watu wanaelewa na wanajaza fomu vizuri lakini Mwaka 2020, ghafla watu hawajui kujaza fomu (wanaenguliwa). Hapa lazima kuna namna
Msitazame Wajumbe wa Tume pekee, angalieni Mfumo mzima wa Uchaguzi. Wizi wa kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.