Uchaguzi 2020 CUF - Chama cha Wananchi: Uzinduzi mkubwa wa kuchangia CUF, kuchangia ushindi kufanyika kesho Jumamosi ofisi kuu ya chama Buguruni

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
IMG_20200828_073238_298.jpg

Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Cuf-chama cha wananchi

Usilalamike, chukua hatua.

Changia CUF, changia ushindi

Uzinduzi wa michango ya wananchi kwa chama chao utafanyika jumamosi ya tarehe 29/08/2020 ofisi kuu buguruni kuanzia saa 4.00 asubuhi

Mgeni rasmi: mgombea urais wa tanzania Prof. Ibrahim Haruna Lipumba

Akaunti ya kuchangia iko benki ya nmb, tawi la temeke: jina la akaunti: CUF michango, namba ya akaunti ni 20710050166

Unaweza pia kuchangia kupitia simu

Kama mwanachama kiongozi wa CUF unaombwa kufika bila kukosa katika tukio hilo.

1. Voda: 0762469342

2. Tigo: 0658111925

3. Zantel: 0777760490

4. Airtel: 0699533883
 
WAkachukuwe michango ya Magufuli aliyofanya kanisani kuchangia pesa za kujenga msikiti hizo ndio pesa za za kuliwa na wanafiki
 
Hahahaaaaa
Zile mlizo kuwa mkipewa na Mutungi kupitia akaunti za watu binafsi zimeisha??
Hiyo ndiyo Ccm bwana. Wana kupa chambo ukimeza una vuliwa kama nguru.
 
Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Cuf-chama cha wananchi

Usilalamike, chukua hatua.

Changia CUF, changia ushindi

Uzinduzi wa michango ya wananchi kwa chama chao utafanyika jumamosi ya tarehe 29/08/2020 ofisi kuu buguruni kuanzia saa 4.00 asubuhi

Mgeni rasmi: mgombea urais wa tanzania Prof. Ibrahim Haruna Lipumba

Akaunti ya kuchangia iko benki ya nmb, tawi la temeke: jina la akaunti: CUF michango, namba ya akaunti ni 20710050166

Unaweza pia kuchangia kupitia simu

Kama mwanachama kiongozi wa CUF unaombwa kufika bila kukosa katika tukio hilo.

1. Voda: 0762469342

2. Tigo: 0658111925

3. Zantel: 0777760490

4. Airtel: 0699533883
Nitachangia
Wagonjwa
Yatima
Na wote wenye uhitaji mkubwa wa mahitaji ya msingi kuliko kuchangia makuwadi wa kisiasa
 
Cdm awamu hii tumechota kwa mabeberu maana ndio wanaotulisha Tz ,hatutaki kuwa omba omba wa ndani
 
Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Cuf-chama cha wananchi

Usilalamike, chukua hatua.

Changia CUF, changia ushindi

Uzinduzi wa michango ya wananchi kwa chama chao utafanyika jumamosi ya tarehe 29/08/2020 ofisi kuu buguruni kuanzia saa 4.00 asubuhi

Mgeni rasmi: mgombea urais wa tanzania Prof. Ibrahim Haruna Lipumba

Akaunti ya kuchangia iko benki ya nmb, tawi la temeke: jina la akaunti: CUF michango, namba ya akaunti ni 20710050166

Unaweza pia kuchangia kupitia simu

Kama mwanachama kiongozi wa CUF unaombwa kufika bila kukosa katika tukio hilo.

1. Voda: 0762469342

2. Tigo: 0658111925

3. Zantel: 0777760490

4. Airtel: 0699533883
Aaaaa weeee thubutuuuuuuu
 
Pesa zote za Ruzuku mlizoachiwa na Maalim Seif mmepeleka wapi ?
 
Back
Top Bottom