Ninaomba Ufafanuzi wa Kitaalam: Kwanini "exchange rates" kwa fedha za Japan na Kenya zinataka kufanana ilhali chumi zao zinatofautiana kwa mbali?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
14,956
2,000
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.

Ndugu zangu wa Tanzania;

Kwanini "exchange rates" kwa fedha za Japan na Kenya zinataka kufanana ilhali chumi zao zinatofautiana kwa mbali sana?

Tazama picha hapo chini tafadhali;

japan kenya.jpg


Mimi kwa u-mbumbumbu (ulimbukeni/ujinga) wangu bado kidogo niropoke eti uchumi wa Japan na Kenya unafanana. hahahahaaa Hakika ujinga ni mzigo. Ninaomba msaada wa ufafanuzi wa kitaalam please.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
6,443
2,000
Hio ni exchange rate ya leo, muda wowote inabadilika

Pesa zenye thamani dunia ni

USD Dollar
Pound ,etc

Hizo nyingine sijui naira, Japan yen, rand (South africa) ni pesa za kawaida sana kiuchumi, ndio maana unaona zinarange sawa

Japan haina nguvu kiuchumu kias kwamba pesa yake inawezakuwa na dhaman kuzid Dollar, haina tamko lolote linaloweza kupandisha au kushusha exchange rates kama marekan
 

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
29,115
2,000
Mkuu....
Hapo naona umechanganya "kupanda na kushuka kwa thamani ya fedha" ambayo wataalamu wanaita Balance of payment, na "pato la taifa kwa mwaka" amayo wataalamu wanaita National income
Badae nitakuja nielezee vizuri....
Ingawa kwakifupi tu nikwamba, sio lazima kama nchi flani zinalingana kwenye "Balance of payment" basi nilazima zifanane kwenye "National income"
 

Blac kid

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
6,373
2,000
Bado mm sijaelewa Chief
Kila nchi imesubcribe IMF na kufix kiasi cha fedha in terms of dollars, sasa basi dhumuni kuu la exchange rate ni kwa ajili ya kubadilishana bidhaa kati ya nchi na nchi, currency zinazokubalika allover za world ni tano tu zikiongozwa na us dollars so si rahisi tzs shillings kupokelewa China inabidi uexchange into dollar, sasa inafikia mfano tz tume import zaidi kuliko export mpaka tukamaliza balance tuliyofix IMF ndo kinatokea kitu kinaitwa unfavorable terms, ili kubalance inabidi tupromote export kwa devalue our currency ili bidhaa zetu ziwe cheap nchi za nje zinunue sana ili kupandisha foreign currency ndomana nikasema Kenya wamevalue currency yao coz wanaviwanda vingi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom