luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Wabunge wa bunge la EAC toka kenya wameonyesha ulafi wao wa fedhaa ktk bunge la EAC wakidai walipwe daily subsistance allowance ili hali wana fanyia kazi nchini kwao ..AIBU gani hii kwa wabunge walafi