fedha

  1. Nape: Wafanyabiashara wa fedha za kigeni walioporwa fedha zao wamefutwa machozi

    Kwa lengo gani? Je kwanini wahusika warudishiwe haki yao? Ilikuwa uporaji? === Nape akiwa Clouds FM amesema "Rais Samia Suluhu Hassan katika miaka hii 2 ya uongozi amefanya kazi ya kuwafuta watu machozi na amefanya kazi ya kurudisha furaha na tabasamu kwenye maisha ya watu. "Wale wanasiasa...
  2. Rais Samia: Nimeona utani baada ya Simba kushinda 7-0, waambieni fedha bado zipo tupieni magoli wavuni

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo baada ya Simba kushinda magoli 7-0 dhidi ya Horoya katika mchezo wa Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kwenye Uwanja wa Mkapa.
  3. R

    Je, wasiojulikana walichangia chochote kwenye upatikanaji wa Fedha awamu ya Tano?Je, waliopotezwa thamani Yao inaweza kulinganishwa na miradi?

    Awamu iliyopita kuliibuka kikundi cha wasiojulikana, wanapewa nguvu kubwa kiasi kwamba binadamu walioripotiwa kupotea au kutokuonekana au kutekwa vyombo havikuona umuhimu wakuwatafuta Kwa kigezo kwamba wamejiteka wenyewe. Kisiasa tulielezwa kwamba KAZI NI moja Tu, miradi ya maendeleo. Hakuna...
  4. Fedha za Mfuko wa Jimbo Zaelekezwa kwenye Ujenzi wa Maabara za Masomo ya Sayansi

    Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini umepokea Tsh 75,796,000 (Tsh 75.8m) na fedha zote hizo zimeelekezwa kwenye ujenzi na ukamilishaji wa Maabara za Masomo ya Sayansi (Fizikia, Kemia & Bailojia) kwenye Sekondari za Kata za Musoma Vijijini. Lengo letu la sasa ni Musoma Vijijini kuwa na High Schools...
  5. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai (Falsafa ya Deus Seif na Abubakari Alawi inavyoendelea kukivuruga Chama cha Walimu Tanzania)

    Leo hii tarehe 16 Machi 2023 Wapiga dili Deus Seif na Abubakari Alawi wamefanikisha kuzuia mambo kadhaa kufanyika kwenye mkutano mkuu wa chama cha walimu Tanzania. Kama ambavyo tumebainisha hapo awali juu ya dhamira yao ya kurudi madarakani na kuendelea kufanya ubadhirifu ndani ya chama cha...
  6. Naibu katibu mkuu fedha azipongeza TIRA na benki ya CRDB uanzishwaji wa akaunti ya dhamana ya bima

    Dar es Salaam 16 Machi 2023 – Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Bima (TIRA), pamoja na Benki ya CRDB kwa kutekeleza mchakato wa uanzishwaji wa Akaunti ya Dhamana ya Bima (Trust Account). Mafuru ametoa pongezi hizo wakati...
  7. DOKEZO Serikali itusaidie wakazi wa Kigogo, fedha wanazotaka kutulipa kupisha mradi haziendani na nyumba zetu

    Habari, poleni na majukumu ya kazi wana JF na ahsanteni kwa habari nzuri na kutupasha Watanzania na wasio Watanzania. Nimekuja kwenu tunaomba mtupazie sauti sisi ni wakazi wa Kigogo Mbuyuni, Dar es Salaam, toka upande wa Bonde la Msimbazi. Huku kwetu kuna Mradi wa Bonde la Mto Msimbazi kwa...
  8. Michael Jordan bado anaongoza kwa Wanamichezo 10 wa Muda Wote wanaolipwa Fedha nyingi duniani

    1. Michael Jordan - Tsh. Bilioni 7.7 2. Tiger Woods - Tsh. Bilioni 5.8 3. Arnold Palmer - Tsh. Bilioni 3.9 4. Jack Nicklaus - Tsh. Bilioni 3.8 5. Cristiano Ronaldo - Tsh. Bilioni 3.7 6. LeBron James - Tsh. Bilioni 3.5 7. Lionel Messi - Tsh. Bilioni 3.4 8. Floyd Mayweather - Tsh. Bilioni 3.3 9...
  9. THRDC, EAHRI na DPI watoa Mafunzo kuhusu Utakatishaji Fedha na Njia zinazotumika Kufadhili Ugaidi kupitia Asasi za Kiraia

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kwa kushirikiana na Taasisi ya Haki za Binadamu Afrika Mashariki (EAHRI) na Shirika Lisilo la Kiserikali Defenders Protection InternationaI (DPI) lenye Makao yake Nchini Uganda wameendesha Mafunzo ya Siku 2 yanakayofanyika Dar es salaam...
  10. T

    Badala ya kusema VICOBA sio vizuri, tumieni muda huo kutoa Elimu ya nidhamu ya matumizi ya fedha

    Vijana wa kiume na wanaume wengi wakiwa wamejiajiri kwenye bodaboda, vijana wa kike na wamejikita kutafuta mitaji ya biashara kupitia VICOBA. VICOBA mpaka sasa vimesaidia wengi sana kutokana na unafuu wa riba na upatikanaji wake kulinganisha na taasisi nyingine za kifedha na zimesaidia...
  11. R

    Afisa Elimu Jiji La Tanga, wazazi tunaomba ufafanuzi wa hii michango ya fedha

    1. Kila asubuhi watoto eti wanafanya mitihani. Mtoto anawajibika kuripoti shuleni saa 12 asubuhi na kuanza mtihani saa 12.30 asubuhi. Ada shiling 200 kila asubuhi. 2. Jumamosi mtihani. Toka saa 1 mpaka saa 7 mchana. Ada ya mtihani shilingi 1,200. Hii ndiyo utaratibu kutoka ofisini kwako? Au...
  12. J

    Taarifa kutoka Wizara ya Fedha na Mipango

    Taarifa kutoka Wizara ya Fedha na Mipango
  13. Semina ya viongozi wa Rais Samia ilikuwa ni ufujaji wa fedha za wanyonge!

    Labda kama walikua wanajipongeza kwa namna wanavyokula kulingana na Kamba zao. Hayati Magufuli (JPM) hakuitisha cha Semina wala nini, lakini watu walichapa kazi, Pesa zilitokewa na kufika, Kwa JPM ulikua ukila Pesa yake utaitolea kwenye Tundu lolote la mwili wako. Kwa JPM watumishi wabovu...
  14. Bariki fedha yako

    Amani iwe nanyi wana jamvi 🙏🏾 Nipo hapa kuweza kushirikishana katika namna bora ya "kubariki fedha zetu" Kuna waandishi wengi sana Duniani ila kuna huyu Nguri mwandishi Robin Sharma ambae kaandika zaidi ya vitabu 10 maarufu na kimoja wapo ni "NANI ATALIA,SIKU UKIFA?" Katika kipengele namba...
  15. Mbowe: Awamu ya Magufuli watu waliporwa mali na fedha

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema miaka saba iliyopita ilikuwa ya bonde la maumivu makali kwa wananchi wote. Alitaja maumivu hayo akihusisha wale waliofungwa magerezani na watumishi waliofukuzwa kwa kigezo cha vyeti feki. Mbowe aliyasema hayo jana mkoani Njombe alipokuwa...
  16. F

    Vigogo KNCU wasimamishwa kazi kwa kutafuna mamilioni ya fedha za wakulima

    Vigogo watatu wa Chama Kikuu cha ushirika mkoani kilimanjaro{KNCU}wamesimamishwa kazi na mrajis wa vyama vya Ushirika nchini kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa fedha za walikuma za zao la kahawa zaidi ya shilingi milioni 300. Vigogo hao ni pamoja na meneja wa chama hcho,Godfrey...
  17. O

    Utaratibu upi mwanafunzi anapaswa kuufuata akichelewa kusaini fedha za kujikimu? na fedha hizo zinaweza kurudishwa

    Je, ni utaratibu upi mwanafunzi anapaswa kuufuata akichelewa kusaini fedha za kujikimu? na fedha hizo zinaweza kurudishwa.
  18. O

    Ningependa kufahamu juu ya utaratibu ambao mwanafunzi anapaswa kufuata akichelewa kusaini fedha ya kujikimu

    Habari, Ningependa kufahamu juu ya utaratibu ambao mwanafunzi anapaswa kufuata akichelewa kusaini fedha ya kujikimu na je fedha hizo zinaweza kurudi?
  19. ZITTO: Lemma alilipwa fedha na mataifa ya kibeberu ili awe mkimbizi

    Mbivu na mbichi Sasa hadharani, kumbe hawa jamaa kulikuwa na mgao wa fedha waliopewa ili wawe wakimbizi! Nilishangaa Lemma eti naye mkimbizi, pengine Lissu yeye bado mkataba wake wa kuwa mkimbizi haujaisha mpaka sasa. Na Lemma alikuwa anagoma kurudi, bado yule Mzee wa maswali magumu
  20. Njombe: Majambazi wateka Magari na kupora fedha, simu

    Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevamia magari zaidi ya saba (7) ikiwemo magari ya mizigo pamoja na basi la abiria katika eneo la Nyaliva katikati ya kijiji cha Nyombo na Kidegembye barabara ya Njombe - Lupembe Halmashauri ya Wilaya ya Njombe wakidaiwa kupora fedha na simu za Abiria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…