Vigogo KNCU wasimamishwa kazi kwa kutafuna mamilioni ya fedha za wakulima

Fred Mwakitundu

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
227
383
Vigogo watatu wa Chama Kikuu cha ushirika mkoani kilimanjaro{KNCU}wamesimamishwa kazi na mrajis wa vyama vya Ushirika nchini kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa fedha za walikuma za zao la kahawa zaidi ya shilingi milioni 300.

Vigogo hao ni pamoja na meneja wa chama hcho,Godfrey Massawe,Kaimu meneja wa fedha{FM},Wilbard |Lyimo na meneja huduma za wakulima Wilbert Nyela ambao wanatuhumiwa kula fedha za wakulima wa chama cha msingi cha ushirika cha Mwika Kinyamvuo.

Inadaiwa wakulima hao waliingia mkataba na KNCU wa kuuza kahawa yao ya kilimo hao kwa bei ya dola za kimarekani 4.8 zaidi ya sh,11 elfu baada ya kuwepo na mnunuzi wa kigeni aliyekwua tayari kununua kahwa hiyo ya wakulima.

Lakini katka mazingira yasiyoeleweka ,kahawa hiyo ikasota mna mrtefu kwenye kiwanda cha kukoboa kahawa na baadae kuuzwa kwa bei ya sh,4,55 kwakila kilo mojas ya kahwa jambo ambalo wakulima hao waklidai kuna mchezo mchafu umefanyika.

Kutokana na kilio hicho cha wakulima,vigogo hao wakaitwa ofisini kwa mrajis wa vyama vya ushirika Jijini Dodoma ambako walijikuta hawana cha kujieleza ziadi ya kujing'atang'ata na hapo mrajis Dk.Benson Ndiege akwatupa nje ili kupisgha uchunguzi.

Taarifa kutoka ndani ya KNCU zinaeleza kuwa,kampuni moja ya nje iliingia makubaliano na KNCU ya kununua kilo zaidi ya 40 elfu kwa bei ya dola ya kimarekani 4.8 na ndipo KNCU nayo ikaingia makubaliano na chama hicho lakini habari zinatonyak uwa vigog hao wlaitumia fedha hizo kwa malengo mengine.

Kwa muda sasa chama hicho kimeshindwa kufanya biahashara ya kahawa kutokana na mwenendo usioridhisha kwenye matumizi ya fedha za wakulima na miaka michacvhe iliyopita vigogo watatu wa chama hicho waaiswekwa gerezani baada ya kuuza mali za chama hicho na kufuja fedha zilizopatikana ambazo zilikua ni kwa ajli ya kulipa madeni ya kisheria iliwamo deni la bilioni 5.7 walilokuwa wanadaiwa na benki ya CRDB.

Vigogo hao ni aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho,Menarld Swai,Meneneja Mkuu,Honest Temba na ,Aloice Kitau,

KNCU bado inazongwa na madudu mengi ikiwamo kutumia zaidi ya milioni 800 kufanya ukarabati wa jengo la makao makuu ya chama hicho fedha ambazo zinadaiwa kwa kiasi kikubwa ziliingia mfukoni mwa wanjanja wachache.

madudu ni mengi na muda hautoshi,tukutane kesho panapo majaaliwa
 
matatizo ya kncu yamekuwa ya kudumu, nadhani kuna jambo inabidi lifanyike ili kuirudisha ile kncu imara kiuchumi na kiutendaji.
 
KNCU ilishakufa, hayo ni mauzauza tu. Kama ni wezi wanaostahili kufungwa wapo wengi sana na wengine ni Marehemu
 
Vigogo watatu wa Chama Kikuu cha ushirika mkoani kilimanjaro{KNCU}wamesimamishwa kazi na mrajis wa vyama vya Ushirika nchini kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa fedha za walikuma za zao la kahawa zaidi ya shilingi milioni 300.

Vigogo hao ni pamoja na meneja wa chama hcho,Godfrey Massawe,Kaimu meneja wa fedha{FM},Wilbard |Lyimo na meneja huduma za wakulima Wilbert Nyela ambao wanatuhumiwa kula fedha za wakulima wa chama cha msingi cha ushirika cha Mwika Kinyamvuo.

Inadaiwa wakulima hao waliingia mkataba na KNCU wa kuuza kahawa yao ya kilimo hao kwa bei ya dola za kimarekani 4.8 zaidi ya sh,11 elfu baada ya kuwepo na mnunuzi wa kigeni aliyekwua tayari kununua kahwa hiyo ya wakulima.

Lakini katka mazingira yasiyoeleweka ,kahawa hiyo ikasota mna mrtefu kwenye kiwanda cha kukoboa kahawa na baadae kuuzwa kwa bei ya sh,4,55 kwakila kilo mojas ya kahwa jambo ambalo wakulima hao waklidai kuna mchezo mchafu umefanyika.

Kutokana na kilio hicho cha wakulima,vigogo hao wakaitwa ofisini kwa mrajis wa vyama vya ushirika Jijini Dodoma ambako walijikuta hawana cha kujieleza ziadi ya kujing'atang'ata na hapo mrajis Dk.Benson Ndiege akwatupa nje ili kupisgha uchunguzi.

Taarifa kutoka ndani ya KNCU zinaeleza kuwa,kampuni moja ya nje iliingia makubaliano na KNCU ya kununua kilo zaidi ya 40 elfu kwa bei ya dola ya kimarekani 4.8 na ndipo KNCU nayo ikaingia makubaliano na chama hicho lakini habari zinatonyak uwa vigog hao wlaitumia fedha hizo kwa malengo mengine.

Kwa muda sasa chama hicho kimeshindwa kufanya biahashara ya kahawa kutokana na mwenendo usioridhisha kwenye matumizi ya fedha za wakulima na miaka michacvhe iliyopita vigogo watatu wa chama hicho waaiswekwa gerezani baada ya kuuza mali za chama hicho na kufuja fedha zilizopatikana ambazo zilikua ni kwa ajli ya kulipa madeni ya kisheria iliwamo deni la bilioni 5.7 walilokuwa wanadaiwa na benki ya CRDB.

Vigogo hao ni aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho,Menarld Swai,Meneneja Mkuu,Honest Temba na ,Aloice Kitau,

KNCU bado inazongwa na madudu mengi ikiwamo kutumia zaidi ya milioni 800 kufanya ukarabati wa jengo la makao makuu ya chama hicho fedha ambazo zinadaiwa kwa kiasi kikubwa ziliingia mfukoni mwa wanjanja wachache.

madudu ni mengi na muda hautoshi,tukutane kesho panapo majaaliwa
Hao ilibidi wawe jera,wafilisiwe mali zao,pesa ya wakulima irudishwe.
 
Back
Top Bottom