Utaratibu upi mwanafunzi anapaswa kuufuata akichelewa kusaini fedha za kujikimu? na fedha hizo zinaweza kurudishwa

Zikiwa chuo unadeal na chuo,zikirudi board inabidi uende board watakupa muongozo
Thanks kwa jibu lako ni kweli nimeenda mpaka board na wameniambia niandike barua kwa mkurugenzi mtendaji wa board ya mikopo.....ILA WAMENIAMBIA NITAKULA MSOTO!

Nashindwa kuelewa hapo
 
Back
Top Bottom