faragha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha, ila wakiwa Wanazinunua Mitumbani hawaoni Aibu?

    Nitashukuru nikielimishwa hili.
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums WhatsApp ipo tayari kufungiwa Uingereza kuliko kulegeza usalama wa faragha

    WhatsApp imesema haitaweza kupunguza au kulegeza masharti yake ya usalama wa faragha ya watumiaji wa mtandao huo hata kama watatakiwa kufanya hivyo katika Muswada wa Sheria ya Usalama Mtandaoni. Ujumbe wanaotumiana watumiaji wa WhatsApp unabaki kati yao na hakuna upande unaoruhusiwa kuona...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Rais Samia: Sipendi kubadili viongozi mara kwa mara lakini nalazimika kukwepa fedheha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) jijini Arusha leo tarehe 02 Machi, 2023 RAIS SAMIA “Kutofanyika kwa...
  4. M

    JamiiForums Tundu Lissu acha kujichanganya. Mapenzi ya jinsia moja ni faragha iliyokinyume na sheria. Lazima iingiliwe na vyombo vya dola. Ulijichanganya mwenyewe

    Ni kweli ni haki ya watanzania kuwa na faragha. Hii ipo ki katiba. Hata huko Ulaya kwa kwa ajili ya maslahi ya mataifa yao faragha zinaingiliwa. Sasa iweje hapa nchini watu wa jinsia moja wakihisiwa kuingiliana kimwili faragha zao zisiingiliwe. Wewe mwenyewe ulijibu kwa ghadhabu. Sasa...
  5. R

    JamiiForums Kwanini unampa mtu wako wa karibu 'password' zako?

    Nywila (password) ni utambulisho binafsi, ambao hulinda taarifa zote katika ulimwengu wako wa kidijitali: taarifa binafsi, akaunti za benki, mitandao ya kijamii, taarifa za nyeti, picha na maudhui ya aina yoyote. Ndiyo maana ni muhimu kuunda nywila imara ambayo ni ngumu kukisia. Hata nywila...
  6. Tengeneza Njia

    JamiiForums TAMISEMI - Hizi meseji zenu za kampeni ni ukiukwaji msingi ya faragha

    Kwanini mchukue namba zetu za simu kutoka kwenye makampuni ya simu na kuanza tu kutuma tuma meseji bila consent?
  7. J

    JamiiForums Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi ni Haki ya Msingi ya Binadamu

    Siku ya Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi (Data Privacy Day) inaadhimishwa kila Januari 28 Haki ya Faragha inawezesha Raia kufurahia Haki nyingine kama: - Uhuru wa Mawazo - Uhuru wa Kujieleza - Uhuru wa Kukusanyika Ni Msingi wa Jamii ya Kidemokrasia Katika Nchi nyingi, Faragha...
  8. R

    JamiiForums Ni kwa kiasi gani watu wanakujua kwenye mitandao ya kijamii? Je, kuna hatari gani?

    Ni rahisi kupeana habari na watu unaowasiliana nao mtandaoni. Majukwaa kama vile mitandao ya kijamii inafanya iwe rahisi kwa wewe kutangaza kwa familia yako na marafiki (na hata kwa watu usiowajua, kulingana na mipangilio yako ya faragha) unachofanya na mahali ulipo. Mitandao ya kijamii kama...
  9. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Haki ya faragha Mtandaoni lazima izingatiwe

    Kila mtu ana haki ya faragha akiwa Mtandaoni. Hii inajumuisha uhuru wa kutofuatiliwa, haki ya kutumia msimbo (encryption), na haki ya kutokujitambulisha kwa majina halisi. Kulindwa kwa haki hizi siyo tu huongeza uhuru wa kujieleza bali huongeza ushiriki wa watu katika kupasa sauti zao wawapo...
  10. R

    JamiiForums Kwanini ni muhimu kulinda simu yako ukipeleka kwa fundi kwa ajili ya matengenezo

    Habari za hivi majuzi za mwanafunzi ambaye picha zake za faragha zilifichuliwa baada ya kutuma iPhone yake kwa ajili ya matengenezo ni ukumbusho kwa watumiaji kufunga data zao, wataalam wanasema. Apple ilisuluhisha kesi na mwanamke mwenye umri wa miaka 21 baada ya kutuma iPhone yake kwenye...
  11. BARD AI

    JamiiForums Haki ya Kusahaulika ni nini? Kwanini ni muhimu?

    Mnamo Novemba 21, 2022, The Chanzo ilifanya mahojiano maalum na Mkurugenzi wa JamiiForums Maxence Melo kuhusiana na haki ya msingi ya binadamu ambayo watu wengi hawaifahamu: haki ya kusahaulika. Melo, ambaye ni moja kati ya wadau wakubwa wa haki za kidijitali nchini Tanzania, amesema haki hiyo...
  12. Suley2019

    JamiiForums Wabunge: Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iitwe Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mjadala wa Muswada wa Ulinzi wa Taarifa binafsi wametoa hoja zao huku wengi wao wakionekana kuunga mkono kuundwa kwa sheria hiyo. Aidha katika kuongeza nguvu hoja Wabunge wengi wanaonesha kwamba ni muhimu katika uundaji wa sheria hiyo...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Elton John, Prince Harry waishtaki Daily Mail kwa kukingilia faragha zao

    Wawili hao ni miongoni mwa watu maarufu waliochukua hatua za kisheria dhidi ya Kampuni ya Daily Mail ya Uingereza wakidai kuna ukiukaji mkubwa wa faragha. Wanadai Dail Mail wametumia vifaa kusikiliza mazungumzo yao binafsi kwenye gari na nyumbani, pia wamewalipa watu wanaowafuatilia maisha yao...
  14. J

    JamiiForums Mifumo ya Biometriki inazingatia na kuheshimu Haki ya Faragha?

    Kutokana na ukuaji wa Teknolojia, ukusanyaji Taarifa Binafsi za Mamilioni ya Wananchi unaohusisha Mifumo ya Biometriki umekuwa ukiongezeka kwa kasi Barani Afrika. Mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania yamekuwa yakitumia Mifumo hiyo inayohusisha Alama za Vidole katika Utoaji wa Huduma kama usajili...
  15. J

    JamiiForums Umuhimu wa Taarifa: Nini Nafasi ya Watunga Sera, Mahakama na Asasi za Kiraia?

    NAFASI YA WATUNGA SERA: 1) Kujenga uelewa kwa Umma juu ya Haki ya Faragha na Ulinzi Wa Taarifa 2) Kushirikiana kwa karibu na Wadau wengine kuhusu Masuala ya Kulinda Taarifa 3) Kutengeneza Mifumo ya Kulinda Taarifa kulingana na Sheria na Viwango vya Kimataifa vya Haki Za Binadamu ASASI ZA...
  16. J

    JamiiForums Kila Mtu ana Haki ya kupata Ulinzi wa Taarifa zake

    Ulinzi wa Taarifa unahusisha kulinda Haki yetu ya msingi ya Faragha kwa kuweka Mifumo ya Uwajibikaji kwa wale wanaochakata Taarifa za Watu. Wakati Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi unatarajiwa kufikishwa Bungeni, tunatarajia Sheria hii itazingatia uundwaji wa Chombo Huru cha...
  17. Songambele

    JamiiForums Maziko ya Kifalme na faragha - Kinafanyika nini?

    Alipofariki Nelson Mandera dunia nzima ilenda live kwa kipindi chote cha msiba na maombolezo, ilipofikia mwili kuwekwa katika nyumba ya milele kamera zilizimwa na tukaambia ni ndugu wa karibu tu ndio watakaoshiriki zoezi zima la kuzika. Jana tena wakati Malkia anazikwa pamoja dunia kushiriki...
  18. M

    JamiiForums SoC02 Utitiri na uholela wa ufungaji wa ‘cctv’ katika maeneo mbalimbali unavyohatarisha haki ya faragha ya taarifa za watu

    Suala la ulinzi binafsi ni jambo muhimu sana linalopaswa kupewa kipaumbele cha juu kwenye mtiririko wa Mahitaji ya binadamu katika kipindi hiki ili kujilinda na/au kuepukana na vitendo mbalimbali vya uhalifu ambavyo vimekuwa vikitokea katika jamii zetu kama vile ujambazi, uvamizi, ukatili na...
  19. Tengeneza Njia

    JamiiForums Sheria ya kulinda taarifa zetu na faragha ipo wapi?

    Baada ya kupita katika zoezi hili la sensa ya makazi na watu 2022 na kuona namna taarifa nyingi nyingi sana zinakusanywa kupitia maswali yanayoulizwa na karani, kwa kweli nimepata ukakasi na kujiuliza maswali mengi juu ya uhakika wa ulinzi na usalama wa mambo niliyoyaweka wazi “kwa nia njema...
  20. R

    JamiiForums Makarani wa sensa ni akina nani?

    Zoezi la sensa kufikia tamati leo wakikusanya taarifa mbalimbali zinazotuhusu. Je, tunajua makarani wa sensa ni akina nani? Kama taarifa zako zikitumiwa vibaya na kuuzwa kwa watu huna pa kumshtaki zaidi ya kulalamika kwasababu mpaka sasa hivi bado hatuna sheria ya ulizi wa data. Lakini siyo tu...
Back
Top Bottom