WhatsApp ipo tayari kufungiwa Uingereza kuliko kulegeza usalama wa faragha

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
WhatsApp imesema haitaweza kupunguza au kulegeza masharti yake ya usalama wa faragha ya watumiaji wa mtandao huo hata kama watatakiwa kufanya hivyo katika Muswada wa Sheria ya Usalama Mtandaoni.

Ujumbe wanaotumiana watumiaji wa WhatsApp unabaki kati yao na hakuna upande unaoruhusiwa kuona kinachoendelea, lakini kuna wanaotoa maoni ya kutaka matumizi ya ‘teknolojia iliyoidhinishwa’ yatumike kuangalia mawasiliano ili kubaini kama kuna unyanyasaji wa Watoto.

WhatsApp unatajwa kuwa ndio mtandao maarufu unaotumiwa Uingereza, takwimu zikionesha unatumiwa na watu wazima 7 kati ya 10 wanaotumia mtandao.

-------------- ------------

WhatsApp: Rather be blocked in UK than weaken security

WhatsApp says it would rather be blocked in the UK than undermine its encrypted-messaging system, if required to do so under the Online Safety Bill.

Its head, Will Cathcart, said it would refuse to comply if asked to weaken the privacy of encrypted messages.

The app Signal previously said it could stop providing services in the UK if the bill required it to scan messages.

The government said it is possible to have both privacy and child safety.

WhatsApp is the most popular messaging platform in the UK, used by more than seven in 10 adults who are online, according to communication regulator Ofcom.

Child-abuse material
End-to-end encryption scrambles messages so even the company running the service cannot view the contents.

But critics of the Online Safety Bill say it grants Ofcom the power to require private encrypted-messaging apps and other services to adopt "accredited technology" to identify and remove child-abuse material.

Undermining the privacy of WhatsApp messages in the UK would do so for all users, Mr Cathcart said.

"Our users all around the world want security - 98% of our users are outside the UK, they do not want us to lower the security of the product," he said. And the app would rather accept being blocked in the UK.

"We've recently been blocked in Iran, for example. We've never seen a liberal democracy do that," he added.

Source: BBC
 
Signal ndio ilikuwa app ya kwanza kusema kuwa ipo tayari kufuta upatikanaji wake kwa watumiaji wa Nchi za Ulaya kuliko kukubali utaratibu mpya ya kudhoofisha usalama wa encryption. Ilionyesha msimamo mkubwa na wengi waliisifia kwa kitendo cha kuwa na msimamo.

Wiki iliyopita Head of WhatsApp aliposema vile ilionekana ni WhatsApp inataka kuonekana ipo mstari wa mbele katika usalama. Lakini si kweli kuwa WhatsApp ni salama kwa sababu zipo ripoti za software ya Pegasus inaonyesha ina uwezo wa kufungua mfumo wa encryption ya WhatsApp.

WhatsApp sio open-source hivyo ni ngumu kukagua mfumo wake kama ni kweli ni salama kwa sababu source code yake imefichwa. Signal ni Open-source hivyo inaruhusu mtu na taasisi zote za kiusalama duniani kukagua mfumo wake na kujiridhisha kuwa ni salama.

WhatsApp inaweza kusema ni salama lakini bado hakuna uhakika sana. Bora hata Signal ina msimamo wake na ipo wazi katika kuonyesha usalama wake.
 
Its hard kujua whatsapp ni salama or not because si open source. Lakin shida ya open source nayo ni kuwa its easy for bad guys kukagua codes na kujua wapi pa ku hit.
Serikal nyingi pia zinataka access na mifumo ili ziweze kusoma text za watu ili waweze ku detect and prevent uhalifu. (Mfano mzuri ni kesi ya FBI na apple.inc)
 
Signal ndio ilikuwa app ya kwanza kusema kuwa ipo tayari kufuta upatikanaji wake kwa watumiaji wa Nchi za Ulaya kuliko kukubali utaratibu mpya ya kudhoofisha usalama wa encryption. Ilionyesha msimamo mkubwa na wengi waliisifia kwa kitendo cha kuwa na msimamo.

Wiki iliyopita Head of WhatsApp aliposema vile ilionekana ni WhatsApp inataka kuonekana ipo mstari wa mbele katika usalama. Lakini si kweli kuwa WhatsApp ni salama kwa sababu zipo ripoti za software ya Pegasus inaonyesha ina uwezo wa kufungua mfumo wa encryption ya WhatsApp.

WhatsApp sio open-source hivyo ni ngumu kukagua mfumo wake kama ni kweli ni salama kwa sababu source code yake imefichwa. Signal ni Open-source hivyo inaruhusu mtu na taasisi zote za kiusalama duniani kukagua mfumo wake na kujiridhisha kuwa ni salama.

WhatsApp inaweza kusema ni salama lakini bado hakuna uhakika sana. Bora hata Signal ina msimamo wake na ipo wazi katika kuonyesha usalama wake.
Mtandao sio salama kwa mtumiaji na ndio maana Shetani Vladimir Putin hatumii mtandao
 
WhatsApp imesema haitaweza kupunguza au kulegeza masharti yake ya usalama wa faragha ya watumiaji wa mtandao huo hata kama watatakiwa kufanya hivyo katika Muswada wa Sheria ya Usalama Mtandaoni.

Ujumbe wanaotumiana watumiaji wa WhatsApp unabaki kati yao na hakuna upande unaoruhusiwa kuona kinachoendelea, lakini kuna wanaotoa maoni ya kutaka matumizi ya ‘teknolojia iliyoidhinishwa’ yatumike kuangalia mawasiliano ili kubaini kama kuna unyanyasaji wa Watoto.

WhatsApp unatajwa kuwa ndio mtandao maarufu unaotumiwa Uingereza, takwimu zikionesha unatumiwa na watu wazima 7 kati ya 10 wanaotumia mtandao.

-------------- ------------

WhatsApp: Rather be blocked in UK than weaken security

WhatsApp says it would rather be blocked in the UK than undermine its encrypted-messaging system, if required to do so under the Online Safety Bill.

Its head, Will Cathcart, said it would refuse to comply if asked to weaken the privacy of encrypted messages.

The app Signal previously said it could stop providing services in the UK if the bill required it to scan messages.

The government said it is possible to have both privacy and child safety.

WhatsApp is the most popular messaging platform in the UK, used by more than seven in 10 adults who are online, according to communication regulator Ofcom.

Child-abuse material
End-to-end encryption scrambles messages so even the company running the service cannot view the contents.

But critics of the Online Safety Bill say it grants Ofcom the power to require private encrypted-messaging apps and other services to adopt "accredited technology" to identify and remove child-abuse material.

Undermining the privacy of WhatsApp messages in the UK would do so for all users, Mr Cathcart said.

"Our users all around the world want security - 98% of our users are outside the UK, they do not want us to lower the security of the product," he said. And the app would rather accept being blocked in the UK.

"We've recently been blocked in Iran, for example. We've never seen a liberal democracy do that," he added.

Source: BBC
Waongo mbona sms askari wanazikamata hapa kwetu
 
Mtandao sio salama kwa mtumiaji na ndio maana Shetani Vladimir Putin hatumii mtandao

Si kwamba hatumii kabisa. Ana team inayo manage that for him. Lakin yeye kama rais wa nchi ana sababu za kiusalama ambazo ni kubwa zaidi tofauti na mwananchi wa kawaida
 
Hapa mbona bi rahis sana. Mamlaka zikihitaji mawasiliano yako there is bo escape
How fafanua maana ina end to end encryption ikiwa na maana ukinasa message hapo kati haina maana huwezi kuisoma inakuwa decrypted ikifika kwenye kifaa husika inapokwenda
 
Waongo mbona sms askari wanazikamata hapa kwetu
kinachoongelewa ni uwezo wa ku ng'amua message baada ya ku-intercept
ukimtumia mtu message kwa whatsapp, message inaweza dakwa katikati (MiTM attack) na
kusomwa,

ila huwezi elewa as inakua ya ovyo ovyo mf: $%^$^75887hԗ˟uaԗs881sd
mpaka uwe na key kuielewa , key wanayo WhatsApp Inc
UK inataka message itumwe ikiwa plain kabisa mf: Leo Jioni Nakuchinja
 
Back
Top Bottom