Benki ya Ethiopia yawataka waliochota fedha ATM baada ya mtandao kuharibika warudishe

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) imewapa wateja waliotoa pesa nyingi zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao hadi mwisho wa wiki kuzirejesha la sivyo watakamatwa na kufunguliwa mashtaka.

Vyombo vya habari viliripoti kuwa zaidi ya Dola Milioni 40 (Tsh. Bilioni 102) zilitolewa au kuhamishiwa kwa benki nyingine wakati hitilafu ya mfumo iliyodumu kwa saa kadhaa wa Benki hiyo inayomilikiwa na Serikali kupata hitilafu.

Rais wa CBE, Abe Sano ameiambia BBC kuwa wanafuatilia miamala iliyofanyika usiku wa tuko.

Amesema "Hakuna njia ambayo wanaweza kutoroka kwa sababu ni mambo ya Kidijitali na ni wateja wetu. Tunawajua. Wanaweza kufuatiliwa na wanawajibika Kisheria kwa walichokifanya."

Hata hivyo alipinga ripoti kwamba wateja walichukua Dola Milioni 40, akisema kiasi kilichochukuliwa kilikuwa kidogo sana lakini kitabainishwa kwa usahihi baada ya ukaguzi unaoendelea kukamilika baadaye wiki hii.

==============

Ethiopian bank hunts clients over millions lost in glitch

Ethiopia's largest commercial bank has given customers who withdrew more money than they had in their accounts until the end of the week to return it or face arrest and prosecution.

Local media reported that more than $40m (£31m) was withdrawn or transferred to other banks on Saturday during a system glitch lasting several hours at the state-owned Commercial Bank of Ethiopia (CBE).

In an interview with the BBC Newsday programme, CBE President Abe Sano on Wednesday said the bank has traced most of the transactions conducted during the glitch.

When asked whether CBE would report those who don't return the money to the police, Mr Abe replied:

"Yeah, yeah, for sure. We are doing already".

He added that the bank will take legal action against those who will not have returned the funds "after this weekend".

"There is no way that they can escape because they are digital [transactors] and they are our customers. We know them. They are traceable and they are legally accountable for what they did," Mr Abe told Newsday.

Some of the customers who withdrew excess money have already returned it to the bank, Mr Abe said.

He however disputed the reports that customers took $40m, saying the amount taken was far smaller but will be accurately determined after an ongoing audit is completed later this week.

Mr Sano added that the audit is being done because some of the 10,000 customers who transacted during the glitch conducted legitimate transactions.

Source: BBC
 
Hii Ikitokea Tanzania..
Halafu Itokee NMB dah nafikiri Ndo litakuwa Anguko la serkali
 
Iliwahi kutokea kwenye benki moja hapa Tanzania ambapo na mimi nilikuwa mmoja wa wanufaika mwaka 2017.
Nilikuwa na shughuli za ujenzi nikamaliza hela yote kwenye account, nashangaa naulizia salio linasema kuna Milioni 8.
Nikaona bahati ilioje hii, nikatoa milioni moja nyingine nikaziacha kwa uwoga na kusikilizia soo linakwendaje. Maana nilijua lazima nitailipa tu mfumo ukikaa sawa.
Baada ya mwezi napigiwa simu naambiwa kuna hela milioni nane iliingia kimakosa na umeichukua milioni moja unatakiwa kurudisha.
Nikaenda tawini kwao nikawaambia hela nimetumia nitawalipa kidogokidogo wakakubali. Nikawa nalipa elfu hamsini kwa mwezi.
Nilivyouliza tatizo ni nini wakaniambia kuna siku mfumo wa ATM ulijivuruga na kufanya kila anaetoa hela basi ile hela inarudi mara 20 kwenye account yake. Na kweli kuja kukumbuka siku hiyo nilitoa laki nne.
 
Kuna mwamba alipotoa pesa kaenda kula Bata hotel yupo na totoz 2 Wana wezele la kufa mtu anakula threesome afu anaona tangazo kwenye tv waliochukua pesa warudishe naona mkuyenge umezima ghafla
 
Back
Top Bottom