eneo

  1. JamiiForums Tanzania Wale waliozungusha uzio nyumba zao na hawana eneo la kuchimba shimo la takataka ,hivi takataka wanatupa wapi

    Najaribu kujiuliza maeneo ambayo watu wamemaliza kujenga viwanja vyao lakini pia wamejenga fences au uzio je wakifagia ,wakati mwingine wamekula matunda wanahitaji kutupa wanambinu gani mbadala wa kuziondoa takataka?
  2. JamiiForums Tanzania Mtu mzima aliyekuzidi umri akikukwaza usimtukane, tafuta mtu mzima mwenzake amwambie ajirekebishe

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu vijana watanzania; Mtu mzima aliyekuzidi umri akikukwaza usimtukane matusi. Mkikutana mkwepe au tafuta mtu mzima mwenzake amwambie ajirekebishe. Nimeamua kusema hivi kwa maana kwamba, juzi baada ya kutoka katika mizunguko yangu...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Sub-Saharan Africa na Mashariki ya Kati (Middle East)?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Africa na mashariki ya kati (Middle East)? Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Saddam Hussein pamoja na Yasser...
  4. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa Dodoma mjini

    Hiko cha kwenye msingi wa jiwe Chenye bamba 1129 Hicho ktkt ya hiyo duara Ukubwa sqm 611 Ni km 3 tu kutoka City Centre(katikati ya jiji) Kipo mtaa wa Chinyoya kata ya kilimani Dodoma mjini Price: 6 million (negotiable) Contact ; 0715354693 au 0759395908
  5. JamiiForums Tanzania Kama una eneo Dodoma lipo tu hulifanyii kazi tuwasiliane tufuge nguruwe

    Habari wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza kama una eneo halina kazi naomba tukutane, ili tuone kama tunaweza kushirikiana tufuge nguruwe kama washirika mimi nina mtaji wewe eneo. Eneo lisiwe nje sana ya mjini Tafadhari tuwasiliane PM Mrejesho: Nimeshapata eneo tayari ahsante JF
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta mpimaji wa eneo la dhahabu

    Ndugu wanajukwaa, kama kuna mtu au kampuni inayopima maeneo ya dhahabu nahitaji mawasiliano, nahitaji kujua kiwango cha dhahabu, umbali na taarifa zingine za kijiolojia katika eneo husika. P lease, it's so urgent!!
  7. JamiiForums Tanzania Eneo la kufanyia biashara ya M-pesa, Tigopesa etc

    Natafuta eneo lililochangamka kiasi kufanyia biashara ya Mobile money, kama ww ni owner au unaweza kuniconnect na owner, nitashukuru. Mm ni mkazi wa Temeke so naprefer maeneo around Temeke, Tandika, Mbagala, Kijichi, Gongo lamboto au maeneo ya jirani. Kama ni chumba/frame ni sawa au hata kama...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

    Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Maji hakuna eneo la nyumba zinazozunguka Machinjioni Mwanza

    Kuna ndugu yangu anakaa Machinjioni Mwanza tulikuwa tunaongea nae kwa simu akasema huko kwao maji hutoka mara moja kwa wiki usiku wa manane siku usiyojua!! Nikasema hii kali maji hakuna bombani na ziwa viktoria limezunguka mji na maji hayana mwenyewe! Kweli umaskini ni akili si pesa!! Sasa watu...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa wauza maduka katika eneo unaloishi, ni bora ukaitika wakati unaendelea na shughuli zako

    Wale wote mnaomiliki maduka maeneo katika eneo hilo hilo la nyumbani. Ndio inaeleweka kuWa mnafanya shughuli nyingine za nyumbani na kuuza duka pindi pale mteja anapojitokeza. Kero ni pale mteja anakuja dukani kupata huduma unamsikia anaita hujibu chochote, mteja anaendelea kuita tu, halafu...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli asema Serikali imejipanga kulifanya eneo la Kanda ya Ziwa kuwa eneo la utalii mkubwa na aeleza kuwa utalii utainua hiyo Kanda kiuchumi

    Dr Magufuli asema serikali imejipanga kulifanya eneo la Kanda ya Ziwa kuwa eneo la utalii mkubwa kama ilivyo Kilimanjaro na Arusha na aeleza kuwa utalii utainua hiyo kanda kiuchumi. Wale mliokuwa mkibeza uanzishaji mbuga za wanyama Mwanza, Kagera na Geita na ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

    Mbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA leo amezindua rasmi kampeni zake za kuomba ubunge kwa mara nyingine tena na kusababisha mafuriko makubwa ya wananchi kiasi cha kusababisha tetemeko . Hali ilikuwa kama hivi mnavyoona...
  13. JamiiForums Tanzania Una Eneo Pembeni ya Barabara?, Ungependa Kuwa Millionaire au Bilionea?. Usiuze Eneo Lako!. Total Kutengeneza Ma Milionea na Ma Bilionea 100 wa DODO!.

    Wanabodi, Hii ni story ya kweli kabisa, true story ya jinsi mtu wa kawaida sana, mwenye eneo tuu pembezoni mwa barabara linalofaa kujenga kituo cha mafuta, anavyoweza kugeuka millionaire au bilionea kupitia fursa ya DODO inayotolewa na kampuni ya mafuta ya Total, ambayo imepanga kutengeneza...
  14. JamiiForums Tanzania Uoga : Eneo lililotajwa kutumika na Lissu kwa Mkutano wa Kampeni Jimbo la Serengeti labadilishwa matumizi

    Viongozi wa Chadema wa Jimbo la Serengeti wameongea na Waandishi wa habari ili kutoa ratiba kamili ya Mgombea wao wa Urais Mh Tundu Lissu ndani ya jimbo hilo , ikiwa ni pamoja na kueleza eneo utakapofanyika mkutano huo. Lakini cha kushangaza muda mfupi baadaye eneo hilo likasimikwa bango la...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Kupita bila Kupingwa ni Mbinu chafu za NEC Au kukubalika kwa CCM?

    Hata angekuwa anagombea Yesu, Mtume Mohammed au Ibrahim, bado watu wangejitokeza kuwapinga kwa Hoja mbadala, Hivi Leo hii sababu gani yaweza kumfanya mtanzania anayetaka uongozi apite bila kupingwa nje ya Uzwazwa wa wanaoongozwa sehemu husika? Hakuna mtu sahihi au anayeweza kukubalika 100% kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Posta ya Zamani umegeuzwa kuwa dampo la taka chafu

    Mamlaka ya jiji la Dar es Salaam wameshindwa kwa makusudi kulilinda eneo la Fukwe za Bahari, baada ya maeneo yake kugeuzwa kuwa madampo. Ufukwe wa kuanzia zinapopaki boti za zanzibar hadi kwenye kivuko cha kwenda kigamboni eneo lote limejaa malundo ya taka . Ushauri wangu kwa jiji, wajitaidi...
  17. JamiiForums Tanzania Ijue NGULELO -Arusha eneo linalosifika kwa makazi ya Wahalifu wastaafu

    Inasemekana kuwa kwa wale wakazi wazoefu wa Arusha wanaifahamu Ngulelo ambayo inakaribiana na kwa Mrefu. Haya maeneo yanasifika kuwa makazi ya majambazi au wahalifu baadhi yao wakiwa majambazi wastaafu. Hebu tuongezee sifa zaidi za eneo hili ndani ya Jiji la Arusha.
  18. JamiiForums Tanzania Asilimia 61 ya eneo la Tanzania hatarini kugeuka jangwa

    Zaidi ya asilimia 61 ya eneo la Tanzania inakabiliwa na hatari ya kugeuka jangwa ikiwa juhudi zaidi hazitachukuliwa kukabiliana na changamoto za uharibifu wa misitu ya asili unaotokana na ongeeko la shughuli za binadamu zisizo endelevu na changamoto za mabadiliko ya tabianchi. Wataalam wa...
  19. JamiiForums Tanzania "Kipita kushoto" cha Msamvu ni kikubwa kuliko vyote Afrika Mashariki na Kati na mzani wa Dakawa-Dumila una eneo kubwa kuliko mizani yote Tanzania

    Kwa wale wasafiri mtakubaliana na Mimi juu ya andiko hili. Keep left ya Msamvu ndio yenye kipenyo/mzingo mkubwa kuliko vyote East and Central Africa. Na mzani wa Dakawa-Dumila ndio wenye eneo kubwa sana kuliko mizani yote Tanzania. Una urefu wa almost km 1 na upana mkubwa sana huku ukirembwa na...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Bw. Pompeo afanya ziara nchini Denmark bila kutaja suala la kununua eneo la Greenland

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Mike Pompeo amefanya ziara nchini Denmark ikiwa ni mwaka mmoja baada ya ziara yake kuahirishwa baada ya kauli ya Rais Donald Trump kuwa Marekani inataka kununua eneo la Greenland kutoka kwa Denmark kuzusha mvutano wa kidiplomasia. Ziara hii inafanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…