endelevu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Malengo ya uwekezaji wa China barani Afrika yanaendana na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa

    Baada ya China kupata maendeleo makubwa ya kiuchumi, nafasi yake ikiwa kama nchi mkopeshaji imeongezeka na kuwa mbele duniani. Malengo ya sera ya uwekezaji wa China kwa nchi za Afrika yanaendana na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 2030, na China inaonekana kuwa...
  2. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri TAMISEMI Dkt. Festo Dugange: Utoaji wa Taarifa kwa Wananchi Uwe Endelevu

    UTOAJI WA TAARIFA KWA WANANCHI UWE ENDELEVU - Dkt. Dugange Naibu Waziri TAMISEMI Dkt. Festo Dugange: Utoaji wa Taarifa kwa Wananchi Uwe Endelevu Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Festo Dugange amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Zaytun Swai: Utekelezaji wa Programu Endelevu ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini Itawasaidia Sana Akina Mama

    MBUNGE ZAYTUN SWAI: PROGRAMU ENDELEVU YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI ITAWASAIDIA SANA AKINA MAMA Mhe. Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha tarehe 11 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Hafla ya Uzinduzi wa Utekelezaji wa Programu Endelevu ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini...
  4. L

    AIIB yachukua nafasi kubwa katika maendeleo endelevu barani Afrika

    Hivi karibuni, Waziri wa Fedha wa Misri Mohamed Maait alipongeza nafsi muhimu inayochukuliwa na Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) katika maendeleo endelevu barani Afrika. Akizungumza kabla ya mkutano wa Bodi ya Magavana wa AIIB uliofanyika mjini Sharm El-Sheikh nchini Misri...
  5. Stephano Mgendanyi

    Huduma ya msaada wa Kisheria kuwa endelevu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Mtandao wa Watoa Huduma ya Msaada wa Kisheria (TANLAP) na Menejimenti ya Legal Services Facility “LSF” jijini Dar es Salaam. Mhe.Ndumbaro amekutana kujadili masuala ya msaada wa kisheria na ufahamu wa...
  6. Chaula0001

    SoC03 Mchango wa utawala bora na uwajibikaji katika maendeleo endelevu ya nchi

    Katika nchi ya Tanzania, uwajibikaji na utawala bora ni mada muhimu katika maendeleo ya nchi na ustawi wa wananchi. Uwajibikaji unahusisha uwezo wa viongozi na taasisi za umma kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na uwazi, huku wakilinda maslahi ya umma. Utawala bora, unahusisha uwajibikaji...
  7. D

    SoC03 Kuwajibika kwa serikali katika kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu

    KUWAJIBIKA KWA SERIKALI KATIKA KUFANIKISHA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU Utangulizi Katika enzi hii ya maendeleo, dunia imekabiliwa na changamoto kubwa za kijamii, kiuchumi, na kimazingira. Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) yameanzisha dira mpya ya kufikia ustawi wa kijamii na maendeleo...
  8. D

    SoC03 Kuwezesha uwajibikaji katika taasisi za kiserikali kwa maendeleo endelevu

    Utangulizi Uwajibikaji katika taasisi za kiserikali ni muhimu sana katika kuleta maendeleo endelevu katika jamii. Makala hii inalenga kuchunguza umuhimu wa kuwezesha uwajibikaji katika taasisi za kiserikali na jinsi utawala bora unavyoweza kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Tutajadili pia...
  9. M

    SoC03 Uwajibikaji kazini: Kuboresha Utawala Bora kwa maendeleo endelevu

    Utangulizi: Katika kuimarisha uwajibikaji na utawala bora katika sekta yoyote, mabadiliko madhubuti yanahitajika. Makala hii inaelezea jinsi mambo manne yanayohusiana yanavyoweza kuchochea mabadiliko hayo na kuleta maendeleo endelevu. Andiko hili limeandikwa kwa maneno hayazidi 100. Sehemu ya...
  10. Tonytz

    SoC03 Kuwepo na juhudi endelevu za usimamizi wa maafa ili kutekeleza mkakati wa taifa wa usimamizi wa maafa

    UTANGULIZI. Maafa ni madhara yanayotokana na janga ambayo yanajumuisha uharibifu wa mfumo wa kawaida katika jamii ambao husababisha vifo, majeraha, madhara ya kisaikolojia,, upotevu au uharibifu wa mali, mifumo mbalimbali ya kiteknolojia na huduma za kiuchumi na kijamii au mazingira, ambapo...
  11. Brightburn

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora: Kuchochea Maendeleo Endelevu

    Uwajibikaji na utawala bora ni nguzo muhimu katika ujenzi wa jamii imara na inayostawi katika nchi yoyote ile. Uwajibikaji unaohusisha viongozi wa kisiasa, taasisi za umma, na raia ni msingi wa kuunda mazingira ya uwazi, usawa, na haki. Kujenga mifumo inayodhibiti mamlaka na kuhakikisha uwazi...
  12. Roving Journalist

    Kongamano la Jukwaa la Fikra Kuhusu Mabadiliko ya Digitali - Juni 20, 2023

    Mazungumzo haya yameratibiwa na Mwananchi Communications Ltd (MCL) yanajadili umuhimu wa kusudio kubwa katika mageuzi ya kidigitali na ushirikiano kati ya sekta za umma na binafsi katika kufikia kusudio hilo. Tukio hili limewakutanisha viongozi wenye ushawishi, watunga sera, wasomi...
  13. isajorsergio

    SoC03 Sera Bora, Elimu na Teknolojia Muhimili wa Mabadiliko, Chachu ya Uwajibikaji na Utawala Bora

    Taifa katika kuhakikisha tunazipiga hatua na kusonga mbele kwa maendeleo ya sasa na vizazi vijavyo hatuna budi kuhakikisha tunawekeza nguvu katika sera safi na bora, elimu yenye kiwango na teknolojia. Taifa ni lazima lijikite katika kujenga misingi imara na mfumo dhabiti kuzunguka raia na...
  14. T

    SoC03 Teknolojia ya mbao na bidhaa zisizo na asili ya mbao kwa uchumi endelevu, ustawi jamii na mazingira bora

    Fursa za uwekezaji Teknolojia ya mbao na bidhaa zisizo za mbao zinatupa fursa nyingi za uwekezaji kama Taifa. Mianzi nchini kwetu ni kitu cha kawaida lakini ni malighafi inayotumika kuongeza minyororo wa thamani wa bidhaa za mbao na kukuza uchumi kwenye mataifa yaliyoendelea kama china...
  15. O

    SoC03 Utawala bora kwa maendeleo endelevu

    UTAWALA BORA KWA MAENDELEO ENDELEVU Utangulizi: Utawala bora ni msingi muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii yetu. Tanzania, kama taifa lenye lengo la kufikia maendeleo endelevu, inahitaji kuzingatia utawala bora katika nyanja zote za maisha ya kisiasa, kiuchumi, na kijamii...
  16. Dave4148

    SoC03 Uwajibikaji wa Watumishi wa Umma kwa maendeleo endelevu

    Uwajibikaji ni maana ya ule wajibu wa kuhakikisha kuwa watumishi wa umma na viongozi wanawajibika kwa vitendo na wanawajibika kwa matendo yao kwa watu wanaowahudumia. Uwajibikaji umekuwa ni muhimu sana kwa kuboresha utawala bora kwa nchi yetu ya Tanzania, hii inatokana na mambo ambayo viongozi...
  17. Mwl.RCT

    SoC03 Uraia Pacha: Kuunganisha Tanzania na Diaspora kwa Maendeleo Endelevu

    URAIA PACHA: KUUNGANISHA TANZANIA NA DIASPORA KWA MAENDELEO ENDELEVU. Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Uraia pacha ni hali ya kuwa raia wa nchi mbili kwa wakati mmoja. Inawawezesha watu kufurahia haki na huduma za kisheria, kiuchumi, kisiasa, na kijamii katika nchi zote mbili wanazohusika...
  18. E

    SoC03 Maendeleo

    Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu katika kujenga nchi yenye maendeleo endelevu na ustawi wa wananchi. Kupitia uwajibikaji na utawala bora, serikali inawajibika kwa wananchi na kuhakikisha kuwa rasilimali za umma zinatumika kwa ufanisi na kwa manufaa ya wote. Hapa chini nimeelezea mambo...
  19. Mwl.RCT

    SoC03 Kuongeza Uwazi na Uwajibikaji kwa Utawala Bora Endelevu nchini Tanzania

    Kuongeza Uwazi na Uwajibikaji kwa Utawala Bora Endelevu nchini Tanzania Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI: Andiko hili linajadili umuhimu wa kuongeza uwazi na uwajibikaji kwa utawala bora endelevu nchini Tanzania. Litaangazia athari za rushwa kwa uwajibikaji na utawala bora, mambo yanayochangia...
  20. Mzee wa Malengo

    Miradi mipya na endelevu ya maendeleo Tanzania

    Kichwa kinajieleza, hapa ningependelea tuweke video, picha na hata maelezo yanayohusu miradi inayotekelezwa na kila hatua iliyofikia ili kujuzana wapi tumetoka, wapi tupo na wapi tunaelekea. Kama ambavyo tunafanya kwenye ile thread ya Nairobi vs Dar es salaam. Naamini kuna watanzania wengi...
Back
Top Bottom