elimu

  1. IIoT

    JamiiForums Tanzania SoC01 Dunia inakwenda kasi, tusibaki nyuma

    Maisha yetu huwa na thamani pale tunapoona uwezo wetu wa kutatua changamoto ni mkubwa. Maisha yetu hukosa thamani pale tunapojihisi hatuna kile kinachoweza kuongeza thamani katika maisha yetu. Uwezo wa kutatua changamoto katika maisha hujengwa ili kutoa matokeo kusudiwa. Leo katika Story of...
  2. mama D

    JamiiForums Tanzania Mnaojiita Vyama Pinzani Tanzania msipokubali kuacha ubinafsi na kuwatumikia Wananchi kwa Elimu ya Siasa Ikulu mtapasikiga tuu

    CHADEMA na Vyama vingine vya upinzani wakati umefika sasa mkae chini na kujitafakari! Tena mjitafakari na kuwa wakweli nafsini mwenu kwamba siasa mnazofanya ni kwa maslahi ya familia zenu huku vyama vyenu vikiwa havina hata misingi imara kwa jamii Hakuna mtanzania anayekataa au asiyejua...
  3. covid 19

    JamiiForums Tanzania Nafasi 4 za kujitolea Elimu Tech Foundation (ETF)

    Elimu Tech Foundation (ETF) ni shirika jipya lisilo la kiserikali linalojishughulisha na maendeleo ya tehama kwenye elimu hususani kwenye shule za serikali kwa kuhakikisha miundombinu ya tehama kwenye shule nchini inaboreshwa na kuhimiza matumizi sahihi ya tehama kwenye elimu kama msingi wa...
  4. covid 19

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi post 5 (volunteer) Elimu Tech Foundation

    Elimu Tech Foundation (ETF) ni shirika jipya lisilo la kiserikali linalojishughulisha na maendeleo ya tehama kwenye elimu hususani kwenye shule za serikali kwa kuhakikisha miundombinu ya tehama kwenye shule nchini inaboreshwa na kuhimiza matumizi sahihi ya tehama kwenye elimu kama msingi wa...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ushahidi kuwa Elimu yetu haitoshi: Angalia Wabunge na Polisi

    Wabunge na polisi wanapinga kila kitu Cha wapinzani na kuunga mkono kila kitu Cha Serikali. Inawezekana kweli wapinzani wana kasoro zao, lakini wanasaidia nchi kwenye checks and balances hasa kwa vitu vinavyokwenda umiza hata mama zao vijijini. Tanzania hakuna kitu kizuri kuliko wengine zaidi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu ya China yawapa nafuu wazazi wakati shule zinapofungwa kwenye likizo ndefu ya majira ya joto

    Majira ya joto yamefika na tunapozungumzia majira ya joto, huwa mara nyingi kwa wanafunzi wa nchi mbalimbali pia wanazungumzia likizo yao ndefu hasa kwa nchi zile zenye misimu ya joto, baridi, mpukutiko na spring au mchipuko. Katika kipindi hiki baadhi ya wanafunzi huwa wanajiunga na kambi za...
  7. Semu Msongole

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mchango wa Jamii katika kuboresha Elimu Tanzania

    Katika taifa letu la Tanzania, watanzania tumejijengea utaratibu wa kushirikiana katika maswala mbalimbali ndani ya jamii zetu kama kuchangiana harusi, kutoa rambi rambi kwenye misiba na kujenga makanisa pamoja na misikiti. Haya yote yanafanyika na yanafanikiwa kutokana na nguvu ya umoja na...
  8. MRAMIRA

    JamiiForums Tanzania SoC01 Athari za mfumo wa elimu na ongezeko la wasomi wasio na ajira, nini kifanyike

    UTANGULIZI Kwa muda mrefu tumekuwa tunajiuliza nini hasa muarobaini wa ajira kwa wahitimu nchini? Kwanini wasomi hawaajiriwi au kuajirika? Upatikanaji wa ajira ni suala mtambuka ambalo watanzania wanajiuliza bila kupata majibu ya maswali haya: Je suala ni wasomi wenyewe je ni ukosefu wa stadi...
  9. MZEE WA MSALALA

    JamiiForums Tanzania Elimu Tanzania inakwama wapi?

    ELIMU TANZANIA SHIDA NINI? kwa mjibu wa Jamii Forums, Mwaka 2017 wavulana 36,434 waliacha shule, na wasichana 29,708 waliacha shule Katika Mwaka huo na kufanya jumla 66142. Miaka mitatu baadaye yaani 2020 wavulana 96,683 waliacha shule ikiwa ni mara 2.65 ya 2017 na waschana 71,151 Mwaka 2020...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania na viongozi wote mnashusha elimu ya Tanzania

    Chuo cha UDSM ambacho ndio cha kwanza hapa Tanzania kwa ubora wa elimu kimeshika nafasi ya 42 kati ya vyuo vyote vya Afrika. Kama UDSM kimeshika nafasi ya 42 kiafrika na ndio cha kwanza kwenye ubora Tanzania. Vyuo vinavyobakia hata kwenye list havimo. Havimo kabisa. Hivyo ni dhahiri elimu...
  11. MR TOXIC

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Mkoa wa Arusha na Muuguzi waliofanya maigizo ya chanjo wasimamishwe kazi mara moja

    Sitaki kutia neno, Jionee mwenyewe na uchukue hatua. UPDATE: 06 August, 2021 Waziri wa OR-TAMISEMI, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu OR-TAMISEMI kumsimamisha kazi Mwalimu Omary Abdallahemed Kwesiga ambaye ni Mkuu wa Idara ya Elimu ya Msingi Halmashauri ya Jiji la Arusha. Aidha...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania UNICEF: Janga la Corona ni changamoto kwa watoto masikini kupata elimu

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la UNICEF, Mtoto mmoja kati ya wanne ndiye mwenye kutumia Vifaa vya Kidigitali na Mtandao. Imeelezwa, Familia nyingi zimeuza mali zao au kuchukua Mkopo ili kununua Vifaa hivyo na kuwawezesha Watoto wao kuendelea na Masomo wakati huu wa Ugonjwa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mfumo wa elimu tunaotumia ni wa kikoloni, unatuandaa kutawaliwa zaidi kuliko kujitawala

    Elimu tuliyopata mashuleni imeshindwa kutusaidia kutatua changamoto zetu. Mfumo wetu wa elimu umetufanya tuwe ndio mzee Kwa Kila kitu. Na kutokana elimu hii tumeshindwa kujitetea hata pale tunapo ona tunaonewa na watawala. Jaribu kutazama mambo yanavyokwenda katika nnchi yetu serekali...
  14. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Nimegundua unaweza kuwa na Elimu kubwa ukawa na IQ ndogo

    Najaribu kutafakari yanayoendelea sasa mjadala kuhusu chanjo ya COVID na jinsi baadhi ya watu, viongozi wa dini na wanasiasa wanavyolichukulia jambo hili kwa wepesi na kuhoji uhalali wake ilhali wao wenyewe walishachanjwa toka utotoni. Je, wasingechanjwa wangekuwa hai leo? Utamtumainije Mungu...
  15. Hermenegild sulle

    JamiiForums Tanzania Walimu na ualimu: Jamii ina mchango mkubwa katika malezi na makuzi ya vijana wetu

    Elimu bora ni hazina ambayo wazazi wenye uelewa hujivunia wanaposhuhudia imewakomboa kupitia kwa watoto wao. Wazazi wa namna hii hutambua ili kufanikisha utume huu, wanajukumu la kuwa walimu wakwanza kwa kuonyesha mfano bora kupitia imani na maisha yao. Katika hali hii watoto wanakuwa ni kioo...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa NACTE ni wa polepole sana, Waziri wa Elimu shughulikia hilo

    Barua ya Wazi kwa Waziri wa Elimu kuhusu utendaji wa NACTE Kwako waziri wa elimu, Utendaji wa NACTE haulizishi kabisa. Watoto wetu wanafuatilia AVN ili waweze kuapply vyuo vikuu hawapewi. Kama watendaji wa NACTE wanakuwa wazembe kiasi hicho kwanini msibadirishe na kuweka watu wengine...
  17. wakale kwanza

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mustakabali wa Elimu ya Tanzania na uhusiano wake kwenye masomo ya Ujasiriamali

    MUSTAKABALI WA ELIMU YA TANZANIA NA UHUSIANO WAKE KWENYE MASOMO YA UJASIRIAMALI. ELIMU YA MSINGI Tunapozungumzia Elimu ya msingi kwenye nchi kama Tanzania ni vizuri kujua umuhimu wa Kuhusisha Elimu hii na Elimu ya ujasiriamali. Hususa ni Taasisi husika kukubali kuipokea Elimu hii ya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nani amefanya kozi ya Bsc Agric investment and banking Sua? Je, kwa mtu wa CBG mwenye EEC anaweza pata?

    Wakuu, naomba mtu mwenye uzoefu na kozi tajwa ili nione kama naweza kumusaidia mtoto mawazo. Anaonekana kuipenda lakini hana details. Asante
  19. Livingson1

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali ianzishe sheria na elimu kuzuia kutupa taka hovyo

    Utupaji wa taka hovyo ni changamoto za utunzaji wa mazingira, Serikali na wadau mbali mbali wanaweza kutoa elimu juu ya utunzaji wa mazingira. Kuanzisha sheria itakayopinga utupaji wa taka hovyo, Kutengeneza dustbin kubwa na kuziweka kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu kisha zikijaa...
  20. Kilenzi Jr

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini ELIMU ya juu haitoi mchango kikamilifu kukuza uchumi wa nchi?

    Pamoja na kuongezeka kukubwa kwa wanafunzi wanaojiunga na elimu ya juu, vyuo vyingi vikuu vya Kiafrika havitoi wahitimu wengi, na wengi wao hawana stadi zinazohitajiwa kuinua maendeleo ya kiuchumi ya taifa katika karne ya 21. Kwa hiyo kizuizi kimoja kikubwa katika kukuza uchumi ni maamuzi...
Back
Top Bottom