elimu

  1. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Dkt. Chaula: Elimu ya afya ya uzazi kwa mtoto wa kike ni muhimu

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Zainab Chaula amesema kuwa elimu ya afya ya uzazi kwa mtoto wa kike ni muhimu kwa sababu wanatakiwa kulindwa na kukingwa na changamoto zinazowakabili katika mazingira yao ya makuzi ili waweze kutimiza ndoto zao na jamii kwa ujumla...
  2. longokaka

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa Kiswahili kutumika kama lugha ya kufundishia Shuleni Tanzania

    Kiswahili kiwe lugha ya kufundishia Shuleni . Mfumo wa utoaji elimu ndio kitu pekee kitachopelekea elimu kupokelewa vizuri na wahusika katika mahala sahihi . Jamii yetu ya Tanzania imetawaliwa na lugha ya Kiswahili na kwa upande wa pili ni kwamba Kiswahili kimeidhinishwa kuwa ni lugha ya taifa...
  3. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu Afrika haumwandai muhitimu kujiajiri

    Mfumo wa Elimu ya Afrika tulioachiwa na Wazungu ni mfumo unaoharibu Akili na Saikolojia ya Wanafunzi. Wazungu wao wanasoma Elimu ya Maarifa na Wanasoma Future, sisi Afrika tunasoma vitu visivyo na msaada katika Maisha ya kawaida na vingi ni Past. Elimu inakufanya utegemee kuajiriwa usipoajiriwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa elimu ya juu

    1. Ninashauri bodi ya mikopo ya elimu ya juu isikie ushauri uliotolewa na Mheshimiwa waziri wa wizara ya mawasiliano juu ya matumizi ya TEHAMA. Achaneni na mambo ya kuwaomba waombaji wa mikopo watume maombi ya mikopo kwa njia ya Posta ikhali bado waombaji wameshawatumia kwa njia ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Urithi Unaotutenganisha

    Nakusalimu ndugu usomaye makala hii. Makala hii haikusudii kumlazimisha mtu akubaliane na mtazamo ulioandikwa ndani yake, kila msomaji ana uhuru wa kukubali au kukataa chochote kilichoandikwa katika makala hii, au hata makala nzima. Makala hii ni ndefu ila ni vema ukijitahidi kuisoma yote...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Elimu bure/elimu pasipo malipo inatekelezeka au ni mzigo kwa walimu ?

    Serikali ya Tanzania kupitia Dira ya maendeleo ya Taifa imelenga kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025, miaka minne ijayo. Lengo hilo lilitazamiwa kufanikiwa kupitia sekta ya elimu na mafunzo ambapo ilitarajiwa kuleta maendeleo ya haraka kwa kutumia rasilimali watu iliyoelimika...
  7. Thailand

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mfumo wa Elimu pendekezwa unaoweza kutuvusha watanzania

    Tuanze kwa kusema nini maana ya mfumo wa elimu. Mfumo rasmi wa Elimu kwa Tanzania, ni njia kuu ya kutoa huduma za masomo ya elimu kuanzia elimu ya awali hadi Chuo Kikuu. Mfumo wa elimu kwa Tanzania upo katika form ya 2-7-4-6-3+ ✓Miaka 2 elimu ya vidudu/cheke-chea hutolewa kwa wanafunzi wenye...
  8. J

    JamiiForums Tanzania TBS wafanya zoezi la ukaguzi na kutoa elimu kwa wajasiriamali juu wa kuthibitisha ubora wa bidhaa zao

    Wakaguzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakikagua baadhi ya maduka ya vyakula na vipodozi pamoja na viwanda vya wajasiriamali wilayani Liwale mkoani Lindi. TBS imeanza kampeni ya kutoa elimu kwa wajasiriamali na wenye viwanda juu ya umuhimu wa kupata alama ya ubora sambamba na kukagua na...
  9. Kaaya10

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ya Fedha: Uhuru wa Kifedha

    UHURU WA KIFEDHA (FINANCIAL FREEDOM) Uhuru wa kifedha ni ule uhuru wa kufanya mambo kama upendavyo au kutekeleza mahitaji yako yote kama upendavyo. Uhuru wa kifedha sio uwezo wa kuoanisha mapato na matumizi tu bali ni uhuru mpana wa kufanya kila jambo ambalo ungependelea kufanya bila kukwama...
  10. Kaaya10

    JamiiForums Tanzania Mtaji na pesa ya kuendeshea biashara yako ni kama damu na oksjeni kwenye mwili wako

    Makala ya tatu Namna ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara ndogo au kuongezea palipopelea. Mtaji na pesa ya kuendeshea biashara yako ni kama damu na oksjeni kwenye mwili wako. Kuna namna mbalimbali za kupata mtaji zikiwepo;- • Akiba • Mtaji kutoka kwa marafiki na wazazi • Mikopo kutoka...
  11. A

    JamiiForums Tanzania If you want to destroy any nation without war, destroy their education system

    Watz wanawasiwasi na chanjo ya uviko 19 kutoka kwaabeberu. Hata hivyo vitabu vyote vya elimu mashuleni, vya mitaala, kiada kwa miaka zaidi ya 10 vinafadhiliwa na pesa za mabeberu. Ukitafakari kwa kina utaona kabisa ule usemi wa kimombo usemao if you want to destroy any nation without war...
  12. W

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mabadiliko ya elimu kwa vijana wa Kitanzania

    Navuta picha ya kijana wa kitanzania anayewakilisha vijana wengi wa kiafrika vijana waliokosa mbinu za kujikwamua kiuchumi, kijamii, vijana wasiojua ni nini wafanye kutoka hapo walipo kwenda kwenye hatua nyingine na kupata kile wanachotamani katika ndoto/maisha yao. Naangali na kutathimini ni...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kubadili kituo cha kazi kada ya elimu

    Salamu kwenu wanajamvi, Nina dada yangu ni mwalimu wa shule ya msingi huko Iringa Kilolo. Anahitaji kuhama mkoa anaopendelea ni Morogoro. Kama kuna anaejua yeyote anaetaka kuhamia Kilolo hata kama hayuko Morogoro naomba tuwasiliane PM. Shuktlrani
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa elimu: Kila mtu asome

    Ninajua hii itaondolewa hapa haraka,, some na usambaze. Chanjo ya covid 19 inamtengeneze mtu mpya. Hutakuwa wewe tena wala watoto wako, na vizazi vyakkko vyote. Ndiyo sababu inapigiwa kelele kwa lazima bila kujali kuna magonjwa mengi zaidi yanayoua kuliko corona. Sasa hivi serikali...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Chanjo ni hiari, wasiochanja wasibaguliwe

    Juhudi za ulimwengu kuudhibiti ugonjwa wa Covid-19 zimeendelea kuenea ulimwenguni kote baada ya mataifa kuanza kutoa chanjo zitakazowaweka wananchi wake salama dhidi ya maambukizi ya virusi wanaosababisha ugonjwa huo. Tanzania ni miongoni kwa mataifa ambayo tayari yamepokea chanjo kupitia...
  16. Jasusi Mbobezi

    JamiiForums Tanzania Hatari kubwa: Elimu ya Tanzania inafundisha watoto kuwa vigeugeu

    Mfano mmoja ni huu: Mtoto akiwa darasa la kwanza anaambiwa 1-2= Haiwezekani halafu akifika darasa la sita anaambiwa 1-2= -1 hiki kitu kinaonekana cha kawaida ila ni kosa kubwa sana. Marekani kuanzia kindergarten watoto wanafundishwa 1-2= -1 na inaenda mpaka chuo kikuu. Kwa elimu niliyopata...
  17. frado

    JamiiForums Tanzania Elimu ya fedha ambayo BoT wanapaswa kuifahamu

    CASH IS NOT THE KING Najua wengi ni ngumu sana kuamini hiki ninachoenda kukiandika lakini sikuzote ukweli haufichiki na hata ambao wataamini naamini watashangaa sana, ukweli ni kuwa dunia ipo speed sana na kama bado hujui kinachoendelea basi nitaenda kuweka wazi kila kitu bila uwoga kuhusu...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Ubora wa chuo Cha taasisi ya elimu ya watu wazima IAE

    Ninaomba msaada juu ya ubora wa chuo Cha taasisi ya elimu ya watu wazima-IAE cha DSM
  19. L

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze elimu dhidi ya chanjo ya COVID-19, imuombe Askofu Gwajima asiongelee chanjo

    Jana nilimskiliza tena askofu Gwajima! Matamshi yake yanaungwa mkono na watu wengi sana kuliko hata watu waliopewa ubalozi wa Corona. Nashauri yafuatayo: 1. Serikali iongeze elimu juu ya chanjo 2. SerikaLi imuombe Gwajima abaki na msimamo wake lakini asiongelee chanjo 3. Itangaze chanjo kuwa...
  20. successiful dreamer

    JamiiForums Tanzania Mustakabali wa elimu yetu ni upi?

    Habari ya uzima wanajamvi? Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi. Mimi ni mdau wa elimu nimekua nikifatilia kwa kiasi mijadala inayohusiana na elimu ya nchi yetu kwa kipindi kirefu sana bila kupata majibu sahihi. Kinachoniumiza zaidi ni...
Back
Top Bottom