Jumapili njema wakuu!
Huu ndo ukweli wenyewe!
Kwa kengo lile lile la CCM kutawala raia wasio na elimu, ndiyo chanzo cha nguvu kubwa ya kuzuia elimu ya katiba mpya isisambae kwa raia kwa kukataza uwepo wa mijadala ya katiba mpya. Tafiti za huko nyuma zinaonesha wazi shabiki wakubwa wa ccm ni...
Wakuu naomba kwa yeyote anae fahamu ikiwa ni mtu binafsi, shirika, taasisi ama kampuni inayodhamini watu elimu ya chuo kwa mashart nafuu especially ktk masomo ya sayansi naomba kujuzwa TAFADHALI.
TAMWA inatambua kuwa ukatili wa kijinsia unaweza kuchukua sura mbalimbali kuanzia ukatili wa majumbani unaohusisha vipigo na matusi, usafirishaji wa binadamu, ukatili wa kingono kwa njia ya mtandao, ndoa za utotoni, ukeketaji na hata mauaji ya vikongwe.
Jamii inahitaji elimu kwa kina kuzifahamu...
Leo Bungeni wakati wa maswali na Majibu, Kuna swali lililohusu mabadiliko ya mitaala ya Elimu ili kuendana na hali ilivyo.
Naibu waziri wa elimu alikiri kuwa mfumo wetu wa Elimu uliopo haumsaidii Mhitimu kuweza kujiajiri hivyo wapo kwenye mchakato wa kubadilisha Mitaala inayotumika kukidhi...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Zainab Chaula amesema kuwa elimu ya afya ya uzazi kwa mtoto wa kike ni muhimu kwa sababu wanatakiwa kulindwa na kukingwa na changamoto zinazowakabili katika mazingira yao ya makuzi ili waweze kutimiza ndoto zao na jamii kwa ujumla...
Kiswahili kiwe lugha ya kufundishia Shuleni .
Mfumo wa utoaji elimu ndio kitu pekee kitachopelekea elimu kupokelewa vizuri na wahusika katika mahala sahihi .
Jamii yetu ya Tanzania imetawaliwa na lugha ya Kiswahili na kwa upande wa pili ni kwamba Kiswahili kimeidhinishwa kuwa ni lugha ya taifa...
Mfumo wa Elimu ya Afrika tulioachiwa na Wazungu ni mfumo unaoharibu Akili na Saikolojia ya Wanafunzi.
Wazungu wao wanasoma Elimu ya Maarifa na Wanasoma Future, sisi Afrika tunasoma vitu visivyo na msaada katika Maisha ya kawaida na vingi ni Past. Elimu inakufanya utegemee kuajiriwa usipoajiriwa...
1. Ninashauri bodi ya mikopo ya elimu ya juu isikie ushauri uliotolewa na Mheshimiwa waziri wa wizara ya mawasiliano juu ya matumizi ya TEHAMA.
Achaneni na mambo ya kuwaomba waombaji wa mikopo watume maombi ya mikopo kwa njia ya Posta ikhali bado waombaji wameshawatumia kwa njia ya...
Nakusalimu ndugu usomaye makala hii. Makala hii haikusudii kumlazimisha mtu akubaliane na mtazamo ulioandikwa ndani yake, kila msomaji ana uhuru wa kukubali au kukataa chochote kilichoandikwa katika makala hii, au hata makala nzima. Makala hii ni ndefu ila ni vema ukijitahidi kuisoma yote...
Serikali ya Tanzania kupitia Dira ya maendeleo ya Taifa imelenga kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025, miaka minne ijayo. Lengo hilo lilitazamiwa kufanikiwa kupitia sekta ya elimu na mafunzo ambapo ilitarajiwa kuleta maendeleo ya haraka kwa kutumia rasilimali watu iliyoelimika...
Tuanze kwa kusema nini maana ya mfumo wa elimu.
Mfumo rasmi wa Elimu kwa Tanzania, ni njia kuu ya kutoa huduma za masomo ya elimu kuanzia elimu ya awali hadi Chuo Kikuu. Mfumo wa elimu kwa Tanzania upo katika form ya 2-7-4-6-3+
✓Miaka 2 elimu ya vidudu/cheke-chea hutolewa kwa wanafunzi wenye...
Wakaguzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakikagua baadhi ya maduka ya vyakula na vipodozi pamoja na viwanda vya wajasiriamali wilayani Liwale mkoani Lindi.
TBS imeanza kampeni ya kutoa elimu kwa wajasiriamali na wenye viwanda juu ya umuhimu wa kupata alama ya ubora sambamba na kukagua na...
UHURU WA KIFEDHA (FINANCIAL FREEDOM)
Uhuru wa kifedha ni ule uhuru wa kufanya mambo kama upendavyo au kutekeleza mahitaji yako yote kama upendavyo.
Uhuru wa kifedha sio uwezo wa kuoanisha mapato na matumizi tu bali ni uhuru mpana wa kufanya kila jambo ambalo ungependelea kufanya bila kukwama...
Makala ya tatu
Namna ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara ndogo au kuongezea palipopelea.
Mtaji na pesa ya kuendeshea biashara yako ni kama damu na oksjeni kwenye mwili wako.
Kuna namna mbalimbali za kupata mtaji zikiwepo;-
• Akiba
• Mtaji kutoka kwa marafiki na wazazi
• Mikopo kutoka...
Watz wanawasiwasi na chanjo ya uviko 19 kutoka kwaabeberu.
Hata hivyo vitabu vyote vya elimu mashuleni, vya mitaala, kiada kwa miaka zaidi ya 10 vinafadhiliwa na pesa za mabeberu.
Ukitafakari kwa kina utaona kabisa ule usemi wa kimombo usemao
if you want to destroy any nation without war...
Navuta picha ya kijana wa kitanzania anayewakilisha vijana wengi wa kiafrika vijana waliokosa mbinu za kujikwamua kiuchumi, kijamii, vijana wasiojua ni nini wafanye kutoka hapo walipo kwenda kwenye hatua nyingine na kupata kile wanachotamani katika ndoto/maisha yao.
Naangali na kutathimini ni...
Salamu kwenu wanajamvi,
Nina dada yangu ni mwalimu wa shule ya msingi huko Iringa Kilolo. Anahitaji kuhama mkoa anaopendelea ni Morogoro. Kama kuna anaejua yeyote anaetaka kuhamia Kilolo hata kama hayuko Morogoro naomba tuwasiliane PM.
Shuktlrani
Ninajua hii itaondolewa hapa haraka,, some na usambaze. Chanjo ya covid 19 inamtengeneze mtu mpya. Hutakuwa wewe tena wala watoto wako, na vizazi vyakkko vyote. Ndiyo sababu inapigiwa kelele kwa lazima bila kujali kuna magonjwa mengi zaidi yanayoua kuliko corona.
Sasa hivi serikali...
Juhudi za ulimwengu kuudhibiti ugonjwa wa Covid-19 zimeendelea kuenea ulimwenguni kote baada ya mataifa kuanza kutoa chanjo zitakazowaweka wananchi wake salama dhidi ya maambukizi ya virusi wanaosababisha ugonjwa huo.
Tanzania ni miongoni kwa mataifa ambayo tayari yamepokea chanjo kupitia...
Mfano mmoja ni huu:
Mtoto akiwa darasa la kwanza anaambiwa 1-2= Haiwezekani halafu akifika darasa la sita anaambiwa 1-2= -1 hiki kitu kinaonekana cha kawaida ila ni kosa kubwa sana.
Marekani kuanzia kindergarten watoto wanafundishwa 1-2= -1 na inaenda mpaka chuo kikuu.
Kwa elimu niliyopata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.