elimu

  1. JamiiForums Tanzania Askofu wa kanisa la Ufunuo ashutumu viongozi wa Kanisa Katoliki kwa kuingilia masuala ya siasa

    ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari. Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo...
  2. JamiiForums Tanzania Ukimya wa mstaafu Kikwete tulidhani ni busara kumbe hamna kitu

    Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini. Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara. ====== Edo Kumwembe: Wakati...
  3. JamiiForums Tanzania Russian high school pupils to learn how to operate drones

    Huku mpaka uende chuoni! Angalia watu wanaoangalia kesho ya taifa lao. Russian high school pupils to learn how to operate drones Russian teenagers will learn how to operate and counter military drones in the upcoming school year, according to a curriculum published Monday by the education...
  4. JamiiForums Tanzania Watoaji wa huduma ya majanga na maafa Nchini wametakiwa kutoa elimu Mashuleni

    Taasisi za Serikali na zisizo za Serikali zinazo jihusisha na utoaji wa huduma ya majanga na maafa Nchini wametakiwa kutoa elimu Mashuleni na katika vikundi ili kuepuka majanga mbalimbali yasiendelee kujitokeza Nchini. Katika maadhimisho ya siku ya Ubinadamu Duniani, siku iliyotengwa kwa ajili...
  5. JamiiForums Tanzania Bakhresa, Mo Dewji na GSM Wekezeni kwenye Elimu haswa kwenye Dini zenu

    Kupitia vugu vugu la Bandari nimegundua Viongozi wengi wa Dini na Wananchi hawana elimu. Mashehe ndio kabisaa hawana uelewa wa kuelewa na kudadavua mambo nyeti ya nchi hii.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upokeaji wa maombi ya wanafunzi Elimu ya Juu

    Kwa heshima na taadhima, ninaandika kama mdau wa elimu nchini. Tangu kufunguliwa kwa dirisha la maombi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, waombaji wanashindwa kuwasilisha maombi yao kwa wakati. Wengi wanaishia hatua ya demographic information tu. Wanapowasilisha (submit) hakuna mrejesho...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawajui madhara ya usafirishaji haramu wa binadamu (human trafficking). Elimu izidi kutolewa

    Jana tarehe 14/08/2023 kupitia ukurasa wa ITV nimesoma habari ya kukamatwa kwa wahamiaji haramu huko Katavi waliokuwa wakisafirishwa kupitia tenki la mafuta. Ni habari ya kutisha sana. Kilichonitisha zaidi ni baada ya kusoma comments. Kiufupi ni kuwa watu wengi wamelaumu mtu aliyewapa taarifa...
  8. JamiiForums Tanzania Maoni kwa mtaala mpya wa elimu: badala ya somo la dini ondoa iwepo falsafa

    Katika pitiapitia yangu mitandaoni nimeona mapendekezo ya maboresho ya mtaala wa elimu. Tumekuwa tukilialia kuhusu oooh, mfumo wa elimu/mtaala unatufundisha kukariri sana. Mara haufundishi watu kujiajiri. Mambo mengi tu. Je katika mtaala mpya tumeweka jambo lipi la kuwafundisha hawa watoto...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba nijue elimu za marais wetu na ufaulu wao

    Kuna vitu ukiangalia kwa jicho la kawaida kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuongoza inchi kwa marais wetu, mfano nimebahatika kuuona utawala wa Mkapa,Kikweta,Magufuri mpaka Samia, Niseme ukweli nilikuwa nawakubali Mkapa na Magufuli, ingawa sijui walipata division gani form four,ila nina...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi kijana asiye na kipato kushawishiwa na makundi mabaya?

    Kila mwaka idadi kubwa vijana hapa nchini wanamaliza masomo yao katika ngazi mbalimbali za elimu. Taasisi za elimu kuanzia darasa la saba, kidato cha nne, kidato cha sita, vyuo mbalimbali vya ufundi na vyuo vikuu vinazalisha idadi ya wahitimu kila msimu. Takwimu za Tume ya Vyuo Vikuu (TCU)...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ndani na nje ya Tanzania, nina elimu ya Degree ya Education

    Habari wana jamvi, Natafuta kazi yoyote ya halali, Elimu: Bachelor degree (shahada) ya ualimu masomo kiswahili na Geography Umri: Miaka 28 Eneo nilipo: Dae Es Salaam, Goba Lugha: kiswahili na English fluently (speaking and writing) Uzoefu: Nina uzoefu wa mambo mbalimbali ikiwa ni ufundi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Jamii za wafugaji wapewe elimu maalumu kuhusu usafi, mapenzi na kuvaa nguo za ndani

    Jamii za wafugaji zinajulikana Sukuma, Maasai, Mang'ati na wengine wengi. Ni muda sasa Serikali itoe elimu kwa hizi jamii kuhusu Afya, Usafi na Kuvaa nguo za ndani. Wengi wanaishi kama Wanyama hawaogi, hawafui, hawavai nguo za ndani naogopa wasije kuharibika sehemu za siri. Najiuliza, wanawake...
  13. JamiiForums Tanzania Wananchi Simiyu wawajengea walimu nyumba za matope

    HABARI Wananchi wa Kitongoji cha Ihula kilichopo Kata ya Gibishi Halmashauri ya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu wameamua kujenga nyumba za tope ili kuwawezesha Walimu kuishi jirani na shule. Wananchi hao wamesema walimu wakiwa karibu na mazingira ya shule wanao uhakikia wa kuwahi hususani...
  14. JamiiForums Tanzania Ikitokea ndugu yako yupo kijijini, na hana fani, hana elimu, we mwambie ukweli tu

    Huku mjini ni kugumu sanaa wazee, sio kuzuri kuja pekupeku aisee, utahaibika 😂😂😂😂
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maombi ya mkopo demographic info (HESLB)

    Msaada wa maombi ya mkopo wa elimu ya juu(HESLB) nilikuwa namuapplyia mkopo mdogo wangu sasa nimefika katika demograhic info nmejaza fomu vizur inalod tu ainipi murejesho naombeni msaada maana nimekwama siwezi endelea mbele.
  16. JamiiForums Tanzania Mikopo ya elimu ngazi ya Diploma inawezekana?

    Je ni kweli inawezekana kupata mkopo kwa anayeenda kusoma stashahada?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Shule ya msingi Kigarama iliyopo Kata ya Igurwa, Karagwe Mkoani Kagera

    Shule ya msingi Kigarama iliyopo katika Kata ya Igurwa wilayani Karagwe mkoani Kagera ni miongoni mwa shule kongwe wilayani Karagwe. Shule hii kwa sasa inakabiliwa na changamoto nyingi zikiwemo upungufu wa madarasa pamoja na shida vya matundu ya vyoo kwa ajili ya wanafunzi. Mwaka jana 2022...
  18. JamiiForums Tanzania Miradi Mipya ya Elimu Jimbo la Mufindi Kaskazini

    NAIBU WAZIRI EXAUD KIGAHE AKAGUA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MADARASA JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe tarehe 29 Julai, 2023 mpaka tarehe 30 Julai, 2023 amefanya ukaguzi wa ujenzi wa Madarasa, Vyoo na Nyumba...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu hubadili hadhi ya ulimwengu

    Kikawaida elimu yetu iko katika mtazamo ambao unawanufaisha wachache, mtazamo wangu unagusia maeneo manne (4) ambayo yakiangaliwa na kuboreshwa basi manufaa makubwa yatakua matokeo yake. kama vile:- WAKATI WA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI Kila kitu kinaanzia hapa ambapo kijana anaanza safari ya...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Ukosefu wa vyoo wezeshi: Kizuizi kwa elimu ya wanafunzi wenye ulemavu

    Uwepo wa vyoo bora ni muhimu sana katika shule ili kuhakikisha mazingira salama na afya kwa Wanafunzi ili kuwezesha suala la ufundishaji na ujifunzaji. Hata hivyo katika shule jumuishi changamoto hujitokeza linapokuja suala la vyoo kwa Wanafunzi wenye ulemavu na wenye mahitaji maalumu. Suala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…