UtdProfile_
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 255
- 310
Huku mjini ni kugumu sanaa wazee, sio kuzuri kuja pekupeku aisee, utahaibika ππππ
Sawaaa blood lakn mm nampa ukweliii kwanzaa aelewee mazingirAa ya hapa TownMjini anyimwi Mtu kuja kila mmoja na bahati yake mwache aje Kama kuondoka aondoke mwenyewe usimzuie Mtu kuja.
Ishu kubwa ni chakula pa kulala sio ishu
πππππ€π€π€Aje tu hata chupa ataokota ataishi.
Ausiooo mzee, kikubwaa nazungumziaa kuumpaaa maelekezooo mapema tuumjini mipango, lakini Kila mtu na ridhiki yake , aje tu tupambanie kombe fainali nyumbani
Moto ni mkali sana maelekezo muhimuAusiooo mzee, kikubwaa nazungumziaa kuumpaaa maelekezooo mapema tuu
Naaam nadhan umenipataa Sasaamoto ni mkali sana maelekezo muhimu
Semaaa washikajiii nyiee wapotoshajiii qudadek ππππMjini misosi ipo mingi siku hizi watu wanaponea kwenye misiba, msibani anyimwi Mtu chakula.
Kulala utalala kwenye korido za wahindi mjini hadi siku ramani itasoma.
Usione watu Wana maghorofa mjini wametoka mbali
Wasio na elimu wengi Ndio matajiri,maana hujituma sana kwenye kazi akijua kwamba Hana fani!Acha vitisho Utajiri na umasikini unapatikana katika Akili na sio Fani ,Elimu n.k
Mwambie Aje mbona wachaga hawana hizo fani na wanakuja wanakomaa na Biashara Hadi wanatoboa
Live below ur means
Work hard
Get out of debts
Invest
Stay away with bitches Alcohol and Etc.
Sawaaa blood lakn mm nampa ukweliii kwanzaa aelewee mazingirAa ya hapa Town