elimu

  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu mnakwama wapi?

    Hii Wizara ishakuwa kidonda ndugu, ubora wa elimu unashuka kila kukicha wahitimu tunaozalisha hawakidhi vigezo vya soko la ajira. Shule zetu za umma uwiano wa wanafunzi kwa Mwalimu hauendani na uhalisia watoto wetu kila siku wanadaiwa hela na maelezo sahihi mwanangu wa Darasa la pili kila siku...
  2. JamiiForums Tanzania Hana ufaulu mzuri je, nimsaidieje ili apate elimu zaidi?

    Habar zenu Jamani naombeni ushaur, naishi ma mtot Wa dada angu. Amemaliza kidat chat nne mwaka 2017 na mwaka jana akaitaji kurudia, alopo rudia matokeo hayakua mazuri tena Ila hakukat Tamaa, kusema atafer hivyo mwakaa huh amekaa nyumbnna na anasema yupo teal kurudia tena shule. Je nimsaidie...
  3. JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu kwa tulikopata Daraja la Kwanza kidato cha Nne , Elimu ikiwa bado Elimu 1970 up to 2003

    Unakumbuka nini baada ya Kupata daraja la kwanza Nakumbuka mwaka **** nikiwa kijijini nimemaliza Shule, matokeao bado yanaandikwa kwenye magazeti Jina langu linaanza na Herufi za Mwishoni , kwenye alphabet, Shule yetu tulikuwa wanafunzi 45, lakin daraja la kwanza alikuwa mmoja , wanaojua IQ...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu tunaomba uingilie kati vyeti vyetu Chuo cha Bandari, Tandika

    Tulimaliza Chuo tangu Nov, 2017. Ilipofika June 2018 Vyeti vikagawiwa kwa Wahitimu wote, lakini katika Vyeti vile kulikuwa na makosa ya kukosewa majina baadhi ya Wahitimu, tukaambiwa na Mkuu wa Chuo kuwa wote ambao majina yetu yalikosewa yatupasa tujiorodheshe baada ya miezi mitatu tukachukue...
  5. JamiiForums Tanzania Sales and Marketing Skills: Hii ndio elimu ya juu kabisa kila mwanachuo anatakiwa kuifahamu bila kujali kozi aliyosoma hata akisahau mengine yote

    Hata uwe mbunifu mkubwa kiasi gani huwezi kunufaika ikiwa hujui jinsi ya kuuza ulichobuni. Ukiamua kuingia katika ujasiriamali bila hii elimu utajikuta unapiga marktime na kurudi katika kuuza CV. Tujitahidi
  6. JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo yawatoa hofu wanafunzi

    MKURUGENZI MTENDAJI WA HESLB, ABDUL-RAZAQ BADRU, PICHA MTANDAO Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema ina fedha za kutosha na hadi jana imeshapokea Sh. bilioni 186 kutoka serikalini kwa ajili ya malipo ya miezi mitatu iliyoanzia Oktoba. Kauli hiyo imekuja ikiwa ni siku...
  7. JamiiForums Tanzania Elimu inayokosekana na inayowapoteza wengi katika maisha

    Katika mfumo wetu wa elimu kuna elimu muhimu inayokosekana na hakuna sehemu ya kuipata hadi uzinduke mwenyewe ambapo elimu hiyo ni elimu ya kujitambua,asilimia kubwa ya watu wanafeli katika,biashara,mahusiano,ujasiriamali na vingine vingi sababu kuu ni kutokujitambua,na bahati mbaya zaidi...
  8. JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul C. Makonda ana Akili, Elimu na Ufahamu mkubwa kuliko Watanzania wote

    Kama kuna Mtu ambaye nilikuwa nabisha na nakataa kabisa kuhusu ‘ Dhihaka ‘ za Watanzania wenye Akili nyingi dhidi ya Uelewa na Uwezo wa Maarifa aliyonayo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul C. Makonda basi nilikuwa ni Mimi GENTAMYCINE ila kwa nilichokisikia leo na Mimi sasa rasmi...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Natafuta rafiki wa kike ambae huenda baadae akawa mke wangu. Sifa zangu ni: 1. Mtaratibu 2. Mkarimu 3.Mrefu wastani 4.Mwenye ya mungu 5.Mwenye heshima na upendo 6.Umri wangu miaka 23 Awe na sifa angalau kati ya hizi 1.Awe na hofu ya Mungu 2.Mwenye kuvalia kawaida 3.Mkarimu 4.Mwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Majina wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2020 yatoka, mikoa 13 yafaulisha wanafunzi wote

    Dodoma. Wanafunzi 701,038 sawa na asilimia 92.27 waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka 2019 wamechaguliwa kuendelea na kidato cha kwanza mwaka 2020. Wakati hao wakipata nafasi, wenzao 58,699 hawakupata nafasi kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa huku ikiagizwa ujenzi wa madarasa...
  11. JamiiForums Tanzania Wazazi wadaiwa kukingia kifua watuhumiwa ubakaji

    Wakati vitendo vya ubakaji na ulawiti vikiongezeka mkoani wa Dar es Salaam kwa kipindi cha miezi 10 ndani ya miaka miwili, wadau akiwamo Mkuu wa Wilaya Kigamboni, Sarah Msafiri, wameeleza tatizo la wazazi kuwakingia kifua watuhumiwa. Takwimu zinaonyesha katika kipindi cha miezi 10, mwaka jana...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali yakusanya mikopo ya Elimu ya juu ya Sh. Bilioni 183

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imefanikiwa kukusanya mikopo iliyoiva yenye thamani ya shilingi bilioni 183.3 sawa na asilimia 116.2 ya lengo la kukusanya shilingi bilioni 157.7. “Natambua kwamba baadhi ya wahitimu wamepata mkopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, hivyo natumia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ubora wa elimu na afya Tanzania

    Wakati tunasikia kuwa jiwe ni Rais anayetamaniwa na mataifa ya nje kwa kufanya kazi zilizotukuka. Hebu sikiliza contribution ifuatayo kuhusu standards za elimu na afya Tanzania. Mataga karibuni kwa hoja. Na ikitokea nikapata jibu lenye mantiki kuanzia saa hiyo nitaacha ku-prove umbumbumbu mlio nao.
  14. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete ahimiza uwekezaji katika elimu ya sayansi

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amehimiza uwekezaji katika sayansi, hususani katika kipindi hiki ambacho nchi inajielekeza katika uchumi wa kati ifi kapo mwaka 2025. Aidha, Kikwete ametoa mwito kwa waajiri kuruhusu watumishi kujiendeleza kielimu isaidie kuongeza idadi ya watu wenye shahada. Alitoa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi ahudhuria hafla ya uzinduzi ripoti ya BBI nchini Kenya inayopendekeza uwepo wa cheo cha Waziri Mkuu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    Waziri wa mambo ya nje Prof. Kabudi amehudhuria hafla ya uzinduzi wa ripoti ya Building Bridge Initiatives (BBI) nchini Kenya ambayo imehudhuriwa na viongozi wote wakuu wa Jamhuri ya Kenya. Miongoni mwa mapendekezo ya BBI ni haya: 1. Uwepo wa cheo cha Waziri mkuu ambaye ni lazima awe Mbunge wa...
  16. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yatoa Dola Milioni 75 kutekeleza mradi utaoleta mapinduzi katika elimu ya ufundi

    Serikali ya Tanzania inatekeleza Mradi unaolenga kuleta mapinduzi katika Elimu ya Ufundi Afrika Mashariki (EASTRIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia. Akizungumzia mradi huo wakati wa akifungua mkutano wa pili wa Mwaka wa wadau wa Mradi huo kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mchuano mkali wagombea Uenyekiti CHADEMA Kanda: Kamati Kuu yaweka uteuzi hadharani

    Kamati Kuu ya CHADEMA imetoa rasmi orodha ya wagombea wa nafasi mbalimbali katika kanda zake zote 10 baada ya mchujo mkali. Kati ya Orodha hiyo mvuto mkubwa ni nafasi ya Uenyekiti kanda ya Kaskazini ambako kuna mtifuano mkubwa kati ya wabunge wake wawili machachari Godbless Lema na Joseph...
  18. JamiiForums Tanzania Orodha ya Watu 10 matajiri zaidi Duniani /Africa na viwango vyao vya elimu kwa mwaka (2019)

    Uzi huu nimeuleta maalum ili iwe fundisho kwa wale wanaosema hakuna wasomi ambao ni matajiri au kusoma hakuna maana, ni kupoteza muda nk. Listi ya matajiri 10 duniani, kiasi cha utajiri, vyuo walivyosoma 1. Jeff Bezos - (USD 110 billion) - Princeton University - Bachelors 2. Bill Gates - (USD...
  19. JamiiForums Tanzania Waliokosa mikopo elimu juu wapewa matumaini

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha Serikali imesema kuwa wanafunzi waliopunjwa na wale waliokosa mikopo inayotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), wataipata kwa sababu kilichokwamisha ni mfumo. Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Ole...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya kutoa Anaitwa Roma, Roma na mkewe wanapata ujumbe wa vitisho mfululizo

    Inadaiwa Msanii Roma Mkatoliki na mke wake wanapokea meseji za vitisho baada ya Roma kuchia wimbo wake unaokwenda kwa jina la 'Anaitwa Roma'
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…