Orodha ya Watu 10 matajiri zaidi Duniani /Africa na viwango vyao vya elimu kwa mwaka (2019)

TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
4,974
15,310
Uzi huu nimeuleta maalum ili iwe fundisho kwa wale wanaosema hakuna wasomi ambao ni matajiri au kusoma hakuna maana, ni kupoteza muda nk.

Listi ya matajiri 10 duniani, kiasi cha utajiri, vyuo walivyosoma

1. Jeff Bezos - (USD 110 billion) - Princeton University - Bachelors
2. Bill Gates - (USD 106 billion) - Harvard University -2nd year Drop out
3. Bernard Arnault - (USD 101.2 billion) - Ecole Polytechnic -Masters
4. Warren Buffet - (USD 84 billlion) - Columbia University - MSc Economics
5. Marc Zuckerberg - (USD 70.3 billion) - Harvard University - Drop out
6. Amancio Ortega - (USD 70 billion) - Hakwenda chuo
7. Larry Ellinson - (USD 67.3 billion) - Illinois Chicago University - Bachelors
8. Carlos Slim Helu - (USD 61.8 billion)- University of Mexico - BA Engineering
9. Larry Page - (USD 57.9 billion) - Stanford University - PhD
10. Mukesh Ambani - (USD 57 billion) Bachelors- Chemical Tech

Listi ya matajiri 10 wa Afrika na viwango vyao vya elimu

1. Aliko Dangote (USD 14.1 billion) - BBA-Cairo University
2. Nick Oppenheimer (USD7.7 billion) - MA - Oxford
3. Johan Rupert (7 billion) - PhD in Economics
4. Nassef Sawiri - (6.6 billion) - BA economics
5. Mike Adenuga (5.3 billion) - BBA - Oklahoma University
6. Issad Rebrab (4 billion) - LLB
7. Naguib Sawiris (4 billion) - MA - Administration
8. Mohamed Mansour (2.7 billion) - MBA - Auburn
9. Koos Bekker (2.6 billion) - LLB
10. Patrice Motsepe (2.4 billion) - BA, LLB

Kulingana na takwimu zilizopo, hapa duniani kuna mabilionea 2,153. kati ya hao, ni watu 300 tu (sawa na asilimia 14) ndio hawana elimu ya chuo kikuu. Waliobaki wote (86%) ni graduates wa fani mbalimbali na wengine wana zaidi ya degree moja, Masters na wachache PhD.

Sources: Forbes, Wikipedia, Legit
 
Waswahili bwana kwa kuliwazana na majungu yao ya vijiweni eti matajiri hawajasoma. Kama hukusoma utaishia kupata hela ya kawaida na haiwezi kudumu zaidi ya kizazi hicho kinachomiliki hiyo Mali. Hili huwe tajili umiliki HELA NDEFU na huo utajili huwe endekevu LAZIMA huwe umeenda shule period.
 
sisi role model wetu Bakhresaaaa na Dimondiiiiii😊😊
Hawa jamaa lazima wafuate misingi ya Elimu ili hela yao idumu baada ya kizazi chake vinginevyo usishangae wakiondoka wanaondoka na Mali zao. Sijui lakini uenda Bakhressa atakuwa amewekeza Sana kwenye elimu ya watoto wake vinginevyo asingefika hapa. Utajiri lazima uendane na elimu kali ya kujua, kuchambua, na kutunza kumbukumbu ya mahesabu ya kihasibu jambo ambalo ni msomi tu analiweza
 
Back
Top Bottom