Makalla unajidharaulisha sana na siasa zako za mwaka 47, Mpox na Ebola tena?

Upekuzi101

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
407
858
CPA Makala anasema chadema wanakusanya pesa za kununua virusi🦠 vya ebola na MPOX Ili uchaguzi usifanyike.

Sasa Makala hizo siasa zako nani anakuelewa? Unaongea na population ambayo nusu yake ni vijana wameenda shule na wanaweza ku reason properly. Ulichosema ni kujiaibisha, kukosa agenda na kudharau wananchi kwa kuamini wote ni wapumbavu na wataamini unachosema. Your cheap politics offers political millage to your opponent. Ngoja uone chadema watakavokuja kukumaliza na iyo agenda yako ya kitoto eti kununua virusi 🫣🫣😁
 
Attachments

  • VID-20250323-WA0007.mp4
    3.9 MB

Makala amejua kuivua nguo CCM kwa utopo huu. Hata kama ni propaganda basi ingalao ikaribiane kidogo na ukweli,naona hata hao aliokuwa anawahutubia wameishia kumshangaa na kumdharau. Hivi mtu akanunue virusi vya ebola na mpox ina maana vitawashambulia maccm tu na kuwaacha Chadema? Na hilo soko lake likowapi ? Nitashangaa kama viongozi wa Chadema hawatamshitaki binafsi Amos Makalla kwa uchafuzi huu.
 
Back
Top Bottom