Mila na desturi zinatajwa kuwa miongoni mwa changamoto katika shughuli za kupambana na ugonjwa hatari wa virusi vya Ebola nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Utamaduni ambao wananchi wameuzoea umekuwa ukirudisha nyuma jitihada mbalimbali za kujikinga na maambukizi.
Jinsi shughuli za...
Serikali ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo zimezindua kampeni ya pamoja ya kutoa chanjo ya homa ya Ebola. Chanjo hiyo ilianza kutolewa jana mjini Rubavu nchini Rwanda. Hayo yanajiri wakati ambapo shirika la madaktari wasio na mpaka wiki iliyopita likitangaza kuondoka kwenye jimbo la...
Wiki iliyopita nilipata ugeni wa ndugu yangu kutoka Pemba aliyeamua kutumia meli ya Azam inayotia nanga Tanga.Katika mazungumzo yetu alisema kila kitu katika safari kilikuwa shuwari lakini adha kubwa waliyoipata ni wakati wa kuteremka.Kwani lango kubwa la meli halikufunguliwa badala yake abiria...
Shirika la afya duniani (WHO) limesema mashambulizi mawili yaliyotokea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, yamesababisha vifo vya wafanyakazi wanne wanaoshughulikia mlipuko wa Ebola nchini humo na wengine watano wamejeruhiwa.
WHO imesema mashambulizi hayo yalitokea usiku kwenye...
Waasi katika jimbo la Ituri wamevishambulia vituo viwili vya matibabu ya Ebola vinavyoendeshwa na Shirika la Afya Duniani (WHO), katika uvamizi uliofanyika usiku wa kuamkia Alhamisi na kuwauwa wahudumu watatu.
Taarifa zinasema kuwa miongoni mwa watu waliouawa ni wafanyakazi wa WHO na kwamba...
Rais wa DRC Félix Tshisekedi
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi amesema ana matumaini makubwa kuwa, maambukizi ya Ebola, yatamalizika nchini humo kufikia mwisho wa mwaka huu.
Tshisekedi ametoa kauli hii, akiwa ziarani jijini Berlin nchini Ujerumani, baada ya kuzinduliwa...
Mimi nilikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanafuatilia kwa makini sana sakata la Ebola tanzania. Hawa mabeberu waliuaminisha ulimwengu kuwa tz kuna Ebola na kushindana katika kutoa matamko kwa raia wao. Mimi nijuavyo Ebola kama pembe la ng’ombe halifichiki cha kushangaza mpaka leo sijackia...
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) na Kitengo cha Kupambana na Magonjwa kutoka Marekani (CDC), wamethibitisha kuwa Tanzania hakuna mlipuko wa ugonjwa wa ebola.
Uthibitisho huo umekuja baada ya Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, kuruhusu kuchukua...
Habari za asubuhi wanajamvi. Wajuaji wa mambo naomba tujuzane kama hili Lina ukweli.
Kwanini hili Swala linafanywa siri?
=======
Brazzaville, 12 September 2019 – The World Health Organization (WHO) is aware of a rumour related to the death of a person due to an unknown illness in Tanzania. We...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.