duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Je Kuna Siri kubwa ktk majina? Matajiri 10 bora duniani, namba 5 na Saba majina yao yanafanana.

    Habari wadau wa JF habari na hoja mchanganyiko. Nimeangalia orodha ya matajiri 10 bora duniani( Top ten richest people in the world). Tajiri namba 5 na 7 majina ya mwanzo hufanana. Namba 5 Larry Ellison na namba 7 ni Larry Page. Je kuna Siri kubwa ktk baadhi ya mjina kimafanikio na hata...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Madaktari duniani waonya dhidi ugonjwa wa "Super Gonorrhea"

    Doctors from different parts of the world are warning of a new infection called ‘Super Gonorrhea’ claiming that it may be a result of Coronavirus pandemic. This disease is not healthily new, as it is a strain of Sexually Transmitted Infection (STI), but according to Doctors, this infection is...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Mlinzi wa mgombea wa Urais Bobi Wine, amefariki dunia ikidaiwa ni kwa kugongwa na gari la Jeshi

    Ripoti za vyombo vya habari Uganda vinakariri mashahidi wakisema kwamba Francis Kalibala, aligongwa na gari la jeshi la Uganda UPDF wakati msafara wa Bobi Wine ulikuwa unarudi Kampala kutoka Masaka katika kampeni. Katika taarifa kupitia mitandao ya kijamii Bobi Wine amesema “nasikitika...
  4. JamiiForums Tanzania Wayahudi wanavyojipenyeza wizara za elimu duniani kufuta kutajwa vibaya

    Saudi Arabia imechapisha upya vitabu vyote vya shule za nchi hiyo na kuondoa vipengele vilivyokuwa vikiwataja kwa ubaya Wayahudi pamoja na Wakristo. Baadhi ya vipengele hivyo ni kama vile utabiri wa kuzuka vita hapo baadae ambapo waislamu watawapiga vibaya mayahudi na kuwashinda. Kipengele...
  5. JamiiForums Tanzania Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

    Juhudu kubwa zimekuwa zikifanywa na mataifa ya magharibi kuhakikisha idadi ya waAfrika weusi inabaki kuwa minority na hivyo oppressed zaidi duniani. Hili limefanyika kwa kusambaza magonjwa ya kuua watu wengi kwa mpigo kama 'Ebola', 'ARV na Ukimwi', Tuskegee syphilis experiment - Wikipedia...
  6. JamiiForums Tanzania Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la wito wa Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu, kupotea kwa mwana jf maarufu Ben Saanane, kupotea kwa mwanahabari Azory Gwanda, kuibuliwa kwa miili yenye majeraha kwenye viroba, au vitendo vingine vyovyote vya...
  7. JamiiForums Tanzania Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Mfano 1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.? 2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote - Ramadhan Dau

    Mkurugenzi wa NSSF Dr Ramadhan Dau amesema Fao la kujitoa limeondolewa ili kuendana na mfumo wa kimataifa kwani duniani kote hakuna Fao la kujitoa. Amesema hata Zanzibar na Kenya hakuna kitu kama hicho. Mkurugenzi huyo alitoa tamko hilo alipokuwa akihojiwa na Kamati ya bunge ya mashirika ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…