#COVID19 Upinzani wa chanjo ya ‘mwendokasi’ ya COVID-19 haupo Tanzania pekee

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,651
18,021
Duniani kote kuna vurugu patashika nguo chanika!! Kisa!! Watu wameishtukia chanjo ya corona!! Hali ni mbaya !! Watu wako tayari kufa kuliko kuchanjwa!! Vyombo vya habari vimezuiwa kutangaza hali halisi ilivyo lakini watu wamejitolea kupita mitaani na magari ya matangazo kuhusu athari za corona!! Australia hali ni mbaya!! Ufaransa ndo usiseme!! Jionee mwenyewe gari linalotangaza kupinga chanjo ya corona likiwa mitaani huko ughaibuni.
 
Nenda kachanje we jamaa acha ujinga utakufa wewe.
Waliochanja ndio wametangulia kufa!! Chanjo hii ina malengo ya ziada labda maana imeshindwa kabisa kumkinga mchanjwaji!! Au umeamua kutazama na kufikiri kwa kutumia tumbo?? Hata kama haujui kusoma hata picha huwezi kuona?? Pole!! Bila aibu tumeambiwa hata wanaohubiri na kuhamasisha chanjo kama msanii yule kwenye mdahalo wa chanjo ya corona Dr Sospeter Bulugu hajachanja!! Wewe mwenzangu na mimi ndo kichwa kichwa kama nyumbu unaelekea kwenye chanjo!! Akili za kuambiwa changanya na za kwako!!
 
Chanjo ni utapeli wa hali ya juu!! 0.5cc unainunua kwa dola US dola 35+!!!! Walipa kodi tutakoma !! Halafu chanjo yenyewe haikukingi na maambukizj mapya! Halafu irusi vinajibadilisha kila leo, kwa hiyo kila toleo jipya la corona litaenda sambamba na toleo jipya la chanjo!! Ee Mungu tutetee walipa kodi wa Tz! Wengine wanachojali ni kamisheni ya ten percent tu!! Mawakala wa mabeberu wa chanjo hata akili imeshawaruka wanaangalia kupiga pesa tu!! Niwakumbushe hawa kitu kimoja: Mungu ndiye atawalaye juu ya falme za wanadamu! Mungu ndiye aliyeruhusu kuinuka kwa kkla mkuu katika Taifa lake!! Mungu huyo anaweza kutengua muda wowote akiona kuna mtu anadhani yjko juu ya kila kitu!! Wafalme niwaase- ogopeni!! Ulizeni yaliyompata mfalme Nebkadreza!!
 
Binadamu ni wajingaa na wapumbavu sana!
Wanaokubali chanjo na wasiokubali chanjo wote ni wajinga tu.
Korona isitangazwe na habari zake tuzipotezee kabisa=tutaakuwa salama
 
Rais wa Brazil alileta ujinga na wafuasi wake kuhusu Corona. Ilichowafanya hawataisahau.

Iringa na Moshi majeneza yameadimika kisa ujinga wa kupingana na sayansi.
 
Upinzani wa chanjo haujaanza leo, Uingereza karne ya 19 watu waliandamana kupinga chanjo ya ugonjwa wa ndui na kuna wanaharakati walikamatwa na kufungwa, baada ya hizo chanjo leo hii hatujawahi hata kumuona mgonjwa wa ndui
images (1) (27).jpeg
 
Rais wa Brazil alileta ujinga na wafuasi wake kuhusu Corona. Ilichowafanya hawataisahau.

Iringa na Moshi majeneza yameadimika kisa ujinga wa kupingana na sayansi.
Chukua familia yko ukachanje kelele za nini, kuna mtu anaishi au kufa kwa niaba ya mwingine.
 
Waliochanja ndio wametangulia kufa!! Chanjo hii ina malengo ya ziada labda maana imeshindwa kabisa kumkinga mchanjwaji!! Au umeamua kutazama na kufikiri kwa kutumia tumbo?? Hata kama haujui kusoma hata picha huwezi kuona?? Pole!! Bila aibu tumeambiwa hata wanaohubiri na kuhamasisha chanjo kama msanii yule kwenye mdahalo wa chanjo ya corona Dr Sospeter Bulugu hajachanja!! Wewe mwenzangu na mimi ndo kichwa kichwa kama nyumbu unaelekea kwenye chanjo!! Akili za kuambiwa changanya na za kwako!!
Aliyetangulia nani? Wataje wawili tu kwa majina yao yote. Niko hapa nasubiri.
 
ToRais wa Brazil alileta ujinga na wafuasi wake kuhusu Corona. Ilichowafanya hawataisahau.

Iringa na Moshi majeneza yameadimika kisa ujinga wa kupingana na sayansi.
Wazungu 4millioni waliokufa na Corona walikuwa wanapinga sayansi.
Eu unatoa tu kila litokalo kinywani?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom