Mada yenye ukakasi: Majini yanayoishi nasi hapa duniani yenye umbo la kibinadamu (Demons/fallen angels in human form)

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
330
1,000
Hi guys

Hapa duniani si kila binadamu unaemuona ni binadamu kweli, haya mambo nimeyafahamu baada ya mm kufanya research yangu mtandaoni, kwa kusoma shuhuda za walokole kama kina rachel mushala wa facebook, waliomtumikia shetani na baadae kuokoka, pamoja na kuchanganya akili zangu.

Majini huwa tunakutana nayo kila siku sema hatujui kuwa waoni majini, na wapo kwenye all Classes of people, Na wanafanya karibia kila kitu binadamu tunachofanya,wapo matajiri, maskini, tabaka la kati, ombaomba, maraisi, waigizaji, wanamziki, ma-pastor, masheikh, wachungaji, na wapo kwenye kabila zote za binadamu kama wazungu wa asia, wa Latino, waafrika, waarabu etc

Asili yao ni kwamba Wao ni malaika waliotupwa mbinguni Pamoja na ibilisi, na nia yao ya wao kuja kuishi na sisi hapa duniani kama binadamu ni wao kutu-influence sisi kirahisi tufanye dhambi Na kumkosea Mungu, Ninayosema yapo kibiblia, soma kitabu cha mwanzo wale malaika walioangamiza sodoma Walivyokuja na umbo la kibinadamu Na wale wanefili, nahisi hata quran na sahih hadithi zinaongelea hili jambo, waislam mtanisaidia hapa .

Mungu aliwatupa toka mbinguni ila hakuchukua uwezo wao wa kujibadilisha na kuwa kama binadamu.

Hawa majini ni wake au waume au watoto za watu, ni ndugu zetu, marafiki zetu, classmate au workmate wetu, ni jirani zetu mtaani Wanazaliwa wanakua, wanaoa, wanaolewa, wanapata kazi wanazeeka wanafariki,unaweza hadi uka-trace ukoo wao, huwezi watambua kwa kuwaona kwa macho ya nyama au kwa kuangalia matendo yao bcoz wanajua sana kuigiza. Binadamu wa kijini aliemuoa Au alieolewa na binadamu wa kawaida mtoto atakayezaliwa lazima atakua jini.

Unaweza ukamwona mtoto wa miaka 5 kumbe kiuhalisia anakuzidi wewe umri, na kiroho alikuwepo kabla na tangu enzi za adamu na huyo mtoto anajifaham yeye ni nani na ataigiza kama mtoto

Wako wengi sana na haukutani nao mara moja moja kila siku, unakutana nao Kila siku sema hujui kuwa wao ni majini, na hawazaliwi na Kujikuta wao ni majini, wanajijua wao ni nani, wanajijua na wanakumbuka walivoasi na walivotupwa na Mungu kutoka mbinguni, na wanajua mission yao hapa duniani ni nini na wanajua wanam-target binadamu gani na kwa muda upi.

Kim kardashian na nduguze, tontoh dikeh, patience ozokwor, wote hao inasemekana ni majini waliovaa maumbo ya kibinadamu, hata kundi la mziki linalojiita imagine dragons wote nao inasemekana ni majini.

Pia majini wanajionesha maumbo yao kwenye filamu za hollywood kama vile superman, Spiderman, Hellboy, venom, X-Men, batman, the beauty and beast, katuni za Disney Na nickelodeon baadhi ya katuni ni maumbo ya majini kabisa, pia saa ingine majini walio kwenye maumbo ya kibinadamu wanaji-expose wao wenyewe Bila ya sisi binadamu halisi kujua, kwa walioona filamu ya sorcerer and the white snake ya jet lee, Na journey to the west ya kichina mtanielewa. Hata kwenye filamu ya devil kingdom ya Kanumba ramsy noah aliigiza kama lusifa aliyevaa umbo la kibinadamu, kwa walioiangalia Vizuri watanielewa.

Wanapoteza muda wao na nguvu zao kuigiza filamu Za kidunia Wakiwa na satanists ma-Agent wa shetani ambao ni binadamu halisi, wanaimba nyimbo za kidunia na za kidini pia, wanaanzisha trend mpya za mavazi, nywele, na kucha, ili sisi binadamu halisi tuwaige, mwishowe tuende nao kwenye adhabu ya ziwa la moto, yani sababu yao kubwa ya wao kuja hapa duniani kwa umbo la kibinadamu, ni kuvuna roho zetu sisi binadamu halisi Kwa kutushawishi tufanye dhambi, ili siku ya mwisho twende Nao kwenye ziwa la moto wa milele. Wanajua hawawezi samehewa So wanatu-influence na sisi tupotee kama wao, hukumu yao iko fixed na Mungu, Na wako very serious kwenye mission zao, kila wanachofanya ni mission, hata wakijenga urafiki na wewe ni mission, kuna kitu wana-aim, wakiwa kwenye maumbo ya kibinadamu walimu mtaani wanajuana, ila watajifanya hawajuani Ili waonekane ni binadamu. Wako Pia facebook instagram na mitandao mingine ya kijamii, wakiwa na maumbo ya kibinadamu wanajifanya ni watu wa kawaida, au watu wema sana, au wanaweza kubeba tabia ya ukali au usnitch lakini kiuhalisia ni wakatili na waovu mno Kuliko unavofikiria

Hata darasani na vyuoni, majini yaliyo na umbo la kibinadamu wanajifanya kufeli masomo au kupata maksi za kawaida ili waonekane binadamu lakini kiuhalisia wanajua mambo mengi zaidi kuliko binadamu halisi alietunga huo mtihani, wanajifanya wageni wa teknolojia Ili waonekane binadamu, wakati wao ndio wagunduzi wa teknolojia miaka mingi iliopita kabla ya hio teknolojia kufika hapa duniani

Inasemekana hadi lusifa huwa anakuja hapa duniani akiwa kwenye umbo la kibinadamu kwa ajili ya mission tofauti, mda mwingine anakuja kwa ajili ya kufanya ngono na wadada wa kibinadamu, baada ya miezi michache hao wadada hufariki, au kujaribu walokole/watu wa Mungu wa kweli Walioshindikana..

Usianze nyooshea watu vidole na kuhisi flani ni jini kwa kuangalia muonekano na matendo yao, the only way unaweza watambua majini wenye umbo la kibinadamu, ni Mungu akuoneshe maono, kama wewe ni mcha Mungu, au uwe ni mtumishi wa juu sana wa shetani.

Najua hii topic ni confusing na baadhi ya watu hawataamini, Kama wewe umejikuta tu upo hapa duniani wewe ni binadamu wa kweli, haina haja ya kujihisi kuwa wewe ni jini. Binadamu halisi hutokea tu pale ambapo binadamu halisi wawili watakutana kimwili.
 
Aisha j

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
1,667
2,000

Majini hawakuwai kuwa malaika,malaika Ni viumbe watukufu hawamuasi Mungu kamwe, majini Ni viumbe tofauti na malaika
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
182,484

zhang laoshi

JF-Expert Member
Aug 2, 2014
358
500
Kumekucha Nimewaza nje ya box tena mbali zaid, wakati wa Mungu anaangamiza Dunia kwa maji Bible inasema waliacha miili ya kibinadamu na kukimbia, na wale Watoto waliozaa nao na binadamu ambao walikuwa wakubwa sn waliangamizwa na maji wakati wa gharika ya NOA

Swali: baada ya gharika kuisha waliweza tena kuvaa miili ya kibinadamu na kuishi nao kama kabla ya gharika, je Mungu aliwazuia Kufanya hivyo? Na wapi iliandikwa?

Najaribu kuunganisha dot nahisi kuna ukwel sehemu fulani nimeanza kumchunguza hata mke wangu na tabia za mwanangu ila ni ngumu sn kujua

All in all wapo na tupo nao
 
carter

JF-Expert Member
Jan 23, 2009
3,666
2,000
Asee... Kumbee...

Mpaka ujue hivyo hayo Kuna gharama zake! Je, umeshazilipa?

La! Acha mihadarati... Utajikuta kitengo ikiwa utaponea chupu chupu au kitaa umepigwa kudu gari limewaka..

Adios!

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom