Nafasi ya Bill Gates na sekeseke linaloendelea duniani

Teleskopu

JF-Expert Member
May 5, 2017
702
762
Patent WO / 2020/060606 imetengenezwa na Microsoft Technology Licensing LLC
………
  • Microsoft ni ya bill gate, au sio?
  • WO = World Order (yaani New World Order)
  • 2020 = ni patent iliyosajiliwa mwaka jana WIPO (World Intellectual Property Organisation)
  • 060606 = namba ya patent (666??? - tafakari)
Screen Shot 2021-09-07 at 4.43.31 PM.png
Jina la patent hii kama unavyoona hapo juu ni: “Cryptocurrency system using body activity data"
Maana yake ni kuwa huu ni mfumo wa fedha wa kidijitali usiotumia sarafu wala noti tulizozaliwa tukazikuta hadi leo. Ni mfumo unaotumia data zinazotokana na shughuli za mwili.
Kwa maneno mengine, ili ulipwe lazima mfumo upate taarifa toka KWENYE MWILI WAKO kwamba kazi uliyopewa umeifanya KIKAMILIFU.
Shughuli za mwili ni kama zipi?
Ukiingia kwenye link ya documents, hapa:
Screen Shot 2021-09-07 at 5.38.49 PM.png
Utaona documents zinazotoa ufafanuzi mbalimbali. Mojawapo inaitwa: Application body as filed. Ukurasa wa 1-2 (nimeunganisha) zinasema hivi:

Screen Shot 2021-09-07 at 4.47.37 PM.png
Inataja shughuli hizo ni pamoja na:
  • Brain waves – mawimbi ya ubongo
  • Body heat – joto la mwili
Kwa hiyo, sensor zikituma taarifa kwamba umetimiza ulichotumwa, pesa inaingizwa kwenye akaunti yako. Kumbuka, pesa hiyo sio noti wala sarafu.

Sijui kama uliona post yangu inayohusu video ya World Economic Forum inayosema HUTAMILIKI CHOCHOTE LAKINI UTAKUWA NA FURAHA; ILA UTAFUNGIWA MAHALI NA UTAKUWA UNAFUATILIWA 24/7. (Bofya hapa uisome: Malengo maovu ya wakubwa wa dunia ) – Ndio maana kila mwisho wa post nakwambia “Connect the dots” Usiangalie jambo moja ukaishia kuona hilohilo.

Turudi kwa Geti.
Sasa mwili utatumaje taarifa? Na pesa zitakuwa wapi?

Mkuu wa World Economic Forum ameandika kitabu mwaka jana kinahoitwa: Covid 19: The Great Reset. Kwenye utangulizi anasema:
At the time of writing (June 2020), the pandemic continues to worsen globally. Many of us are pondering when things will return to normal. The short response is: never.
Kwamba wengi wanadhani kuwa baada ya korona, tutarudia hali ya zamani. Jibu fupi ni kuwa: sahau.​

Kwa hiyo tunakoelekea ni wapi?
Katika kitabu chake Fourth Industrial Revolution uk 12 Schwab anasema hivi:
Screen Shot 2021-09-07 at 6.05.45 PM.png
Maendeleo ya viwanda ya nne ni kuunganisha physical (mfano simu), digital (mfano internet) na biological (mfano mwili).
Hapo ndipo tunapata Internet of Bodies (IoB) – Soma zaidi hapa: The Internet of Bodies is here. This is how it will change our lives
Kumbuka kwenye post nyingine nilikueleza kuwa Bill Gate anashirikiana na WHO ambapo yenye ni mtoaji pesa; anashirikiana na GAVI, na hapo pia amewekeza na bi board member – Connect the dots.
Je, ni wapi ambako wamejikita zaidi hawa watu (geti na gavi) kusambaza hizo chanjo zao kwa sasa? Tazama ramani hii utapata jibu:
Screen Shot 2021-09-03 at 11.05.10 AM.png
HITIMISHO
  • Iko siku utawekewa sensors ndani ya mwili wako.
  • Iko siku sarafu na noti zote zitaondolewa ibaki cryptocurrency.
  • Utalipwa cryptocurrency pale tu utakapofanya kazi uliyopangiwa.
  • Pesa hizo zitakuwa mwilini mwako maana tayari wewe utakuwa sehemu ya Internet of Bodies (IoB)
  • Kile kitakachoingizwa mwilini mwako kitakumiliki HADI MAWAZO YAKO.
  • Uhuru na utashi na uwewe wako utakuwa ndio umefika MWISHO.
  • Utakuwa ni MTUMWA wa wakubwa wa dunia.
…………….
NAONGEA KANA KWAMBA NI FUTURE TENSE, BUT IS IT?
Connect the dots.
Katika yote utendayo, MKUMBUKE MUNGU.
UFUNUO 13 IS HERE ALREADY.

Karibu FearlessFighter , Zeus1 , Ndalilo

PATENT WO2020060606 INAPATIKANA HPA:
WO2020060606 CRYPTOCURRENCY SYSTEM USING BODY ACTIVITY DATA
 
Dah post yako inafikirisha sana jombaa, kwamba tunatoka kwenye internet of things afu wajomba wenyewe wanataka kuleta internet of bodies au sio! noma kweli.

Sema kwenye hili la covid na kurudi maisha kama mwanzo nadhani ni mda tu kidogo umesalia mambo yatakuwa poa.

Sema kingine mbona mara nyingi mumekazana na number hizi mara 666? ndio imeonyeshwa kwenye revelation but guess what?mara nyingi watu wamekuwa na tafsiri zisizo na afya njema wanaposoma religious books.

Mind you they are divine books and what is in there is not a work of human being and to make it more complicated the message is inspired by dreams and vision.

Imagine some prophets had to ask Angels for interpretation ila leo nashangaa pia kuona mtu anatoa tafsiri nyepesi sana ya message ambayo ni divine.

Kuhitimisha ni kuwa hizo dots unazosema haziwezi connect na ikitokea basi Mungu yupo hawezi telekeza alichoumba
 
Nimekusikia loud and clear mkuu. Ni kweli tunaingia kwenye internet of bodies. Kuhusu kurudia maisha kama mwanzo Klaus Schwab wa WEF kama nilivyomnukuu kwenye post anasema: Many of us are pondering when things will return to normal. The short response is: never. Kuhusu 666 huu ni mfumo (beast system) ambao unatumika SANA duniani na waabudu shetani. Ku-connect dots namaanisha tu uoanishe jambo moja na jingine utakuta kuna uhusiano, mfano, bill gate, klaus shwab, new world order, UN, WHO, covi, nk. Ukiwa makini utagundua pattern.
 
Ahsante sana kwa kunialika mkuu Teleskopu , mbali na Kumrudia Mungu, nini zaidi tunaweza kufanya?;
As individuals, kwanza kabisa tujaribu kutafuta taarifa zaidi juu ya kila kitu na sio kuamini tu. Hata haya ya kwangu niliyoandika ni muhimu mtu kujiridhisha badala ya kuamini tu. Kama taifa pia natamani tungefanya vivyo hivyo. Kusema kweli KABISA, kama tungesimama na falsafa ya Magufuli - ya kujiamini, ya kujilinda na ya kuthubutu (ukiacha mapungufu yake kama binadamu) - litakuwa ni jambo kubwa sana.
 
Nimekusikia loud and clear mkuu. Ni kweli tunaingia kwenye internet of bodies. Kuhusu kurudia maisha kama mwanzo Klaus Schwab wa WEF kama nilivyomnukuu kwenye post anasema: Many of us are pondering when things will return to normal. The short response is: never. Kuhusu 666 huu ni mfumo (beast system) ambao unatumika SANA duniani na waabudu shetani. Ku-connect dots namaanisha tu uoanishe jambo moja na jingine utakuta kuna uhusiano, mfano, bill gate, klaus shwab, new world order, UN, WHO, covi, nk. Ukiwa makini utagundua pattern.
Binafsi sina tatizo na ujumbe wako ila mara nyingi mambo ambayo dunia inapitia yamekuwa overlooked

Hiko hivi kuna vitu ukiviapproach kwa nje unaweza tengeneza myths kibao kitu ambacho kinapelekea theories kama hizi zinatokea

Ila ukweli ni kuwa ili tuweze kujua ukweli wa kila jambo subira pia ni muhimu
 
As individuals, kwanza kabisa tujaribu kutafuta taarifa zaidi juu ya kila kitu na sio kuamini tu. Hata haya ya kwangu niliyoandika ni muhimu mtu kujiridhisha badala ya kuamini tu. Kama taifa pia natamani tungefanya vivyo hivyo. Kusema kweli KABISA, kama tungesimama na falsafa ya Magufuli - ya kujiamini, ya kujilinda na ya kuthubutu (ukiacha mapungufu yake kama binadamu) - litakuwa ni jambo kubwa sana.
Ahsante.
 
Binafsi sina tatizo na ujumbe wako ila mara nyingi mambo ambayo dunia inapitia yamekuwa overlooked

Hiko hivi kuna vitu ukiviapproach kwa nje unaweza tengeneza myths kibao kitu ambacho kinapelekea theories kama hizi zinatokea

Ila ukweli ni kuwa ili tuweze kujua ukweli wa kila jambo subira pia ni muhimu
Ni kweli subira ina nafasi muhimu ila kuna mambo ukiingiza subira gharama yake hailipiki. Kwa hiyo pamoja na subira, kikubwa kingine ni kusearch for more information - kuwa proactive kwenye jambo husika. Maana ukweli ni kuwa taarifa zipo tu ukitaka kuzitafuta. Mathalani hapa mimi natajataja tu vitu kwa kifupi SANA ili kuamsha shauku ya mtu kutafuta ukweli zaidi mkuu.
 
Back
Top Bottom