Matumizi ya ‘Surnames’ ni kitu kipya duniani. Uliletwa kubaini waliokataa kulipa kodi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,603
154,910
Matumizi ya SURNAMES Ni kitu kipya duniani na kilianza kutumika rasmi Mwaka 1066 baada ya Mapinduzi ya Norman Conquest.

Hata kwenye vitabu vitakatifu Mtume Mohammad aliitwa kwa jina lake, hata Yesu aliitwa kwa jina hilo. Hata ilipotokea kuitwa YESU wa Nazareth, ilionesha mahali alipotokea na sio surname yake.

Isaya, Jeremiah, Musa na manabii wengi walijulikana kwa majina yao.

Utaratibu wa kutambuana kwa surname uliletwa ili kuwabaini waliokataa kulipa Kodi, na waliokataa kupeleka watoto wao vitani kwa kuwaficha.

Daka hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom