duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Heche angalia usalama wako maana umewataja wenye bunduki , risasi, vifaru, magari ya deraya na zana zote za maangamizi duniani

    Just kutoa tahadhali! Angalia maisha yako, chukua tahadhali. Tetesi: eti wa kule wamemkolimba kuficha ushahidi wa MO 29!
  2. Watakatifu waliopo duniani

    Hivi tunajua ya kwamba hata Shetani na mapepo yote yana mkiri kuwa Yesu Kristo ni BWANA ni Mungu ni mwokozi,na kumuamini kuwa ni mwakozi na ni mwana wa Mungu na ni Mungu na mwenye nguvu na mamlaka yote. Na tena mapepo si kwamba yana mkiri,na kumuamini tu tu,na ila KWA KUTETEMEKA NA KUMUOGOPA ...
  3. PostGE2025 List: Rais Samia ni namba 4 kwa watu wenye nguvu zaidi duniani

    Leo X nimekutana na hii list ya most powerful people on earth nimekuta Samia yupo nafasi ya nne. Mnaionaje hii list? Japo aliyepost kaweka na profile picture ya Samia, inaonekana ni mwanaCCM https://x.com/420Cousin/status/1997726092719693830?s=09
  4. Utabiri raisi ATAKAE tawala Tanzania kwa Muda mfupi Dr Samia or Magufuli?shekhe Yahaya njooo duniani!

    Magufuli alitawala miaka HAIJAWAI tokea Tanzania Mama Samia Suluhu hassani anaenda Mwaka WA 5 Sasa je Shekhe Yahaya alimtambilia nani kuwa raisi wa Muda mfupi? Je akilazimisha amzidi Magufuli Nini kitajili? Mbinguni kunani?
  5. Kesho Tanzania inaenda kutoa somo duniani D9

    Sina hofu na vijana Gen z Hofu ni adui wa maendeleo millenia hofu zao zinapoishia wao Gen Z ndo ujasiri wao unapoanzia Mpaka ukaone Gen z anahofu basi mellenia muda huo kashafukiwa futi 6 chini ya udongo 😂, Kesho watu wenye mapenzi mema na nchi yao wanaenda kutimiza haki yao kikatiba ya...
  6. Wanawake duniani mshapoteza bahati kuwa marais

    Hiyo ndoto kuwa mtakuja kuwa rahisi kaja kukatiza samuya. Msitarajie hata kwa bahati ya CDF mstaafu mabeyo. Kwa sasa tumeona nchi walizoshika wanawake na mwisho wa siku wengine wamehukumiwa kifo,jera na wengine wamaziua nchi kabisa. Kuna umuhimu sheria kuingiliwa upya maana uislamu uliona mbali.
  7. R

    PostGE2025 Rais Samia kuwa Mgeni rasmi Mkutano wa umoja wa Mabunge duniani (IPU) jijini Arusha

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano mkubwa wa Mabunge unaotarajiwa kufanyika kwa siku sita mkoani Arusha na kuhusisha Maspika, Wabunge na Viongozi zaidi ya 1500 kutoka kote duniani. Hayo yameelezwa ikiwa ni maandalizi ya...
  8. Watu mbalimbali duniani wanasema hawaamini kama Tanzania ingefikia hatua hii ya kutisha na mauwaji yanayoendelea hovyo

    Watu mbalimbali duniani wanasema hawaamini kama Tanzania ingefikia hatua hii ya kutisha na mauwaji yanayoendelea hovyo. Wanahoji je nchi haina jeshi, inamaana jeshi lililo uwa watanzania ni hili hili la Tanzania, kwenye baadhi ya mijadala watu wanasema jeshi lilikuwa lockdown, na kulikuwa na...
  9. Wakili Peter Madeleka: Siku Mange Kimambi akimamatwa, akashitakiwa na kutiwa hatiani kwa kesi hii, basi hiyo siku ndiyo YESU atarudi rasmi duniani😀

    Huyu Peter Madeleka huyu, sijui kwanini anaongea kwa mafumbo (rhetorically) badala ya kusema kwa uwazi tu ili Hamza Johari na Nassoro Katuga waelewe kirahisi🤔🤔😀😀 Fumbo mfumbie mjinga lakini mwerevu............................(malizia) #D9 #SAMIAMUSTGO
  10. Makampuni 25 yanayoongoza kutengeneza Silaha za Kivita Duniani

  11. Ukweli usemwe Sasa hivi duniani hamna timu Bora kama Arsenal

    Hamtaki kusema ukweli hii ndio timu Bora duniani imagine imecheza games 3 kubwa wiki Moja na imepata point 7 muhimu gunner to the world
  12. Beluga cavier: chakula zaidi ghali duniani

    Beluga caviar ni chakula ghali sana duniani, na bei yake inaanzia takriban $7,000 hadi zaidi ya $22,000 kwa kilo ($3,200 hadi $10,000 kwa pauni), bei zinatofautiana kulingana na ubora na chanzo. Bei pia inaweza kupatikana kwa idadi ndogo, kama vile $200-$300 kwa wakia. Gharama Hi yo ya juu...
  13. Watanzania kilio chenu tayari kimesikika duniani na mbinguni, futeni machozi sasa, ila fanyeni yafuatayo

    Watanzania ( Tanganyika) tumelia sana na mateso, mauaji, kutekwa, udhalilishaji, uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa na unaoendelea kufanywa na watawala wa sasa akiwemo Raisi feki na vibaraka wake wakiwemo viongozi wa vyombo vya usalama n.k Mateso hayo kwa watanzania yamefanyika...
  14. A

    Revolution za hatari zilizowahi kutokea duniani na faida zake

    1. French Revolution (1789–1799) – Ufaransa Faida zake: Iliangusha utawala wa kifalme wa kidikteta.Ilileta haki za kiraia, uhuru wa watu, na misingi ya demokrasia.Ilianza mfumo wa serikali ya wananchi (Republic). Vifo: Zaidi ya 300,000 (makadirio), ikijumuisha “Reign of Terror”. 2...
  15. Hivi duniani hii inawezekana

    Ni dharau Kiburi Ulimbukeni Kukosa maarifa? Au uhuni? Mama Rais mtoto waziri Hii sikumbuki ilitokea nchi gani duniani yenye democrasia Toka nimezaliwa sijawai kusikia Wala kuona.
  16. Kila nchi Duniani inapigana na Changamoto zake

    Ni ukweli usiopingika, Kila nchi kwa sasa inapigana na shida na Changamoto zake kuanzia za kisiasa na zile za kijamii. Kwa mfano , sasahivi kuanzia Mexico hadi kule Nepal au Indonesia Changamoto za kisiasa na za kijamii viongozi wanahaha kuzikabili. Mbaya zaidi kinachonyima Watawala na...
  17. Ogopa sana hii connection inayoendana sambamba kuleta machafuko na taharuki duniani. "UKOMNONISTI-MLENGWA WA KUSHOTO-ITIKADI KALI"

    Kila muoneaji na mkandamizaji hapa duniani ni rafiki mkubwa wa china na urusi na analindwa kimaslahi na wao. Kila machafuko yanayotokea dunia kwa asilimia kubwa yanafadhiria na syndicates za kutoka mashariki ya kati. Liberals sasa Wameona vitabu vya kishoga vimepigwa marafuku, sasa wameanza...
  18. Kwa utafiti usio rasmi nimegundua kuwa Watanzania ndio wajinga nambari 1 duniani

    Kipimo cha uwezo wa mtu kufikiri au kipimo cha kupima ujinga wa mtu kichwani ni kuangalia jinsi anavyoweza kuchambua jambo analoambiwa au kusikia. Chukua simu zako mbili moja ivike uhusika mwingine, huyo mtu awe maarufu fanya kama unachati naye huyo mtu chukua screen shot weka mitandaoni. Kwa...
  19. Saini petition hii Toka shirika la haki za binadamu duniani ili kuilazimisha Dunia na jumuia zote kumuadhibu SAMIA kwa mauaji ya watanganyika

    https://www.amnesty.org/en/petition/demand-accountability-for-the-repression-in-tanzania/ Taka Uwajibikaji Nchini Tanzania Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, mamlaka za Tanzania zimekuwa zikinyamazisha kwa makusudi sauti za upinzani kwa kulenga wakosoaji wa serikali, waandishi wa habari, asasi...
  20. Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kati ya vyama 10 vikubwa duniani - Fahari ya Tanzania na Afrika; Je, mnalijua hili?

    UTANGULIZI Je, unajua kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vya kisiasa vikubwa duniani? Wengi hawajui, lakini Chama cha Mapinduzi (CCM) chama tawala cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni miongoni mwa vyama vikubwa zaidi duniani kwa idadi ya wanachama. Hii ni heshima kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…