Duniani hakuna rafiki, bali uko peke yako

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,898
Reaction score
61,624
Wengi huwa wanajidanganya, kwa kusema fulani ni rafiki yangu wa katika shida na raha. Na wengine mpaka wanaitana shoga yangu n.k

Ila ukweli ni huu; wote ni wasaka fursa, ila kwa sasa mnapeana tu kampani za kupunguza machungu ya kuungua na jua la utosi.

Unafikiri huyo unayemuita rafiki yako wa kufa na kuzikana, akipewa milioni 50 ili akufitini wewe, atakataa?

Duniani hakuna rafiki, bali uko peke yako.​
 
Tatizo mnatafuta marafiki wema wakati nyinyi wenyewe hampo tayari kuwa marafiki wema.

Kiuhalisia, urafiki wa kweli upo ila ni nadra sana kuupata kama yalivyo mahusiano ya aina nyingine yoyote ile.
 
Wewe ukipewa milioni 50 hautomfitini huyo rafiki yako?
 
N
Wengi huwa wanajidanganya, kwa kusema fulani ni rafiki yangu wa katika shida na raha. Na wengine mpaka wanaitana shoga yangu n.k

Ila ukweli ni huu; wote ni wasaka fursa, ila kwa sasa mnapeana tu kampani za kupunguza machungu ya kuungua na jua la utosi.

Unafikiri huyo unayemuita rafiki yako wa kufa na kuzikana, akipewa milioni 50 ili akufitini wewe, atakataa?

Duniani hakuna rafiki, bali uko peke yako.​
a Kweli
 
Huo ni ukweli mtupu
 
Wewe ukipewa milioni 50 hautomfitini huyo rafiki yako?
Ningekuwa na tamaa hiyo kwa sasa ningekuwa mbali mno. Sijawahi compromise value yangu hata moja for money. Itakuwa kumsnitch mtu mkuu?..

Si kila mtu anaona pesa kama ndio end goal ya maisha. Sio character nzuri kuwa nayo kwa dunia ya sasa ila kila mtu ataishi kwa kile kinachompa fullfillment
 
Back
Top Bottom