duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zanzibar: Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani

    Ikiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya...
  2. Mtu asiyesikia asafiri Tanga-Mbeya kwa baiskeli kuadhimisha wiki ya viziwi duniani

    Kuboja Lugira, mtanzania mwenye ulemavu wa kusikia ameendesha baiskeli yake kwa kilomita 961 kutoka Tanga kwenda Mbeya akitumia siku tano kwenda kushiriki maadhimisho ya wiki ya viziwi duniani akiwapa hamasa wengine wenye ulemavu kwamba inawezekana. Lugira, baba wa mtoto mmoja amesema...
  3. Je wajua? 60% ya High-Speed train duniani zipo China

    BWANA WETU YESU KRISTO ASIFIWE. Ninaendelea kutoa taarifa za kiuchunguzi za kina kuhusu dunia yetu hii. Kwa muda wa wiki mbili nilikuwa katika utafiti kuhusu High-Speed Train. High-Speed Train ni nini? Hii ni train inayokimbia kwa mwendo wa kuanzia 200 km/h (124 mph). Train ikiwa na mwendo huu...
  4. Tarehe 30 mwezi wa 9 kila mwaka ni siku ya utafsiri duniani. Hivi hapa ni vitabu kumi vilivyotafsiriwa zaidi duniani na nchi kumi zinazotafsiri zaidi

    Siku hii ilianzishwa kumuenzi St. Jerome. Huyu alikuwa mtu wa mwanzo mwanzo kutafsiri biblia. Tarehe 30/9 ni siku yake ya kufa. Utafsiri umechangia sana katika kusambaza maarifa duniani. Hata vitabu maarufu na vilivyopendwa na wengi Tanzania kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Abunuwasi, Mashimo ya...
  5. Ukichaa wa akili ya mwanadamu tatizo kubwa Duniani

    Hakuna kipindi ambacho jamii yetu inahitaji elimu ya kujifahamu "consciousness education"kama sasa. Tunapita kwenye kipindi chenye upotofu mwingi juu ya "mtu ni nani " kuliko kipindi chochote kile. Taasisi za misingi ya jamii kama familia, shule na maeneo ya ibada leo kwa kiasi kikubwa...
  6. Tanzania ni moja ya nchi zisizo na furaha duniani

    Leo katika pita pita zangu mitandaoni, nikakutana na post ikionyesha kwamba Tanzania ni moja ya nchi zisizo na furaha duniani. Hivi hawa wachambuzi wanatazama nini hasa mpaka wanatoa hizi takwimu?
  7. JKCI kutumia Maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani kufanya vipimo vya moyo kwa Wananchi wa Dar

    Katika kuadhimisha siku ya Moyo Duniani tarehe 29/09/2023 yenye kauli mbiu "Tumia Moyo, Kulinda Moyo wako" wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa Moyo Tanzania (TCS) watatoa huduma ya upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa...
  8. U

    Tazama orodha ya Makanisa duniani na mwaka wa kuanzishwa kwake!

    Wadau hamjamboni nyote? Sabato njema Nimeweka Orodha ya Makanisa duniani kwa kuzingatia mwaka wa kuanzishwa na jina la muasisi wake. Nimevutiwa kuona kanisa langu limeasisiwa mwaka 1844 Karibuni tujadili na tupate elimu Kama Kuna makosa yeyote kwenye takwimu hizo basi tunaomba muwe huru...
  9. Asilimia 53.1 ya idadi ya Watu Duniani hawana malipo ya Hifadhi ya Jamii

    Haki ya Ulinzi wa Kijamii bado haiwezi kufikiwa na Watu wengi Duniani, hasa wale wanaohitaji zaidi wakiwemo Watoto, Wanawake na Wasichana, Wazee, Watu wenye Ulemavu na Masikini Takwimu za Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa zinasema Asilimia 53.1 ya idadi ya Watu Duniani hawana malipo...
  10. R

    Ruto kupeleka M-Pesa Kimataifa, Safaricom na Apple kushirikiana M-Pesa ipatikane duniani

    Safaricom inafanya mashirikiano na kampuni ya Apple kuiunganisha M-Pesa na PayPal ili kuongeza wigo wa shughuli za M-Pesa kimataifa. Ruto asema wana nia ya kuzitumia fursa zilizoletwa na kampuni za Microsoft, Intel, IDM, Oracle na Google vizuri ili kuboresha uwezo wao katika mambo mbalimbali...
  11. Utashangaa: Mahali pa watenda maovu ya kila namna duniani

    Mpango wa Mungu ni kila mwanadamu aifikilie toba na kuuacha uovu. Swali la kujiuliza ni sehemu gani waovu wanapaswa kukaa Ili kuweza kuifikia toba? Hakuna mahali pengine sahihi kwa waovu kama kwenye mahekalu kwa sababu maeneo mengine karibu yote hayabebi kusudi la kumfanya mtu aache uovu. Hivyo...
  12. Nini husababisha mvua za El Niño duniani?

    Nini husababisha mvua za El Niño duniani? Mvua za El Niño husababishwa na mabadiliko katika joto la bahari la Pasifiki Mashariki. Kawaida, upepo huvuma kutoka mashariki kwenda magharibi juu ya eneo hilo la bahari, na hii husababisha maji yenye joto kujilimbikiza upande wa magharibi wa Pasifiki...
  13. Hakuna serikali yoyote duniani iliyofanikiwa kuwadharau Raia wake huku ikifanya itakavyo milele ikafanikiwa

    Tambueni kwamba wananchi ndio wenye nchi, kwahiyo wanachokitaka ndio kinachopaswa kuwa kipaumbele, dharau, kiburi, jeuri havijawahi kuacha salama serikali yoyote ile. Na wala hakuna serikali ilfanikiwa kwa kutegemea vyombo vya dola na watekaji, haijawahi kuwepo, kudharau baadhi ya wastaafu na...
  14. Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani, Septemba 15, 2023

    JamiiForums na Haki Mawasiliano wameshirikiana kuandaa mjadala katika kuadhimisha Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani. Kauli Mbiu katika mjadala huu ni “Kuwezesha Kizazi Kijacho”, ambapo Mada husika ni “Demokrasia ya Kidijitali kama Kichocheo cha Utawala Bora” Mjadala unafanyika kwenye...
  15. "White widow" mjane mweupe anayeumiza vichwa vya majasusi duniani

    Siku chache kabla ya shambulio la Westgate, Elvis Weulo, mkazi wa Buruburu jijini Nairobi alipokea simu kutoka kwa Abdukadir Haret Mohammed, akimtaka amuuzie gari yake. Septemba 06, 2013 Elvis Weulo alikutana na Abdikadir Mohammed "Mohammed Hussein" akiwa na mshirika wake Hussein Abdi Ali...
  16. Hivi huko duniani hali ipo kama Tanzania

    Kuna hii Kero ambayo ipo maeneo Mengi nchini sijui wenzangu mliosafiri kwenye nchi za wenzetu kuna hali kama hiyo. Kero hii ni za wamachinga, bodaboda, madereva wa tax, wapiga debe na maajenti wa mabasi. Leo nitaongelea madereva wa boda boda, wapiga debe na machinga kwenye mastendi ya mabasi...
  17. D

    MEXICO UFO HEARING ( uwepo wa viumbe vingine duniani )

    they have been discussion of aliens in Mexico congress under oath and here are the details and the Anatomy of the aliens as well as the dna analysis . They are over 1000 years old Here is dr salce in Swahili sehemu yake ya anatomia ilizungumzwa kibinafsi na Dk. Jose Salce Benitez ambaye...
  18. Z

    Wakubwa duniani ni kama miungu watu: Boss yuko ndani ya Benz, halafu walinzi wanakimbia kwa miguu kuilinda!

    Huyo ni Rais wa Korea ya kaskazini akivuka mpaka kwenda kukutana na Rais wa Korea ya Kusini.
  19. Hizi hapa Bandari bora zaidi duniani

    Chapisho la hapa chini limeelezea bandari bora kabisa duniani zinazo fanya vizuri. Top 50 seaports 2022 Every year, a new ranking of top seaports is issued. Port throughput can be measured by cargo tonnage, container TEU, and the number of vessel calls categorized by commodities carried. TEU...
  20. Ukija Duniani kama ulivyokuta watu wamepambana kuleta mambo mazuri na wewe kabla haujafa tafuta kitu Cha kuoachaia Dunia Kama zawadi

    Waafrica we are too selfish just imagine unazaliwa Hadi unakufa bila kuacha Jambo lolote la maana hapa Duniani . MTU Kama Mama Teresa Hawa watu wamekufa ni Muda mrefu lakini majina Yao yanaishi kama wapo hai. Tupambane tuwaze Sana kitu Cha kuiachia hii Dunia Mtu Kama Robert Heriel Mtibeli na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…