Dkt. Tulia Ackson anavyopost mitandaoni vinakinzana na madaraka aliyonayo Duniani

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
891
4,154
Itoshe kusema Tulia Ackson anavyoandika na kuposti mitandaoni havina vinakinzana na madaraka aliyonayo. Nikiangalia page zake zina picha zake akiwa kwenye maeneo mbalimbali; lakini picha hizi kwa kiongozi wa kariba yake hazikupaswa kuishi kwenye page yake.

Anacopy au kupakua katuni na picha mitandaaoni na kuposti bila kujiridhisha na maudhui yake. Ninashauri abadili mtizamo, apost global strategic issue kwani wanaotazama account yake siyo watu Mbeya pekee bali ni watu wa Ulimwengu mzima.

Akaunti zake binafsi kwa sasa haziwezi kutenganishwa na majukumu yake. Unapokuwa international figure unapoteza uhuru binafsi kwa kiasi flani. International figure uwezi kuishi maisha yako unaishi maisha ya jamii. my sister pokea ushauri
 
Itoshe kusema Tulia Ackson anavyoandika na kuposti mitandaoni havina vinakinzana na madaraka aliyonayo. Nikiangalia page zake zina picha zake akiwa kwenye maeneo mbalimbali; lakini picha hizi kwa kiongozi wa kariba yake hazikupaswa kuishi kwenye page yake.

Anacopy au kupakua katuni na picha miatandaaoni na kuposti bila kujiridhisha na maudhui yake. Ninashauri abadili mtizamo, apost global strategic issue kwani wanaotazama account yake siyo watu Mbeya pekee bali ni watu wa Ulimwengu mzima.

Akaunti zake binafsi kwa sasa haziwezi kutenganishwa na majukumu yake. Unapokuwa international figure unapoteza uhuru binafsi kwa kiasi flani. International figure uwezi kuishi maisha yako unaishi maisha ya jamii.......my sister pokea ushauri

Magufuli alitukosea sana
 
Nae ni bin adamu raha jipe mwenyewe je ameonyesha kibox manyoya hadharani?
 
Ngoja mdogo ake betina wa damu kabisa apite hapa Lucas mwashambwa
Nimeshapita muda mrefu sana hapa nikaona hana hoja yenye mashiko na nilikuwa nataka kuja kumshushia NONDO kali hapa ,lakini nikaona atazimia na kukimbizwa hospitalini.kwa hiyo nimeona nimuhurumie tu.

Halafu uwe na adabu kwa Mheshimiwa Dada wa Taifa ,spika wa Bunge ,Rais wa IPU,fahari ya nyanda za juu kusini na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini. Huyo ndio nembo yetu.
 
Itoshe kusema Tulia Ackson anavyoandika na kuposti mitandaoni havina vinakinzana na madaraka aliyonayo. Nikiangalia page zake zina picha zake akiwa kwenye maeneo mbalimbali; lakini picha hizi kwa kiongozi wa kariba yake hazikupaswa kuishi kwenye page yake.

Anacopy au kupakua katuni na picha miatandaaoni na kuposti bila kujiridhisha na maudhui yake. Ninashauri abadili mtizamo, apost global strategic issue kwani wanaotazama account yake siyo watu Mbeya pekee bali ni watu wa Ulimwengu mzima.

Akaunti zake binafsi kwa sasa haziwezi kutenganishwa na majukumu yake. Unapokuwa international figure unapoteza uhuru binafsi kwa kiasi flani. International figure uwezi kuishi maisha yako unaishi maisha ya jamii.......my sister pokea ushauri
Hivi tulia ni dk ?? Hii nchi ona bahati mbaya sana?
 
Kumbe sio wewe tu, huwa nashangaa sana,CCM inaoenda watu aina yake, nazani walijifunza sana kwa Samweli Sita na Anna Makinda.
 
Itoshe kusema Tulia Ackson anavyoandika na kuposti mitandaoni havina vinakinzana na madaraka aliyonayo. Nikiangalia page zake zina picha zake akiwa kwenye maeneo mbalimbali; lakini picha hizi kwa kiongozi wa kariba yake hazikupaswa kuishi kwenye page yake.

Anacopy au kupakua katuni na picha miatandaaoni na kuposti bila kujiridhisha na maudhui yake. Ninashauri abadili mtizamo, apost global strategic issue kwani wanaotazama account yake siyo watu Mbeya pekee bali ni watu wa Ulimwengu mzima.

Akaunti zake binafsi kwa sasa haziwezi kutenganishwa na majukumu yake. Unapokuwa international figure unapoteza uhuru binafsi kwa kiasi flani. International figure uwezi kuishi maisha yako unaishi maisha ya jamii.......my sister pokea ushauri
Kwani ana majukumu gani kimataifa? Zaidi ya kuwa Spika wa Bunge la JMT hiyo nyingine ya IPU siyo majukumu. IPU ni club tu ya maspika wa duniani, haina uwezo wa ku influence chochote kwenye nchi yeyote
 
Nimeshapita muda mrefu sana hapa nikaona hana hoja yenye mashiko na nilikuwa nataka kuja kumshushia NONDO kali hapa ,lakini nikaona atazimia na kukimbizwa hospitalini.kwa hiyo nimeona nimuhurumie tu.

Halafu uwe na adabu kwa Mheshimiwa Dada wa Taifa ,spika wa Bunge ,Rais wa IPU,fahari ya nyanda za juu kusini na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini. Huyo ndio nembo yetu.
Mkuu mwashambwa, hivi ccm hawana cheo cha mwandishi wao?
Ningekua ninamaamuzi kwenye ccm ningekuteua uwe mwandishi wa ccm taifa. Maana naona unafaa sana kua mwandisi wa chama. Ni mwandishi mzuri sana hasa kwenye maneno yanayohusiana na wanachama .
 
Itoshe kusema Tulia Ackson anavyoandika na kuposti mitandaoni havina vinakinzana na madaraka aliyonayo. Nikiangalia page zake zina picha zake akiwa kwenye maeneo mbalimbali; lakini picha hizi kwa kiongozi wa kariba yake hazikupaswa kuishi kwenye page yake.

Anacopy au kupakua katuni na picha miatandaaoni na kuposti bila kujiridhisha na maudhui yake. Ninashauri abadili mtizamo, apost global strategic issue kwani wanaotazama account yake siyo watu Mbeya pekee bali ni watu wa Ulimwengu mzima.

Akaunti zake binafsi kwa sasa haziwezi kutenganishwa na majukumu yake. Unapokuwa international figure unapoteza uhuru binafsi kwa kiasi flani. International figure uwezi kuishi maisha yako unaishi maisha ya jamii.......my sister pokea ushauri
Bila kutupiamo vinavopostiwa hata hatumieleweni nyoote🤔
 
weka picha picha tuone dada TULI anavyofanya, inawezekana enzi za ujana wake kuna hatua aliruka...anazitimiza ukubwani...under ceteris paribas :D
 
Back
Top Bottom