dunia

  1. TANZIA Msanii Albino Fulani afariki dunia nchini Marekani

    Msanii wa Muziki na Mwanaharakati wa haki za Watu wenye Ulemavu wa Ngozi nchini, Babu Sikare maarufu kama Albino Fulani amefariki dunia. Habari hizo za msiba zimetolewa katika ukurasa wa Twitter wa MwanaFa. Pia soma > Mkasi - SO2E09 With Babu Sikare (Albino Fulani) -- Jina lake ni Babu Sikare...
  2. Mwisho wa Dunia ndio mwisho wa Jua litakapofikia tamati. Je, kuna mtu anaweza fika miaka bilioni 5,000,000,000 nusu umri wa Jua uliobakia?

    Sayansi na dini zinapishana kidogo kwenye maono na mitazamo. Siwezi kukataa dini zinavosema wala sayansi inavosema,vitu ambavyo vinaweza kunipa ukweli ni huu msemo kuwa "chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho". Tuje kisayansi maana hapa ndio upande wangu: Fahamu katika nyota unazoziona angani...
  3. T

    Dunia haisimami na haitasimama kamwe, adui asiyethibitishwa kwa Lissu hayupo, tusongeni mbele

    Kuendelea kuwa na hasira juu ya wasiokuwepo ni ujinga na kupoteza muda! Muda hausubiri bali tukitaka muda utusubiri ni kufanya tulimbikize mambo mengi yatupasayo kufanya sasa! Dunia iko mbaali sana kuliko mahali sisi tulipo! Tuna matatizo ya kiuchumi na umasikini wa watu uliokithiri Tunakaa...
  4. Kama Mataifa tungekubali kuwa na barabara kuu ya dunia

    Dhana ya Barabara Kuu ya Trans-Global ilipendekezwa na Frank Didik mnamo 2006 kama mpango wa kuunganisha mabara yote ya ulimwengu kupitia safu ya madaraja na vichuguu. Hii ilijengwa zaidi juu ya wazo la Reli ya Cosmopolitan iliyopendekezwa mnamo 1890 na William Gilpin. Iwe reli au mtandao wa...
  5. TANZIA Msanii Wa Muziki Wa Kizazi Kipya Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) Afariki Dunia

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) amefariki dunia. Msiba wa H- Mbizo umetokea katika hospital ya mkoa wa Morogoro alipolazwa kwa wiki mbili kufuatia matatizo ya mgongo. Mdau mkubwa wa sanaa...
  6. T

    Dunia tambala bovu

    Ama kweli dunia tambala bovu na maisha hayana formula. Namshukuru Mungu kwa maana hata ktk miiba huwa kuna maua.Matumaini yapo hata ktk shida,hata ktk changamoto lipo jamb zur utakalowez kujfunz ama kupata.Jifunze kumtazama na kumwona Yesu katikati ya changamoto. Maisha hay ni kuw makin kwan...
  7. Nimebadilika sitaki shida na mtu, namrudia Muumba wangu. Maisha ya dunia na drama zake yamenishinda

    Sitaki shida na mtu uongo, uongo na kuwanyasasa na kuwasema eti kisa Nina vijisenti naachana nao kuanzia leo naona maisha yangu ya hapa duniani yanaelekea ukingoni so hii ni time ya kumrudia muumba wangu wa mbingu wa na ardhi kwasasa nitakuwa mtu wa kuignore vitu na watu wa hovyo. Maisha ya...
  8. Bangladesh yapiga pini meli za Urusi; Urusi inaendelea kutengwa na dunia

    Urusi walijaribu kuingiza meli ya mizigo Bangladeshi ikazuiwa, kwa kweli hadi huruma, Putin kiburi chake kinaiponza nchi. Tatizo Warusi watu wa ujamaa, wamezoea kupelekeshwa kama kondoo, hawana namna ya kumkatalia...atawatesa sana. ============= Jan. 22 -- Foreign Minister Dr AK Abdul Momen...
  9. TANZIA Hermann Odemba afariki dunia

    Sijui wangapi walikuwa wanamfahamu Odemba, kifo kimetokea siku nne zilizopita. Alikuwa anasafiri ndani ya basi kwenda Arusha, alipofika Mombo akaugua, akapata low blood pressure, akapelekwa hospitali Mombo, hali yake ikazidi kuwa mbaya and he passed away. Mwili wake ukasafirishwa na ambulance...
  10. Umeuona mwezi katika siku ya leo baada ya giza kuingia?

    Basi utakuwa unautazama mwezi wenye muonekano unaofahamika kama Waxing rescent ambao ni muonekano unatokea mara baada ya mwezi kuandama na kuanza safari yake mpya katika zunguka Dunia yetu. Eneo la mwezi unaloweza kuliona Duniani kwetu ndilo eneo linalopokea mwangaza wa jua au tuseme ndio eneo...
  11. Omari Mwariko Amefariki Dunia

    TAAZIA: OMARI MWARIKO AMEFARIKI Nimepokea taarifa ya Omari Mwariko. Si wengi watakuwa wanamfahamu katika miaka hii lakini Mwariko alikuwa bingwa wa kuchonga vinyago na katika uhai wake katika tasnia hii ya usanii aliitangaza Tanzania Ulaya, Marekani na kwengine kwingi kwa kazi zake. Picha hii...
  12. K

    Baada ya Covid mfumuko wa bei ni janga la Dunia tusilaumu serikali pekee

    Dunia ya sasa ni kutegemeana kuanzia bei ya mafuta, mbolea, vitu kutoka china, magari, teknologia na vipuli. Hivyo tusishangae bei ya vitu Tanzania kuwa juu. Bank kuu pamoja na wizara ya fedha wajitahidi lakini tusiweke lawama zote kwa serikali kwenye hili kwa sasa. Hata tungekuwa na malaika...
  13. TANZIA Makamu wa Rais wa Gambia afariki dunia nchini India

    Makamu wa Rais wa Gambia, Badara Joof, amefariki dunia. Alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, kulingana na tweet ya Rais wa Gambia, Adama Barrow. “Ndugu zangu wa #Gambia, ni kwa moyo mzito, ninatangaza kufariki kwa #Makamu wangu wa Rais, Mheshimiwa Badara Alieu Joof. Tukio hilo la...
  14. Muonekano wa dunia yetu katika hali ya Crescent Earth

    Muonekano wa dunia yetu ikiwa katika hali ya Crescent Earth ni sawa na ile hali inayotokeaga kwenye mwezi wetu baada ya sehemu fulani ya mwezi wetu kukosa mwanga wa jua. Katika dunia yetu huwa kuna pande mbili ambapo huwa na utofauti moja huwa na mwanga na nyengine hukosa mwanga ambapo upande...
  15. Balozi wa Uganda nchini Kenya afariki dunia

    Balozi wa Uganda nchini Kenya Dr Hassan Waswa Ggaliwango amefariki dunia. Mwanafamilia wa karibu anasema kwamba Ggaliwango aliaga dunia katika Hospitali moja jijini Nairobi ambako alikimbizwa Alhamisi wiki iliyopita hali yake ilipozidi kuwa mbaya. Ggaliwango, ambaye amekuwa akipambana na...
  16. Miaka bilioni 3.8 iliyopita sayari Venus na Mars zilikuwa na kama vya dunia

    Huwezi kukubali ila kubali sababu sayansi ndio imekufikisha hapa unatumia JF. Solar system tunayoisoma leo ilikuwa tofauti miaka bilioni 3.8 kabla ya dunia tuliyopo. DUNIA ilijikuta baada ya mabadiliko ya kianga kukumbwa na meteor zilizobadilisha muonekano wa solar system. Kiufupi tuite kwa...
  17. Dunia ya sasa ukiwa na watoto wengi kuliko mali ulizonazo wewe ni Maskini

    Dunia ya leo ni tofauti sana na ile dunia ya miaka 1000 iliyopita dunia ya leo kadiri unavyoongeza watoto unagundua ndivyo unavyojiongezea mzigo wa malezi, matunzo na nguvu ya ulinzi ya watoto wako kiroho na kimwili, Dunia ya leo upebari ndio unaoitawala na kuiongoza dunia kuliko ule mfumo wa...
  18. KYETUEPLER: Sayari pacha na Dunia yetu

    Umbali wa miaka 100 ya mwanga kutoka duniani kwetu tunakutana na eneo lengine la makazi yanayofanana na kwetu namaanisha duniani kwetu sayari lenye muonekano na tabia zenye mfanano na dunia yetu Baada ya chunguzi mbalimbali za muda mrefu hatimaye shirika la anga za mbali nasa limefanikiwa...
  19. S

    Wazee wa marangirangi wapo bize dunia itumbukie shimoni

    Huyu ni binti aliyejisitiri kwa kuvaa kiheshima akimuogopa Mwenyezi Mungu. Kati ya begi za shule alizochagua au chaguliwa hili lenye rangi zao ndio kaona linafaa pasipo Yeye kujua kipi anapromote zaidi ya mbunifu wa begi hilo akiwa anajua hajaweka kwa makusudi rangi zao. Pana siku nilimuona...
  20. Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

    Askari Polisi jijini Arusha amefariki dunia katika mazingira ya utata katika nyumba ya kulala wageni ya Mrina shine iliyopo makao mapya jijini hapa. Taarifa za awali kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo ambaye aliomba jina Lake lihifadhiwe zimedai kuwa, Saiba aliingia katika nyumba hiyo majira ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…