Wanajamvi Salam.
Leo nataka kujua zaid kuhusu mada fikirishi ya umri wa dunia. Kupitia hadithi mbalimbali za historia na vitabu vya dini, zinatuambia Kwamba Dunia ilianza takriban miaka million kadhaa huko nyuma. Pia watu walioishi miaka hiyo ya nyuma sana inasimuliwa na kuaminika kwamba walikua...