TANZIA Lazaro Edward Moringe Sokoine Amefariki Dunia

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Familia Ya Marehemu Edward Moringe Sokoine, Inasikitika Kutangaza Msiba wa Lazaro Edward Sokoine Kilichotokea Leo Alfajiri 28/03/2020 Jijini Dar Es Salaam.

Mwili Wa Marehemu Unatarajiwa Kuwasafirishwa kwenda Arusha Monduli Juu Siku Ya Jumatatu, Na Mazishi Yatafanyika Siku Ya Jumanne Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina La Bwana Lihimidiwe

Namelock Edward Sokoine - MNEC
Kny; Familia
 
R.i.p sokoine, peleka malalamiko yetu mbele ya wazee wetu, Africa inahitaji miaka mengine elfu moja kuwa bara huru lenye mamlaka zilizo huru zitazoleta mabadiliko yatakoyomfunaisha mwafrika mbele ya mtu toka bara tofauti.
 
Hakuna Mtu Mwenye tabu huku ulimwenguni kama MuAfrika pamoja na tabu zote anazopitia maishani akifa pia hapumziki anatakiwa Tena awe mzimu wa kutatua matatizo ya nchi/ ukoo wake.
Kawaambie waasisi wa nchi kuwa huku Tz siku si nyingi Ikulu inaamishiwa Chattle.
R.I.P Lazaro.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Familia Ya Marehemu Edward Moringe Sokoine, Inasikitika Kutangaza Msiba wa Lazaro Edward Sokoine Kilichotokea Leo Alfajiri 28/03/2020 Jijini Dar Es Salaam.

Mwili Wa Marehemu Unatarajiwa Kuwasafirishwa kwenda Arusha Monduli Juu Siku Ya Jumatatu, Na Mazishi Yatafanyika Siku Ya Jumanne Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina La Bwana Lihimidiwe

Namelock Edward Sokoine - MNEC
Kny; Familia
Ana uhusiano gani na Mh. E.Sokoine?

macson
 
Ndiyo nani, ana wadhifa gani..?

Sent using Jamii Forums mobile app
...Naona Mkuu ametupa tu taarifa isiyo kamilika.
Sio kila MTU atafahamu nafasi ya marehemu kwenye jamii kwa kuona tu majina yanayofanana na Mzee wetu Marhum Edward Moringe Sokoine....
Ni Mwanaye, Ni mdogo wake, ni kaka yake no nani wake Mheshimiwa Edward Moringe Sokoine??
Sio lazima kwamba ukitaja tu Nina basis kila MTU atafahamu nafasi yake Marehemu kwenye huo Ukoo Mahuhuri was Mzee Wetu...,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom