Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,981
- 38,285
Tunawatakieni heri njema ya siku ya wanawake duniani.
Ninakiri kabisa pamoja nakuwa kila kiumbe kilichopo duniani kipo kwa idhini ya Mwenyezi Mungu ila mimi kama sio mwanamke nisingekuwepo hapa kwa jinsi nilivyo.
mama yangu mzazi alifariki nikiwa na umri wa mwezi mmoj bibi yangu ndie alienilea mpaka nikawa hivi nilivyo.
Dunia bila mama isingekuwa hivi ilivyo,
katika ardhi ya dunia hakuna kisichokuwa na mama.
Hata kwenye dini kuna uhusika wa mama, kwa mfano sisi wakristo au wanakanisa tunaitwa mama ambao tunamzalia Mungu waja wake na kuwalea mpaka wakasimama wenyewe mbele za Mngu.
Kwa hiyo mama ambae pia ni mwanamke bila yeye naamini kabisa kusingekuwa na maisha, tena sisi wanaume bila mwanamke hatuna uwezo wa kusimama wenyewe.
Nasema dunia inawadanganya na kuwapa msichostahili.
kwa mfano leo dunia iseme wanaume wabebe mimba, itakuwa sio stahili yetu kwani hutuja umbiwa mazingira ya kubeba mimba.
Hivyo hivyo usawa unaotakwa na dunia juu ya wana wake ni kuwapa wasichopaswa kupewa na hawataweza kukibeba.
Tumeona wanawake viongozi wa kubwa wa serikali,dola, ufalme,dini, jeshi nk nk. lakini ni dunia ndio imemuweka hivyo lakini hakupaswa.
Mwanamke yuko na nguvu sana sana, lakini hakuumbiwa kuwa sawa na mwanaume au juu ya mwanaume.
Hili jambo dunia inalotaka kuwapa litawasumbueni mno! tena litawasumbua.
Ni vyema tukarejea nyuma kuona jinsi gani ilimpasa wanamke kuishi na mwanaume katika jamii, pale Mwanaume alipokosea kumfanya mwanamke mtumwa ajirekebishe.
Na mwanamke ashike nafasi yake na mwanaume ashike nafasi yake.
Tutakiachia kizazi kijacho wakati mwema kuliko tunavyodhani.
Mbarikwe mama zetu.