Dunia ina Mambo: Nilivyozama mapenzini na dalali wa wanawake wanaojiuza

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,011
Amakweli Dunia ina mambo na haiishi vituko. Ni baada ya kupata ajira yangu ya mwanzo mwaka 2007, katika visiwa vya ukelewe huko. Nikiwa ktk ofisi yangu ya kazi nilipata mteja mmoja mwanamke mwenye umri kati ya 24 na 26 alikuwa mrembo kweli. Mnene kiasi na mwenye chura kiasi. Alikuwa anajipenda. Alizaa na Mzungu akiwa na miaka 18. Wakati huo alikuwa na mtoto wa kike wa miaka 6 hivi.

Basi nikiwa katika maeneo yangu akawa anapenda kupita kunisalimia. Nami nilikuwa mshamba kweli kweli, domo zege la nguvu na nilikuwa siamini katika wanawake wanaoonekana kama mashangingi. So sikuwa na hisia kabisa mwanzoni. Maisha yaliendelea akaniomba namba nikajua ni ktk kufahamiana tu na kuhusu biashara za ofisi.

Siku moja akanikuta ofsini. Ofisi hizi zina mambo akajikuna akidai anawashwa kwenye paja. Alipandisha nguo yale hadi usawa wa chupi akinionesha anapowashwa nimwangalie ni kitu gani. Nilipigwa na butwaa nikahisi umeme unasafiri kwa kasi kwenye viungo vyangu. Nilikuwa mvumilivu, sikuwa na papara. Nikamwangalia anaposema anawashwa. Aisee! Hilo tetemeko lake la msambwanda na shanga za silva ilikuwa balaaa: siku hiyo ikaisha.

Alipenda sana kunichatisha kwa kuwa nilikuwa katk probation phase ya ajira yangu sikuwa na mzaha nilikuwa nachapa kazi li kweli kweli ; so mambo ya kuchati ofsini kwangu mwiko hadi leo.

Siku moja akanimbia hivi wewe ni mwanaume gani?? Unapendwa na mimi una ringa?? Akanitolea uvivu akaniambia tangu amekua hajawahi kuona wanaume wanaringa na kujiona kama mimi( NB: mimi sio handsome ni mwanaume wa kawaida sana). Nilimuuliza kwa nini usema hivyo, akajibu kuwa yeye anapendwa sana na kila mwanaume wenye pesa, mapedeshee, wakuu wa nchi na vitengo na anauwezo wa kupata mwanaume yeyote kutokana na uzuri wake . Anashangaa sioneshi mwitikio kwake: au wewe Haisimami? Aliniuliza kwa ukali wa utani.

Sina maneno mengi! Nilimwambia nakupenda nashindwa kukwambia. Hatimae tukaingia mapenzini bila kujua. Si mara moja nilipigwa BJs za kufa mtu iwe ofsini au mahala popote penye faragha. Nilimuoneaha kuwa naogopa maradhi ya Ukimwi na homa ya ini so siko tayari kugegeda kirahisi hivyo. Siku moja akaniita kuwa anaumwa nimpeleke hosp na nikafanya hivyo kumbe haumwi anataka apime maradhi yote ya kuambukiza nione mwenyewe ushahidi. Hakunikazimisha mimi kupima na sikupima. Dr wa hospitali alimwanidkia vipimo HIV na homa ya inni na majibu yakawa mazuri. Hofu yangu ikashuka.

Akaniuliza: kuna jingine unataka?? Nikamwambia hapana nimeridhika na hatua uliyochukua. Gemu zilianza kuanzia hapo mwanzo mwisho.

Kilichonishangaza ni siku niko naye mahali tunapunga upepo kwenye Beach Moja( sitaitaja anaweza kunijua maana huenda yupo humu MMU). Alipigiwa simu na mwanaume ambaye lafudhi yake ilikuwa kama Mzungu. Wakiwa wanapanga dili akasema nina wawili; wote ni wazuri na wako poa mtafurahi. Baada ya kukata simu ya yule Mzungu nilimuuliza vipi mna iaaue gani?? Akasema hawa ni wazungu wa South aAfrika wanakuja kula bata wanataka wanawake wa kugegeda. nawambia wanilipe Dola 300 kila mmoja nina wasichana wawili wako tayari.

Hapo bilipigwa na butwaa jingine kama radi nikakosa kuuliza swali la pili. Nikajua kumbe iam dealing with the Whore in town.

Ktk maisha yangu na bidada huyo hakuwa hunidharau wala kufanya vitendo vya ajabu ajabu pengine alikuwa akinificha ni mtu anapiga pombe, ana vuta sigara na hadi Bangi pia.

Nilidumu nae kwa muda wa miaaka 3. Kwa mahaba tele. Dada dalali wa wanawake wanaojiuza kumbe na yeye ana hisia za mapenzi na anaweza kumhando mpenzi wake kwa heshima kabisa na adabu tele. Kweli kila mtu ana hisia. Mapenzi huongoza dunia.

Asalam aleykum!
 
Akaniuliza: kuna jingine unataka?? Nikamwambia hapana nimeridhika na hatua uliyochukua. Gemu zilianza kuanzia hapo mwanzo mwisho.
Hapa ndio ulipokosea jomba dah!!! Asee ulifeli sana mkuu. Hujui alitaka kukutunuku nini asee.
 
Mkuu hiyo ni kazi tu, utu wa mtu haubadiliki kutokana na kazi afanyayo.
Ungemsapoti leo hii mngekuwa na escort company kama Tinder au Badoo.

Muunganishe ndugu yetu Secretary Pompeo maana ana uhitaji na wanawake wote wa JF hawajibu hata meseji zake.
Hahhaaaa umetisha kaka. Kweli aisee hata Bar attendant( Bar maid) wana malengo na mahusiano mazuri tu sisi tunawachukulia poa. Ile ni kazi tu ya kukuza uchumi Tz
 
Hiyo ni kazi kama kazi zingine na wao pia wana moyo wa kupenda kama wewe ila hukumalizia story kwanini mliachana?
Nilihama visiwani huko nikaenda mkoa wa tatu mbele. Tukiendelea na mawasiliano hadi mwaka juzi. Hatukugombana.
 
Kwahiyo mkuu ukajilia kimasihara
Amakweli Dunia ina mambo na haiishi vituko. Ni baada ya kupata ajira yangu ya mwanzo mwaka 2007, katika visiwa vya ukelewe huko. Nikiwa ktk ofisi yangu ya kazi nilipata mteja mmoja mwanamke mwenye umri kati ya 24 na 26 alikuwa mrembo kweli. Mnene kiasi na mwenye chura kiasi. Alikuwa anajipenda. Alizaa na Mzungu akiwa na miaka 18. Wakati huo alikuwa na mtoto wa kike wa miaka 6 hivi.

Basi nikiwa katika maeneo yangu akawa anapenda kupita kunisalimia. Nami nilikuwa mshamba kweli kweli, domo zege la nguvu na nilikuwa siamini katika wanawake wanaoonekana kama mashangingi. So sikuwa na hisia kabisa mwanzoni. Maisha yaliendelea akaniomba namba nikajua ni ktk kufahamiana tu na kuhusu biashara za ofisi.

Siku moja akanikuta ofsini. Ofisi hizi zina mambo akajikuna akidai anawashwa kwenye paja. Alipandisha nguo yale hadi usawa wa chupi akinionesha anapowashwa nimwangalie ni kitu gani. Nilipigwa na butwaa nikahisi umeme unasafiri kwa kasi kwenye viungo vyangu. Nilikuwa mvumilivu, sikuwa na papara. Nikamwangalia anaposema anawashwa. Aisee! Hilo tetemeko lake la msambwanda na shanga za silva ilikuwa balaaa: siku hiyo ikaisha.

Alipenda sana kunichatisha kwa kuwa nilikuwa katk probation phase ya ajira yangu sikuwa na mzaha nilikuwa nachapa kazi li kweli kweli ; so mambo ya kuchati ofsini kwangu mwiko hadi leo.

Siku moja akanimbia hivi wewe ni mwanaume gani?? Unapendwa na mimi una ringa?? Akanitolea uvivu akaniambia tangu amekua hajawahi kuona wanaume wanaringa na kujiona kama mimi( NB: mimi sio handsome ni mwanaume wa kawaida sana). Nilimuuliza kwa nini usema hivyo, akajibu kuwa yeye anapendwa sana na kila mwanaume wenye pesa, mapedeshee, wakuu wa nchi na vitengo na anauwezo wa kupata mwanaume yeyote kutokana na uzuri wake . Anashangaa sioneshi mwitikio kwake: au wewe Haisimami? Aliniuliza kwa ukali wa utani.

Sina maneno mengi! Nilimwambia nakupenda nashindwa kukwambia. Hatimae tukaingia mapenzini bila kujua. Si mara moja nilipigwa BJs za kufa mtu iwe ofsini au mahala popote penye faragha. Nilimuoneaha kuwa naogopa maradhi ya Ukimwi na homa ya ini so siko tayari kugegeda kirahisi hivyo. Siku moja akaniita kuwa anaumwa nimpeleke hosp na nikafanya hivyo kumbe haumwi anataka apime maradhi yote ya kuambukiza nione mwenyewe ushahidi. Hakunikazimisha mimi kupima na sikupima. Dr wa hospitali alimwanidkia vipimo HIV na homa ya inni na majibu yakawa mazuri. Hofu yangu ikashuka.

Akaniuliza: kuna jingine unataka?? Nikamwambia hapana nimeridhika na hatua uliyochukua. Gemu zilianza kuanzia hapo mwanzo mwisho.

Kilichonishangaza ni siku niko naye mahali tunapunga upepo kwenye Beach Moja( sitaitaja anaweza kunijua maana huenda yupo humu MMU). Alipigiwa simu na mwanaume ambaye lafudhi yake ilikuwa kama Mzungu. Wakiwa wanapanga dili akasema nina wawili; wote ni wazuri na wako poa mtafurahi. Baada ya kukata simu ya yule Mzungu nilimuuliza vipi mna iaaue gani?? Akasema hawa ni wazungu wa South afrika wanakuja kula bata wanataka wanawake wa kut.....mba. nawambia wanilipe Dola 300 kila mmoja nina wasichana wawili wako tayari.

Hapo bilipigwa na butwaa jingine kama radi nikakosa kuuliza swali la pili. Nikajua kumbe iam dealing with the Whore in town.

Ktk maisha yangu na bidada huyo hakuwa hunidharau wala kufanya vitendo vya ajabu ajabu pengine alikuwa akinificha ni mtu anapiga pombe, ana vuta sigara na hadi Bangi pia.

Nilidumu nae kwa muda wa miaaka 3. Kwa mahaba tele. Dada dalali wa wanawake wanaojiuza kumbe na yeye ana hisia za mapenzi na anaweza kumhando mpenzi wake kwa heshima kabisa na adabu tele. Kweli kila mtu ana hisia. Mapenzi huongoza dunia.

Asalam aleykum!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom