Onyo: Wanasiasa kuwa makini, ukidharauliwa hapa JF tambua kwamba umedharauliwa mitaani na dunia nzima. JF ina nguvu sana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,167
217,110
Hili ni onyo ninalolielekeza kwa wanasiasa wenzangu , na hasa wale wenye wito na maono ya kugombea ubunge , Udiwani na Urais kama mimi .

Andikeni ukweli na haki bila kutumikishwa kwa gharama ndogo au kubwa ili kujijengea heshima mbele ya jamii , Kwa sasa jf ndio pahala panapotumika na wananchi karibu wote kabisa kuchuja pumba na mchele, ndio mahali pekee pa kuaminika pa kuchota habari zote zinazohusu viongozi na wagombea watarajiwa, hizi ni taarifa ambazo tumezikusanya baada ya kufanya ziara ya kitafiti kwenye vijiji zaidi ya 10 vya wilaya ya Kyela ikiwemo, Kilasilo, Njugilo, Lubele, Isaki, Kabanga, Makware, Ngonga, Kajunjumele, Katumba Songwe, Kabanga, Kapwili na Itunge.

Kuweni makini sana, ukiandika pumba ili kumfurahisha anayekulipa wananchi watakupuuza vibaya sana.
 
niko Katumba hapa, mbona sijakuona, ukae ukijua Watanzania asilimia 16% pekee, ndio wenye access na internet. asilimia 84% hawajui hata internet ni mdudu gani, hapa jf haiwafikii hata watu laki tatu.
 
niko Katumba hapa, mbona sijakuona, ukae ukijua Watanzania asilimia 16% pekee, ndio wenye access na internet. asilimia 84% hawajui hata internet ni mdudu gani, hapa jf haiwafikii hata watu laki tatu.
Endelea na mawazo mgando
 
niko Katumba hapa, mbona sijakuona, ukae ukijua Watanzania asilimia 16% pekee, ndio wenye access na internet. asilimia 84% hawajui hata internet ni mdudu gani, hapa jf haiwafikii hata watu laki tatu.

Kwa hiyo unajivunia wingi wa watu wasio na taarifa za kutosha? So mkiambiwa mtaji wa ccm ni wajinga mbona mnalilia?
 
Tulionya gharama ya kubadili gia angani ni kubwa.
IMG_20200305_082705.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...yaani vijiji 10 ...tena vya wilaya moja...ndiyo uite utafiti wa Watanzania..hizi ndiyo tafiti za wanasiasa bana... Dah...

Sent using Beretta ARX 160
 
Back
Top Bottom