Hakika tumerudi nyuma miaka zaidi ya 50 na katika ulimwengu wa leo, sijui dunia inatutazama vipi!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Kila mahali ni hofu!!

Someni hii tweet hapa chini ya DarmpyaBlog:

"MASAHIHISHO
Kufuatia taarifa ya mgombea ubunge jimbo la Bunda Mjini Esther Bulaya, iliyoripotiwa na vyombo vya habari ikiwemo DARMPYA ikionesha jimbo hilo hakuna diwani wa CHADEMA aliyewekewa pingamizi, tunapenda kusahihisha kwani Bulaya si msimamizi wa uchaguzi hadi atoe taarifa"

1598809226025.png
 
Jiwe akilazimisha miaka mingine mitano Mashekhe wa Uamsho watahamishishiwa magereza ya Bara ili kila Gereza liwe linawalawiti kwa mkupuo
Hili Taifa halijawahi kupata kiongozi mwenye roho mbaya kama huyu
 
Nyinyi wapinzani ni mashetani kabisa, mawazo gani haya.Kila muda mnawaza vinyesi, halafu mpewe ikulu nyie ngedere.poor kabisa
 
Kila mahali ni hofu!!

Someni hii tweet hapa chini ya DarmpyaBlog:

"MASAHIHISHO
Kufuatia taarifa ya mgombea ubunge jimbo la Bunda Mjini Esther Bulaya, iliyoripotiwa na vyombo vya habari ikiwemo DARMPYA ikionesha jimbo hilo hakuna diwani wa CHADEMA aliyewekewa pingamizi, tunapenda kusahihisha kwani Bulaya si msimamizi wa uchaguzi hadi atoe taarifa"

View attachment 1553512
Hofu unayo mwenyewe kwa kuwa ni mharifu
Wengine hata sasa tupo juu ya sturi ndefu tunapata john Walker na hatuwazi kusumbuliwa. Mida ikifika tunaenda nyumbani
 
Jiwe akilazimisha miaka mingine mitano Mashekhe wa Uamsho watahamishishiwa magereza ya Bara ili kila Gereza liwe linawalawiti kwa mkupuo
Hili Taifa halijawahi kupata kiongozi mwenye roho mbaya kama huyu
Wenye roho mbaya ni chadema waliopata ruzuku milioni 350 kila mwezi kwa miaka 5 lakini hawajajenga hata ofisi moja. Hata kupiga rangi ofisi za makao makuu ya chama wameshindwa. Sasa wanatembeza bakuri.
 
Hao fisiemu saizi wanamkataa bosi wao baada ya ilani kuzinduliwa wanatafuta pa kujificha maana Ni ilani inayotia aibu! Ilani haitaji mtu inataja madaraja tu mwishowe hii nchi itabaki makumbusho
 
Back
Top Bottom