duka

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Muhuni akopa milioni 50 CRDB awaachia pumba likidhaniwa ni duka la nafaka

    Muhuni akili mingi inadaiwa kama inavyoonekana kwenye video kuwa amekopa milioni 50 CRDB kwa kuwa alijua lazima wakague biashara yake, aliweka magunia mengi yakionekana yana nafaka kumbe ni uchafu tu, na yeye ametokomea yaani ameyeya.
  2. dracular

    JamiiForums Tanzania Natafuta dada wa kuuza duka la vinywaji (vinywaji vikali na soft drinks)

    Kama uzi unavojieleza natafuta mdada wa kuniuzia duka langu la vinywaji kama nilivoainisha hapo juu🙄. Duka ni la jumla na reja reja lipo maeneo ya tabata muslim hapa jijini dsm. Sifa za muombaji: 1: Awe na mdhamini mwenye mali zisizo hamishika 2: Awe na elimu angalau kidato cha nne 3: Awe...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ili kuongeza wigo wa Kodi, kila duka na, au biashara za mitaani, wanapopewa leseni, lazima wawe na lipa namba

    Unapodai maendeleo, jiulize kama unalipa Kodi, nashauri Kila biashara ambayo haitumii EFD receipt, Sasa zilazimishwe kuwa na LIPA NAMBA. Mfanyabiashara, kama anafanya biashara Kila siku, hajatoa taarifa kwa mamlaka kwamba ameifunga, angalau kwa wiki au mwezi aonekane kuitumia, na namba hiyo iwe...
  4. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Duka la vinywaji (Container, Crates na mkataba wa eneo) GOBA Njia nne

    Habari zenu, Kama title inavyosema, nina duka la vinywaji baridi na moto, ila nimeamua kuuza kutokana na kukosa msimamizi na shughuli zangu zimekuwa zinanibana sana. Hivyo Ninauza 1. Containter (20FT) Pamoja na 2. Crates za beer (TBL 78, SBL 45) 3. Soda (Coca 40, PEPSI 28) 4. PIKIPIKI TVS 5...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere liliuza mafuta ya taa pekee au mafuta ya taa na Coca Cola?

    UBISHI MKUBWA: DUKA LA MAFUTA YA TAA LA MAMA MARIA LILIUZA MAFUTA YA TAA AU MAFUTA YA TAA NA COCA-COLA? Pamekuwa na ubishi mkubwa kuhusu duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere katika moja ya mitandao ya kijamii kuhusu duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere. Ubishi uko katika bidhaa...
  6. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bodaboda vs biashara ya duka la nafaka na mahitaji ya nyumbani

    Wanabodi.. Heshima mbele! Moja kwa moja kwenye msada, kuna 10M iko mahali, nawaza niiweke wapi kati ya kununua bodaboda nne niwape watu wakuleta hesabu kwa siku/ week ama nifungue duka ambalo roughly litakuwa kama la 8M maana 2M itaendwa kwenye running cost na kodi. Msaada!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kuuza duka

    Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta Vigezo Awe mkazi wa Arusha Mjini. Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta. Awe anajua vizuri spea za kompyuta na desktop na jinsi ya kubadilisha. Awe anajua kutoa kauli nzuri kwa wateja( high capable in customer care). Awe anajua...
  8. emmarki

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya winga kwenye duka lako la simu

    Natafuta kuwa winga wa simu mpya, kama unamiliki duka la kuuza simu mpya aina zote naomba kazi dukani kwako. Sitaki uniajiri, ila utaniuzia simu kwa bei ya jumla ili na mimi nipate chochote. Mimi nitapambana kutafuta wateja ninakojua mimi. Simu zako ziwe bei kitonga kweli ili zitoke haraka...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Binti anatafuta kazi ya kuuza duka au kazi ya saluni

    Binti anatafuta kazi ya kuuza duka au kazi ya saluni. Elimu yake: Ana elimu ya kidato cha nne na cheti ya ususi na urembo. Uzoefu wa kazi: Amefanya kazi za ususi na urembo kwenye saluni mbalimbali jijini Dar es Salaam. Pia amefanya kazi kwenye maduka ya kuuza nguo, maduka ya kuuza urembo...
  10. Mr_S

    JamiiForums Tanzania Duka la mangi: Tunduma/Kahama

    Habari za muda huu wanachama wa jukwaa la Biashara. Nimekuja kwenu leo hii nikihitaji dira ya wapi ni pazuri zaidi kwa biashara ya duka la mangi kati ya Kahama au Tunduma. Kwa kifupi nimefanya ajira Arusha kwa muda mrefu sana, takribani miaka miwili nikaacha na kuanza kuuza duka la Mangi hapa...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Je, kujengea nondo kwenye frem ya duka kunahitaji kibali manispaa?

    Habari ndugu. Nina fremu ya biashara nauza maji na vinywaji kwa bei ya jumla lakini kwa sababu ya ufinyu wa nafasi nimeamua kujengea nondo mbele ya frem ili angalau kuweka bidhaa ambazo zimekosa nafasi ndani (nadhani wengi tumeona maduka mengi ya vinywaji wanavyofanya.). Sasa, kama kichwa cha...
  12. ommytk

    JamiiForums Tanzania Vijana wa taifa letu mnasikitisha. Saa 12:30 asubuhi Jumatatu nakutana na kijana duka la dawa ananunua kondomu

    Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini. Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji...
  13. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

    Nimeenda duka la simu kuulizia kitu fulani, mwenye duka alishakuwa maarufu ndiyo maana niliagiziwa pale, nimeshangaa sana yuko makini na Instagram, hanisikilizi. Mara ana 'screenshot' Instagram anamtumia mfanyakazi wake namuongelesha hanisikilizi. Hivi tutafika kweli kwa mtindo huu? Kwamba duka...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa duka la Vito vya thamani Iringa

    Wakuu naomba kupata location ya Duka linalouza Vito vya thamani Kama pete za gold hapa Iringa. Kwani nimezunguka nakutana na masonara tu.. nami cna utaalam sana. Maduka mengi naamini yanauza vitu vya uhakika.. Moshi, Arusha maduka yapo mengi au hapa Iringa ni kumalizana na sonaraz tu?
  15. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Muuzaji wa Duka la Dawa Muhimu (DLDM)

    Habari za muda huu wadau. Anatafutwa mtu wa kuuza duka la dawa muhimu. SIFA Awe na ADO Awe mwaminifu Awe mwadilifu Awe na ujuzi wa kutoa dawa kwa usahihi Sehemu ya kazi ni Sikonge - Tabora Siku za kazi ni Jumapili - Ijumaa Mawasiliano 0620860602 0621601703 0744200166 0764601703
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Duka la "Plea Bargain" lafungwa, Waliochukuliwa fedha zao waitwa kuhojiwa, uchunguzi waanza

    Serikali imeanza uchunguzi wa ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi uliofanywa na Serikali ya Rais John Magufuli, kupitia alichoita, “Sheria ya Plea Bargain," Raia Mwema imeelezwa. Taarifa kutoka serikalini na baadhi ya watu walioswekwa magerezani na kutolewa kwa utaratibu huo, zinaeleza kuwa...
  17. polokwane

    JamiiForums Tanzania Duka gani Dar naweza pata foldable table and chair kama hivi?

    Nahitaji sana foldable chair and table kama hivyo hapo kwenye picha viwe vya watu 4 na zaid. Nimetafuta kwenyw maduka ya furniture bila mafanikio
  18. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Wawili wanusurika kifo wakijaribu kupora duka Dar

    Vijana wawili wanaodaiwa kuwa ni wezi wanusurika kuuawa na wananchi, baada ya kuvamia ofisi ya michezo ya kubahatisha (Premier bet) eneo la Mwenge. Vijana hao ambao walifika kama wateja wanahitaji huduma, walianza kumshambulia mhasibu kwa kumpiga na jiwe kichwani huku mwingine alijaribu kuvunja...
  19. Miss lb4lyf

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya maswala kadhaa katika biashara ya vipodozi

    Habarini,, wakubwa heshima yenu,,, mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs,sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda, na...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Duka la paka lafurahishwa na watu nchini China

    Katika mji wa Yangzhou, Jiangsu, China, duka la kwanza la paka limefunguliwa rasmi. Duka hilo lina zaidi ya paka 70 wa aina mbalimbali.Wapenzi wa paka na watoto wanaweza kununua na kucheza na paka katika duka hilo.
Back
Top Bottom