duka

  1. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kuuza duka la jumla

    Sifa za mwombaji 1. Kijana anayejituma 2. Anayejua kuandika na kusoma 3. Mkazi wa kigamboni 4. Atakayeweza kufanya kazi kwa siku sita za wiki 5. Mwenye mdhamini aliyemkazi wa kigamboni na awe na mali isiyohamishika 6. Mwenye kitambulisho cha NIDA TUWASILIANE HAPA KWANZA*
  2. Muuzaji Mkuu

    JamiiForums Tanzania Leo nimefukuzwa duka moja Kariakoo na mwenye duka mwenyewe kasema mimi namchunguza

    Hellow members,leo jioni angu haijawa powa sana baada ya kufukuzwa na mwanamama mmoja mmiliki wa duka la viungo pale kariakoo akidai kuwa mimi namchunguza. Ilikuwa hivi mida ya saa saba mchana leo kuna mteja wangu mmoja hivi kutoka mkoa x kanipigia kuwa anataka viungo vifuatavyo kwa bei ya...
  3. dubu

    JamiiForums Tanzania TRA kubomoa Duka usiku na kuondoka na bidha kisa Kodi, ni Ujambazi

    Nina laani kitendo cha Wafanyakazi wa TRA kuvamia Duka na Stoo usiku wa mane na kuvunja milango kisha kuondoka na mali walizodai ni Magendo bila mwenye duka kuwepo. Kitendo hicho kimesababisha Wafanyabiashara wa soko la Manispaa ya Tabora kufunga maduka kama sehemu ya mgomo baada ya...
  4. R-K-O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dawa ya kiburi ni jeuri, nilivyomkomoa ex anaeuza duka kwa kununua condom kila nilipojisikia kumuudhi

    2015 Nilipomaliza form 6 nilipata binti anauza duka tukaweza kuanzisha mahusiano na muda ukiruhusu nilikuwa namvusha kwao nampeleka geto kumchakata, baada ya wiki alianza kuleta ujuaji + vizinga, nakumbuka alikuwa anatuma sana mesej kuniponda na kunifananisha na wenye uwezo, n.k. tuliachana...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Duka la Vunjabei hapa Mbeya mbona limedoda sana?

    Ni mwaka sasa niko Mbeya, huyu jamaa anajiita vunjabei alifunggua duka lake hapa Sido mbeya kwa mbwembwe lakini naamini hauzi hata laki mbili kwa siku maana hakuna wateja kabisa pale. Nikipita maeneo yale ya sido naona wafanyakazi wake wamekaa nje tu wamejishika tama. Tatizo nini wakuu?
  6. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Liwapi duka la manukato (perfumes) halisi hapa Dar?

    Ndugu watanashati, Ninaomba kufahamishwa maduka yanayouza manukato (perfumes) halisi hapa Dar. Ninapenda nipate marashi yanayoanzia elfu themanini(80,000) hadi laki moja na hamsini(150,000). Tafadhali, ninaomba kujuzwa. Nimechoka marashi fake!
  7. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Liwapi duka la manukato (perfumes) halisi hapa Dar?

    Ndugu watanashati, Ninaomba kufahamishwa maduka yanayouza manukato (perfumes) halisi hapa Dar. Ninapenda nipate marashi yanayoanzia elfu themanini(80,000) hadi laki moja na hamsini(150,000). Tafadhali, ninaomba kujuzwa. Nimechoka marashi fake!
  8. HONOURABLE PETER

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuanzisha duka la vinywaji, naomba mwongozo

    Wakuu habarini, Nahitaji kufungua duka la vinywaji kama bia, soda, pombe kali baadhi, maji na sigara la rejareja sio kuubwa bali la kawaida tu, naomba muongozo wa wanaofanya hii kwamba naweza anza na kiasi gan, pia mahitaji ni yapi, na kibali chake vipi? Karibuni kwa mawazo
  9. The bump

    JamiiForums Tanzania Mdada wa kuuza duka na usafi anahitajika Kibamba Chama

    Majukumu yako Kuuza bidhaa dukani Usafi wa ofisi wakati wote Kuendelea na Mpesa na Tigo Pesa Mshahara 200,000 kwa mwezi Ofisi itatoa Mlo wa mchana Ofisi itatoa malazi (sehemu ya kuishi) kwa anaetokea Mkoani Wakati wote atakapokuwa mfanyakazi. ELIMU Uwe umefika Chuo chochote Usikie na kuelewa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vioo vipya vya magari napata duka gani?

    Habari zenu. Kama ambavyo nimeandika juu naulizia jwa Dar duka gani wanauza vioo vipya sio used vya magari mfani mi nikitaka badilisha vioo vya gari yangu Nissan tilda ya 2010 vioo vinaweza patikana? Vioo vipya
  11. RingaRinga

    JamiiForums Tanzania Muuza duka wangu anatishia kunishtaki

    Wanajamvi habarini za asubuhi, Nilifunga mkataba na muuza duka wangu kwa ajili ya kazi ya duka langu. Mkataba tuliufunga kwa mtendaji wa kijiji tarehe 7.1.2020. Mkataba ulikuwa na mashahidi upande wake na mimi. Pia alidhaminiwa na mtu mmoja mwenye mali zisizohamishika. Tulikubaliana nitakuwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Hivi hii kanuni ya biashara ni kweli mwenye duka hakupi kitu bila hela asubuhi mpaka auze kwanza?

    Habari. Mi mwenzenu sijui nikoje haya maimani ya ajabu ajabu yananipa shida sana huku duniani yaani huwa hata siwazagi haya mambo. Sàsa mimi nina ela yangu msimbazi safi nahitaji kitu kwenye duka chenji hana na mimi kutembea na hela ndogo ndogo siwezi namwambia mwenye duka nasi nipe bidhaa...
  13. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania TBS CERTIFICATE: Yakazi gani dukani wakati duka sio kiwanda au mali ya kiwanda.

    Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TBS kwenye duka wakati dukani sio kiwandani? Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
  14. mirindimo

    JamiiForums Tanzania TRA Kufungua duka Kariakoo

    Imefikia hatua hiyo ili iweze ku experience kile ambacho wafanya biashara wengi wanakilalamikia ili kujiridhisha
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Waha acheni uchawi. Muuza sambusa kafungua duka la vifaa vya pikipiki vya jumla

    Nakubali biashara ni hatua, ila hatua alizopiga huyu muha ni uchawi kabisa. Alikuwa akitembeza sambusa. Ukihesabu kwenye ile pot yake ni kama sambusa 50-100 kwa siku. Hapo hupata 25k-50k kwa siku, ukiondoa gharama za kuandaa, muda na chakula, lets say kwa siku anapata faida ya 10-20k. Kuumwa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jezi ya Timu yangu pendwa ya Marumo Gallants FC zinapatikana Duka gani hapa Dar es Salaam?

    Nataka nianze Kuivaa/ Kuzivaa mapema nikiamini kuwa Watanifurahisha na wataenda Kunifungia Midomo Wapuuzi na washamba fulani kutokea Zuzu Nation barani Afrika.
  17. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Wana JF mashati haya naweza kupata duka lipi kwa Dar es Salaam?

    Bila shaka hamjambo wana Jf, nisiwachoshe nahitaji mashati kama haya niliyoambatanisha na hii thread kwa hapa Dar. Natanguliza shukurani zangu.
  18. Rich Dad

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Pharmacy (duka la dawa) linalouzwa Kigamboni

    Kwa mwenye kuuza duka la dawa kigamboni nahitaji. Iwe ni biashara yenye vibali vyote muhimu na pia unioneshe daftari la mauzo na location iwe nzuri ya kueleweka. Nicheki inbox tuzungumze zaidi.
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Uwekezaji amesema mwenye duka ana jukumu la kuhakikisha bidhaa husika ipo katika hali inayotakiwa kabla hajamuuzia mlaji

    DKT. EXAUD KIGAHE - MWENYE DUKA ANAJUKUMU LA KUHAKIKISHA BIDHAA HUSIKA IPO KATIKA HALI INAYOTAKIWA KABLA HAJAMUUZIA MLAJI Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) ametoa rai kwa wazalishaji wa bidhaa zote za viwandani kuongeza jitihada za uzalishaji wa bidhaa kwa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi auawa madai kuiba duka la M-Pesa

    MWANAFUNZI wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Ndugu, Mbozi mkoani Songwe, Daud Simkoko (17), ameuawa kwa kipigo kisha kuchomwa moto na wananchi kwa tuhuma za wizi katika duka la huduma za kifedha. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Rashid Ngonyani, amethibitisha...
Back
Top Bottom