duka

  1. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kamusi ya Kiingereza ya Oxford (OED) yaongeza maneno 200 ya Afrika Mashariki

    Kamusi ya Kiingereza ya Oxford (OED) ambayo ni kamusi kubwa zaidi ya lugha ya Kiingereza imeongeza maingizo 200 mapya na yaliyosahihishwa kutoka Kiingereza cha Afrika Mashariki, ambayo kimsingi yanatumiwa nchini Kenya, Tanzania, na Uganda. Katika taarifa yake, OED ilisema kuwa lugha ya...
  2. cold water

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara: Duka la rasta, stationery na duka la dawa muhimu

    Naomba kunishauri, biashara gani kati ya hizo haina complication Nahitaji kufungua biashara, akili yangu inawaza biashara tatu lakini moja tu ndo inabidi nichague kati ya hizo.
  3. More Chances

    JamiiForums Tanzania Ninawaza kufungua Duka la Vinywaji

    I wish niwe na biashara kabla ya mwaka huu kuisha. Moja ya biashara inayo trend kichwani mwangu ni duka la vinywaji. Yani niuze vitu vifuatavyo. Bia Pombe kali kama K. vant na konyagi. Soda zote +plus takeaway. Maji ya jumla na rejareja. Sigara za jumla na rejareja. Wine kidogo. Naomba wale...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Duka linapitia changamoto ya kukosa wateja. Mbinu ipi nitumie?

    Mwenza wangu nilimpa mtaji afungue biashara kwa kuwa anapenda sana urembo akaona afungue biashara ya duka la urembo, cosmetic na mavazi. Lakini anapitia changamoto ya kukosa wateja inaweza ipite siku mteja asiingie kabisa dukani. Siku akiuza basi ni bidhaa chache tu. Duka lipo Mikocheni lina...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuuza pharmacy au duka la dawa

    Mimi ni kijana mwenye diploma ya pharmacy natafuta kazi ya pharmacy au duka la dawa naishi dar
  6. Tatamobitch

    JamiiForums Tanzania Usitumie hela nyingi kwenye mwonekano wa duka badala ya bidhaa.. weka stock ya kutosha.

    Kwa Tanzania hasa kwenye miji mikubwa hili limekuwa tatizo kubwa. Wafanyabiashara wadogo tena wanaoanza biashara utakuta wanatumia hela nyingi za mtaji kuwekeza kwenye mwonekano wa duka badala ya bidhaa anazouza. Vijana wengi hasa kwenye biashara ya nguo wamejikuta wanafunga biashara zao chini...
  7. Ntiyakama

    JamiiForums Tanzania Duka la dawa ni salama mikononi mwa muuguzi (nurse)

    Na Bernard Ntiyakama, BScN, TMCEHP, RN. Mafunzo yanayomwandaa mtu kuwa Muuguzi humpa maarifa anayo yahitaji kutekeleza wajibu mbalimbali za kitaalamu ikiwemo kutoa Dawa. Jukumu hili lanabakia kuwa salama sana mikononi mwa Muuguzi kwa sababu nyingi ikiwemo zifuatazo. 1. Anaufahamu mwili na...
  8. Mtenzeli

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani

    Habari wadau, Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitu vya nyumbani. Naomba kufahamu makadirio ya mtaji, changamoto na uzuri wa biashara, na mahitaji yote ili kufungua biashara hii. Location ni kigamboni NB; Duka la kisasa(mfano wa mini supermarket). asanteni
  9. the hunterer

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu wa kuuza duka la dawa muhimu

    Medical dispenser ama nurse mwenye ADDO anahitajika kuuza duka la dawa maeneo ya Lushoto, Tanga. Inbox kwa maelezo zaidi.
  10. Evelyn Salt

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kununua asali kwenye duka la serikali? Uliwezaje?

    Ni mara ya tatu sasa naenda kwenye duka la linalomilikiwa na serikali linalouza asali ila sijawahi kufanikiwa. Duka lipo karibia na mataa ya Chang'ombe kama unaelekea mkuki house (Dar es Salaam). Lile duka hawapokei cash malipo ni kwa control namba, lakini hata hiyo control namba mara zote ni...
  11. gileun

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufungua Duka la Vifaa vya Ujenzi, naombeni msaada

    Habari wakuu! Nahitaji kufungua duka la vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam, sasa naomba kwa anaefahamu jinsi ya kuwapata mawakala wanaosambaza vifaa vya ujenzi baada ya kuagiza toka nje ya Tanzania anisaidie namna ya kuwapata. Au hata kama kuna namna ya kuwa naagiza vifaa hivyo toka nje ya...
  12. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Anayejua Bei ya shelf za mbao za Duka la dawa tafadhari

    Msaada tutani! Naomba anayejua Bei ya shelfu za mbao Kwa ajili ya Duka la dawa tafadhali. Natanguliza Shukrani
  13. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Msaada naomba kujua duka la Spanish tiles hapa DSM

    Salaam wadau wa ujenzi, Naomba kufahamu maduka ya Spanish tiles kwa hapa Dsm. Of course najua lililopo Victoria, Lakini ngependa kujua zaidi ili niwwze kufanya ulinganifu wa Bei,na aina tofauti tofauti ili niweze kuchagua. Pia kama Kuna mtu anafahamu zaidi kuhusu aina nyingine na ubora za tiles...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa frame ya duka uzingatie mahitaji ya mtumiaji

    Wengi tunapofikiria kufungua frame ya duka, unawaza mahali Pa kuweka bidhaa na dirisha la wateja kuona na kununua bidhaa. Mambo ya muhimu tusiyo yazingatia ni mahitaji ya binadamu anaehudumia duka. Mhudumu anahitaji kula, anahitaji kwenda haja. Haya ni mambo ya muhimu kwa kila binadamu...
  15. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Msaada; Duka la Clarks Kariakoo lipo maeneo gani?

    Ndugu watanashati, Kuna duka la Wahindi walijitanabaisha kama wakala wa clarks—walikuwa wanauza viatu vya brand hii pale Dar es Salaam jirani na mnazi mmoja. Huwezi amini ni mahali nimeshafika lakini huwa nashindwa kupakariri(nina tatizo la kisaikolojia kuhusu kushika maeneo). Penyewe ukitoka...
  16. tzhosts

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kumiliki Duka La Mtandaoni- eCommerce?

    Habari; Je una ndoto ya kumiliki DUKA la mtandaoni.Kama jibu ni Ndio basi Unaweza kutimiza ndoto yako kwa mtaji mdogo tu. Tunatoa huduma ya kutengeneza maduka ya mtandaoni kwa gharama nafuu. Yapo maduka ya 900,000shs,1,200,000shs 1,500,000shs,1,750,000shs na kuendelea.Haya ni maduka ambayo...
  17. EL ELYON

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mwenye duka

    WaKuU hamjambo Aisee....mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni. Moja Kwa moja kwenye lengo, kuna Duka Fulani huwa napenda KWENDA kununua vitu vya home mida ya jioni na mara nyingi huwa namkuta mdada MMOJA hivi white ana mwili Ila si WA ubonge maana NI mwepesi. Anaonekana ana pesa maana...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Eti ni kweli kuna mafunzo napaswa nipite ili nifungue duka la pembejeo za kilimo?

    Nahitaji kuanzisha duka la pembejeo za kilimo elimu yangu ni diploma ya social work Naomba kuuliza je? Eti ni kweli ni lazima nipitie mafunzo mafupi ili kufungua duka la pembejeo za kilimo, Na kama yapo je hugharimu kiasi gani cha gedha na kwa muda gani na yanapatikana wapi hayo mafunzo...
  19. Mwanzo ni Mwisho

    JamiiForums Tanzania Natafuta duka la dawa la kununua

    Habari zenu, Naitaji duka la dawa la kununua. Likiwa Dar es Salaam itafaa zaidi Mawasiliano; 0747182280
  20. 2

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kompyuta kwa bajeti ya Tsh 250,000-350,000

    Salama ndugu zangu, kwa machinga wa karume dar es salaam poleni sana. Nina shida na computer LAPTOP nzuri ambayo bei yake ni ya range 250,000/= (laki mbili na elfu 50) mpaka 350,000/= (laki 3 na elfu 50). pia nina shida na bettry ya computer aina ya TOSHIBA (PORTEGE R705) Location nilipo ni...
Back
Top Bottom