dubai

  1. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

    Tangia majuzi account ya Twitter ya Tanzania Leak's ilikuwa ikitoa raarifa juu ya Rais kwenda mapumziko ya Pasaka Dubai, taarifa hazikupewa uzito mkubwa ila leo hii ndege ya Rais wa Tanzania Gulfstream G550 yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kwenye mtandao wa Flight Radar ikitokea na Dubai na...
  2. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Mjue Steve Ndaula, mmiliki wa kampuni ya BMC iliyowatapeli watu zaidi ya Sh. Bilioni 16 kisha kukimbilia Dubai

    Bwana Steve Ndaula ni kijana mdogo ambae alianzisha kampuni ya upatu/pyramid scheme ya Bestways Capital Management ambayo imewatapeli watu zaidi ya Sh. Bilioni 16 na kisha akakimbilia Dubai. Steve alisoma chuo cha IMTU fani ya Udaktari kuanzia mwaka 2012 hadi 2017. Mwaka 2016, mwaka mmoja...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Biashara ya baibui(abaya) za mtumba

    Habari zenu wadau. Naamini mpo vyema. Nahitaji mtu wa kushirikiana nae kibiashara nipo Zanzibar. Nahitaji baibui za mtumba ndo biashara ambayo nna expirience nayo coz niliwahi kufanya na mtu kabla lakini baadae alisafiri na alowaachia hawakuwa na mashirikiano mazuri na mtaji wangu ulikuwa...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa zamani wa Pakistan, Pervez Musharraf afariki akiwa Dubai, mwili wake kurejeshwa nyumbani

    Musharraf ambaye alishiriki katika mapinduzi ya kijeshi kwenye Taifa lake Mwaka 1999 amefariki akiwa na umri wa miaka 79, Dubai alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu. Aliiongoza Nchi yake Mwaka 2001 hadi 2008 akiwa na rekodi ya kunusurika kuuawa mara kadhaa akiwa...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Beyonce Dubai lawagawa Mashabiki

    Licha ya Wadau wa Burudani kufurahia #Beyoncé kurejea jukwaani baada Miaka 5, baadhi wameoneshwa kutofurahishwa na Nyota huyo kutumbuiza katika Nchi yenye Sheria kali dhidi ya Wapenzi ya Jinsia Moja Baadhi ya Mashabiki wake wamedai kuwa Beyonce ni Mshirika wa Jamii ya LGBTQI, na kitendo hicho...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba SC yatumia zaidi ya 1.8 Billioni kuweka kambi Dubai

    Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B. Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
  7. vibertz

    JamiiForums Tanzania Safari ya Simba kwenda Dubai haipo kiuweledi

    Habari..... Simba baada ya kutolewa kwenye michuano ya Mapinduzi wakapanga safari ya Dubai. Hii safari ipo kisanii sana, kiukweli kutokana na ufinyu wa muda sidhani kama ilikuwa sahihi kwa Simba kwenda Dubai. Wachezaji hawana miili ya chuma kuna wasaa wanahitaji kupumzika lakini unawasafirisha...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ndege za Dubai zinaendelea kutua Serengeti! Tunaibiwa

    Maasai walituma ushahidi wa ndege kubwa isiyo na alama ikitua na kuruka kutoka Pololeti == https://www.jamiiforums.com/threads/msigwa-hakuna-ndege-inayobeba-wanyama-mwenye-ushahidi-alete.2055025/
  9. R

    JamiiForums Tanzania ILE TIMU ISIYOKUWA NA PESA MPAKA MABASI YAKE KUSHIKWA KUWEKA KAMBI DUBAI

    ILE TIMU inayosemekana Ina hali mbaya ya kipesa imeweka Kambi ya wiki moja Dubai. Timu hiyo ambayo ilisemekana imevuliwa ubingwa wa mapinduzi kumbe ilikuwa na mipango yake ya kujiandaa na michuano ya kimataifa imeonyesha tofauti ya club kubwa na ndogo inapokuja mashindano ya kimataifa
  10. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Spears utaagiza online ama Dubai.

    Hii ni mojawapo ya kauli ama ushauri wa kipumbavu sana hua unatolewa humu JF magari kwa mtu anaetaka kununua gari. Mtu anamshauri mtu anunue gari halafu spear atakua anaagiza online ama Dubai. Watu wengi wanaokuja humu kuomba ushauri wa kununua gari mara nyingi hua ndio gari yao ya kwanza...
  11. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Dubai: Maji yana bei kubwa kuliko mafuta

    "Kama imewezekana kutengeneza bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga inawezekana kabisa kutoa maji Ziwa Victoria kupeleka Mbeya, Morogoro na maeneo mengine sababu ni suala la bomba tu, nimeenda Dubai nimekuta maji yana bei kuliko mafuta. Kwanini tusitafute bomba kubwa linaloweza kutoa maji...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania My first date in Dubai, soma hapa inasikitisha sana

    Dah! Leo nimekumbuka mbali sana aisee. Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nikiwa na yule msichana niliyempenda kuliko KITIMOTO ROSTI NA NDIZI MBILI (Pilipili usiweke), tulienda first date pale Dubai. Mida ya saa 5 asbh hivi tukakwea pipa Emirates hadi huko Dubai na kufika kama saa 12 jioni...
  13. jMali

    JamiiForums Tanzania UAE how dare you?

    Hivi hawa waarabu hawajui kuwa wanyarwanda (hasa watutsi) ni watu wenye akili kubwa kuliko wote huku Africa? Hawajui wanyarwanda ni wayahudi weusi waliopotea njia kutokea Israeli? Sasa inakuwaje wanabania VISA wanyarwanda halafu manchi ya ajabu ajabu kama Tanzania yanapeta? Yaani Super Power...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mtoni kwa Kindande- Singapore ndogo

    Mtoni kwa Kindande, Kuanzia majengo, barabara, Usalama, wakazi na biashara zinaakisi Singapore
  15. errymars

    JamiiForums Tanzania Dubai na ujenzi wa jengo mfano wa pete

    Wakati dunia tuko mwaka 2022, Dubai wanataka kutonyesha kuwa wao wako mbele ya muda, wanaishi ‘future’ yetu. Wataalamu wa mambo wanasema Dubai ni kama tayari wanaishi mwaka 3000, kwa maana Dubai wako mbele yetu kwa miaka 978. Hivi karibuni Dubai wametangaza mpango kuwa, pale lilipo jengo...
  16. Bexb

    JamiiForums Tanzania Unazijua ofisi za Dubai aircago shipping?

    Habari ya jioni wakuu. Ninaulizia ofisi tajwa hapo juu kama kuna ambaye ana taarifa zao ama alishawahi kuwatumia. Wanadai kuwa guwa wanafanya usafirishaji wa vifurushi kayi ya Dubai na Dar es salaam. Nafaka kujua kama kuna anayejua mahali ofisi zao zilipo hapa Dar. Naomba kama kuna taarifa...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Moon Dubai: Hoteli ya kifahari yenye umbo la mwezi

    Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) unalenga kutambulika kama moja ya Nchi zenye Ubunifu wa Hali ya Juu zaidi duniani, na hilo kimekuwa likidhihirishwa kupitia Majengo yake ya kuvutia Hoteli ya Kitalii ya 'Moon Dubai' inatarajiwa kugharimu Dola Bilioni 5 (Tsh. 11,585,000,000,000). Itakuwa na urefu...
  18. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Tanzania Wanunuzi wa Simu Used Kariakoo mnahakikishiwa vipi kuwa zile simu zimetoka Dubai kweli na hazijachanganywa na za wizi?

    Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka Dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza Kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya.
  19. Almahri08

    JamiiForums Tanzania Biashara Spare parts za magari

    Habari za asubuhi mabibi na mabwana Ningependa kupata ushauri kwenu Kwa mtu aliyejipanga kufungua biashara ya spare used za magari kutoka Dubai kwa mkoa wa Dodoma
  20. mbinda_smartphones

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
Back
Top Bottom